Taarifa za chini ya Carpet Nassari atajiunga CCM leo.
Ikumbukwe Nassari alitumia style tofauti ya kuunga mkono juhudi.
View attachment 1498762
Sisi: sasa tukamwambie nini mzee baba?
Yeye: njaa ndugu zangu, njaa. nikipata u-DAS au u-DED yaani nitamramba miguu!
Sisi: du, kaka hapo parefu maana foleni kubwa!
Yeye: kwa hali niliyo nayo hata utendaji kata kaka
Sisi: hatuwezi kuku guarantee kwa hilo, sana sana labda utendaji kijiji
Yeye: dah, noma sana. but wacha nianze na hata kijiji maana kurudi kule nitafedheheka sana
Sisi: usijali, huna haja ya kurudi kule.... kule njaa itakuua!
Yeye: poa poa. book jero ya vocha vipi?
Sisi: shika hawa wekundu wawili
Yeye: dah, sir god awabariki sana. mwambieni mzee baba natengeneza movie nyingine ya Mbowe, ataipenda!