Je, Nassari kujiunga CCM?

Je, Nassari kujiunga CCM?

Hatimae leo yametimia Nassari kaunga mkono juhudi rasmi.
 
Taarifa za ndani UVCCM hawamtaki kabisa Nassari stay tune.
 
Hakuna sheria ya nchi iliyovunjwa. Hata Mbowe akitaka kuhamia TLP yupo huru.
 
Mwacheni aende
Cdm ndy kilimpa Jina bila cdm asingejulikana

Ova
 
Kama akisha kubali mwenye chama mzee wa MBOCHI basi hakuna mwenye uwezo wa kumpinga ndani ya chama chao
Taarifa za ndani UVCCM hawamtaki kabisa Nassari stay tune.
 
Mtu mwenye ndoto za uongozi wa nchi hii hawezi kubaki Chadema hii ya Mbowe.
Mbowe ni Mfanya biashara na kamwe mfanyabiashara hakubali hasara.
Huu ni udhaifu mkubwa sana waliouasisi ndani ya Chadema.
Mbowe hajui kuwa kwenye kupigania haki watu hua wanapoteza mpaka maisha sembuse Mali.

Kama Mbowe ameamua kujimilikisha Chama kwa sababu tu ya kutumia rasilimali zake kuendesha chama basi ajue wazi kuwa mwaka huu ndio amekizika hicho chama kwani Mwaka kesho patakua ahakuna Ruzuku za vyama vya watu ninafsi.
Ndio maana CCM imejiandaa mapema kujiendesha chenyewe hata kama ruzuku itaelekezwa kwenye maendeleo ya wanyonge.
Hatuwezi kutoa ruzuku halafu ziishie mifukono mwa Mbowe,Lipumba,Mrema na Cheyo. Hii haikubaliki.

Baada ya uchaguzi wa Mwaka huu ambao matokeo yake yatakua mabaya sana kwa Chadema itakua ni jambo la Maana sana kumfukuza Mbowe kwenye Chama hicho kwa namna yoyote na kujenga Upya chama katika misingi yake ya Demokrasia na maendeleo badala ya Domoghasia na maondoleo ya Mbowe.

Nasari ameonyesha sura kamili ya Viongozi waliopo Chadema. Wananchi na wanachama hawana tatizo ila tatizo ni Mbowe na kampani yake ambayo wengi wao wamesharudi walikotoka wakiwa wanafanikisha mipango yao ya kuua chama chini ya mwenyekiti Mbowe.a
 
Back
Top Bottom