Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,233
Tanzanians ndio wanaweweseka na grammar, wazungu mbona wanapoongea broken Kiswahili hakuna anayewacheka? Kumkomboa Mwafrika itachukua muda mrefu kutokana na ujinga. JPM pamoja na mapungufu yake ameweza kuiondoa nchi hii kwenye umasikini wa kujitakia. Huyo Lisu (TAL) mwenyewe mbona broken english yake hamuisemi?
Msikilize hapa chini anavyojiumauma. Ati anadiriki kusema London kuna basi moja la ghorofa? Aibu!
Msikilize hapa chini anavyojiumauma. Ati anadiriki kusema London kuna basi moja la ghorofa? Aibu!