Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Soma uelewe nilichoandika. Siyo wote wanajua kwani kuna waliosoma kwa kutumia lugha nyingine. Lakini kwa huyu kilaza wetu tunachojiuliza ni ilikuwaje akapita kuanzia shule ya sekondari mpaka hiyo level ambako kote huko alikuwa anafundishwa na kufanya research kwa kiingereza lakini hakiwezi?
Yaani kwa imani yako huyo unayemuita kilaza hajui kiingereza!?!
 
Haaa just haaa haaaa..! Mtupoli hajuhi kidhungu, MaCCM mlimuokota wapi hilo Jiwe.
 
Yaani kwa imani yako huyo unayemuita kilaza hajui kiingereza!?!
Hajui. Nimeshamsikia anazungumza na siyo mara moja. Kila neno kwake anaongeza herufi ya wingi (herufi s) hata kama halihitaji wingi. na zaidi kuna siku alikuwa na Museveni mwandishi mmoja akauliza swali kwa kiingereza rahisi kabisa akashindwa kabisa kuelewa na kujibu mpaka Museveni akamsaidia. Hajui! Ona alivyotoa macho kama mjusi aliyebanwa kwa swali rahisi sana.
 
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.

Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu. Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Hawezi ongea kiingereza hata siku moja,,, labda kihutu
 
Hajui. Nimeshamsikia anazungumza na siyo mara moja. Kila neno kwake anaongeza herufi ya wingi (herufi s) hata kama halihitaji wingi. na zaidi kuna siku alikuwa na Museveni mwandishi mmoja akauliza swali kwa kiingereza rahisi kabisa akashindwa kabisa kuelewa na kujibu mpaka Museveni akamsaidia. Hajui! Ona alivyotoa macho kama mjusi aliyebanwa kwa swali rahisi sana.

Yaani Rais unamfananisha na mjusi?! Yaani unafika huko na kumdharau Rais wa TZ kiasi hicho?! Ukikamatwa na kuburuzwa mahakamani utasema huo ni uminywaji wa demokrasia? Huna heshima kwa Rais wako na ambaye ni alama ya taifa? Duh
 
Umeshindwa hoja na sasa umekimbilia kutoa vitisho mbuzi! 😝 😝 😝. Maweee! Jaribu kuangalia hiyo clip uone alivyotoa macho kwa woga! Mtu unajiita msomi, una uzoefu wa kuwa kiongozi kwa muda mrefu swali rahisi kama hilo linakufanya upanic hata watoto wadogo wakushtukie. Nenda zako huko. Hujui demokrasia ni pamoja na kusema ukweli? Kawatishie hao hao wajinga jinga wenzako na siyo mimi! You are facing a different animal this time ..you idiot!
 
Mimi huwa nawashangaa kwanini Moderator @fung @mod1 kwanini wanaruhusu matusi sana shidi ya Rais? Kwanini akitukanwa Lissu wana react?
 
Mimi nashauri Rais ajaye atokee ama Uingereza ama Marekani ili tumsikilize akitema yai tunenepe.
 
Mimi huwa nawashangaa kwanini Moderator @fung @mod1 kwanini wanaruhusu matusi sana shidi ya Rais? Kwanini akitukanwa Lissu wana react?
Kama ni hivyo ndiyo matatizo ya moderator kuwa biased...yaani kumtukana Rais eti ndio uhuru wa kutoa maoni...Lissu akishughulikiwa eti ni kuminya demokrasia...Lissu anamtukana Rais eti hiyo ndiyo demokrasia..kwa mujibu wa Lissu eti Magufuli ameharibu diplomasia na nchi karibu na kwanba eti nchi pekee rafiki ni Burundi...yaani mtu mzima humu jf anamfsnanisha Rais wetu na mjusi na moderators wapo wanaona sawa tu...tu
 
Umeshindwa hoja na sasa umekimbilia kutoa vitisho mbuzi! 😝 😝 😝. Maweee! Jaribu kuangalia hiyo clip uone alivyotoa macho kwa woga! Mtu unajiita msomi, una uzoefu wa kuwa kiongozi kwa muda mrefu swali rahisi kama hilo linakufanya upanic hata watoto wadogo wakushtukie. Nenda zako huko. Hujui demokrasia ni pamoja na kusema ukweli? Kawatishie hao hao wajinga jinga wenzako na siyo mimi! You are facing a different animal this time ..you idiot!
Duh...facing a different animal..idiot..why shouldn't you first ask your dad and mom...tell them..dad you are idiot...mom...idiot...then come back here and tell us how they responded...
 
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
1.Putin hajawahi fanya Phd kwa English.
2.Putin hajawahi kufundisha secondary kwa English
3.Kwa kifupi Putin elimu yake hajaipata kwa English
4.
 
Ki- english ni kigumu sana, yaani the, that, i mean, you know. Hivi asili yake ni nchi gani?
 
... hilo swali hawajawahi kulijibu! Watarukaruka mara Putin, mara Xi, mara Angela, mara Macron, mara Berlusconi, mara Khamenei, watazunguka mno lakini "mzizi wa hoja" ambao ni jibu la hilo swali wanajifanya hamnazo!

Haaaa haaaaa usitufokee
 
Yes they are suppose to speak english. You know here in Tanzania people used to die in the lakes..we are suppose to fight this together. Yes English is not our mother language.thank you for this welcoming I will give your my mother free kichekooooo

Duh hii si kweli utashtakiwa Bwashee haaaaa
 
Ukoloni hautakaa uishe hasa wa kifikra.

Twende na Magufuli October 28.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Anataka aongee nao ili agundue nini,wewe umekja juzi kiherehere hiki kina nini nyuma yake.
Hawa jamaa wapuuzi Sana,wakati wa corona walikuwa front line kuipotosha dunia kama mbeligiji anvyowapotosha baadhi ya wajinga
 
Back
Top Bottom