Kificho kipo wapi hapo na wapo bar?Aliyekuwa mbunge wa Arumeru kupitia cdm, amenaswa na camera zetu akiwa na kikao cha kificho na Dc wa ccm.
Kuelekea uchaguzi wa October tuwe sana macho na wagombea wetu. View attachment 1500311

Kwa hiyo mtu akiwa cdm asikutane na mtu wa ccm.Kama ni marafiki wasikutane?
Uzi wa kipumbav kabisa!
Mimi na kina nani?Umejisahaulisha mwenyekiti wa Ccm alivyowakataza wabunge wa Ccm kwenda kumuona Lema gerezani?Baadae akawakataza kwenda kumuona Lissu Nairobi.
Nyie ndio waasisi wa siasa chafu.
Mimi na kina nani?
Umejisahaulisha mwenyekiti wa Ccm alivyowakataza wabunge wa Ccm kwenda kumuona Lema gerezani?Baadae akawakataza kwenda kumuona Lissu Nairobi.
Nyie ndio waasisi wa siasa chafu.
hiyo mikao, unaona kabisa kuna bwana na mtwana.
kiongozi na mnyonge
Jushua nasari bado hajarudi bongo mkuu futa huu uzi wako
Hivi Kuna urafiki Kati ya cdm na ccm au umekula cuca nnKwa hiyo mtu akiwa cdm asikutane na mtu wa ccm.Kama ni marafiki wasikutane?
Uzi wa kipumbav kabisa!
Ushataka huduma yoyote ukaacha kuhudumiwa kisa ccm au cdm? Mjinga!Hivi Kuna urafiki Kati ya cdm na ccm au umekula cuca nn
Akibisha unitag MkuuGambo alisha sema kuwa uvccm ni wanafiki na wafitina na mkizeeka lazima mtakuwa wachawi na wewe ni mmoja wapo
Unadhani ni mjinga yeye kuwa haongei au kusocialize na wengine ambao sio cdm?Aliyekuwa mbunge wa Arumeru kupitia cdm, amenaswa na camera zetu akiwa na kikao cha kificho na Dc wa ccm.
Kuelekea uchaguzi wa October tuwe sana macho na wagombea wetu. View attachment 1500311
Pompeo asipomfungulia bashite kuingia USA ndio kutafanya chadema kushinda uchaguzi? Au bashite atakufa?Mkisha fanya rasmi ndiyo kutamfanya Pompeo amfungulie Bashite kuingia USA?
Pompeo asipomfungulia bashite kuingia USA ndio kutafanya chadema kushinda uchaguzi? Au bashite atakufa?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app