Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Wewe tu unashobokea kiingereza kamuulize swali hilo Putin atakupa jibu.
Kwa akili yako Putin anajuwa lugha moja tu?

Putin studied German at Saint Petersburg High School 281 and speaks German fluently. Putin studied Law at the Leningrad State University (now Saint Petersburg State University) in 1970 and graduated in 1975
Mwambie na huyo aliye soma Ujerumani naye aongeye
 
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya...
Mgombea huyo kasoma hadi PhD kwa kiingereza, lkn kaendelea kuwa kiazi!
 
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Hivi hamuoni aibu !!!
Lijitu limesoma kiingereza toka primary school hadi PhD lipate na lisijue kabisa kuongea kiingereza?

Huyo mtu atakuwa mgonjwa kichwani
 
Wewe tu unashobokea kiingereza kamuulize swali hilo Putin atakupa jibu.
Magufuli amesoma shule kwa kutumia lugha ya kiingereza. Miaka 7 ya shule ya msingi amesoma kiingereza kama somo, miaka 4 ya O level masomo karibu yote amesoma kwa kiingereza, miaka 2 ya A level amesoma kwa kiingereza , chuo kikuu miaka 10 amesoma kwa kiingereza. Inakuwaje asijue kiingereza lugha aliyotumia kusomea? Huyu ni kilaza mkubwa na tuna mashaka makubwa na elimu yake. Putin amesoma kwa kirusi hivyo hawajibiki kujua kiingereza.
 
akili za kikoloni bado sana waafrika!
Mkuu tulitawaliwa tukafundishwa kila aina ya hulka na baadhi ni za kipuuzi sana.

Marais wa afrika wakipewa tu urais wanafunga Safari kwenda kwa wazungu ili wapewe maagizo ya nini cha kufanya.

Magufuli upuuzi huo hajaufanya.
 
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.

Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu. Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Mawazo mfu
 
Hivi hamuoni aibu !!!
Lijitu limesoma kiingereza toka primary school hadi PhD lipate na lisijue kabisa kuongea kiingereza?

Huyo mtu atakuwa mgonjwa kichwani
Nani huyo hajui kuongea kiingereza...na wewe unajua? Ingawa kutojua kuongea kiingereza na lugha nyingine isiyo mother tongue siyo aibu kabisa...ila kwa wenye kasumba na wasioelimika ndio huona aibu kutojua kuongea lugha isiyo yao..wana inferiority complex..
 
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Mtwambie basi kama Kiingereza siyo muhimu, huyo mnayemtetea kwa kificho thesis zake aliandika kwa Kisukuma?
 
Magufuli amesoma shule kwa kutumia lugha ya kiingereza. Miaka 7 ya shule ya msingi amesoma kiingereza kama somo, miaka 4 ya O level masomo karibu yote amesoma kwa kiingereza, miaka 2 ya A level amesoma kwa kiingereza , chuo kikuu miaka 10 amesoma kwa kiingereza. Inakuwaje asijue kiingereza lugha aliyotumia kusomea? Huyu ni kilaza mkubwa na tuna mashaka makubwa na elimu yake. Putin amesoma kwa kirusi hivyo hawajibiki kujua kiingereza.
Duh..wewe umesoma?! Na unajua kiingereza?! Mimi sijasoma na English siijui...ninayo ya kuombea maji...haya tujadiliane hapa English Mimi na wewe uliyesoma na unayejua kiingereza...Mimi sitaona aibu...nataka waone tu..
 
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Katika hili la lugha, adui yetu ni CCM.
Luvha ya kufundushia shuleni na Vyuoni huko kwa Putin, kuanzia Chekechea mpaka Uzamivu, PhD, ni Kirusi.
Huku kwetu, CCM inalazimisha kutumia Kiingereza kuanzia Kidato cha Kwanza mpaka Uzamivu, PhD, wakati Chekechea na Shule za Msingi ni Kiswahili.
Kwa nini Kiswahili kisitumike mpaka Shahada ya Uzamivu?
Matokeo yake, Rais wetu mpendwa John Magufuli, ana Shahada ya Uzamivu, aliyosoma kwa Kiingereza, bila kukijua hicho Kiingereza chenyewe.
Shida ni CCM!
 
Shida ni wewe na wenzio mnaoleta hoja za lugha Kama silaha...shida ni nyie pia mnaodhani huyo mliomtaja hajui English..shida ni nyie wenye mawazo mfilisi mnaotupia Kila aina ya lawama kwa CCM...shida ni nyie mliokata tamaa na msioridhika kwa chochote...shida ni nyie ambao mko tayari kuiuza nchi...nyie iko kwenu mnaoteseka na ushindi wa CCM was muda na hamna mikakati ya kuiondoa madarakani isipokuwa kwa mikakati ya kwamba Fulani hajui kuzungumza English.
 
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.

Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu. Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.

I thought you would demostrate by re writting your article in english!

For your information the US Ambassador was at State house the day before yesterday!
 
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Wewe mzee kweli kiazi hapa sindio unamponda kabisa jamaa yako kwa kupitwa na malaya wa mtaani yeye kasoma kingereza zaidi ya miaka kumi mpaka Phd anashindwa kuongea alicho jifunzia wewe Mzee umezidi uboya sasa ficha aibu
 
A
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya...
Tutatuma mwakilishi😂😂Kala maganda.
 
Back
Top Bottom