Matendo ya Mungu si ya mwanadamuKama kweli Mungu alimaliza kuumba, kila alichoumba aliona ni chema kabisa. Hakukuwa na uasi juu ya uso wa dunia, Lucifer alikuwa msafi, asiye na dhambi.
~Nani alimuingia Lucifer aliyekuwa anaishi patakatifu ili aasi?
~Kama kweli Mungu ni alpha na omega, maana yake alijua kuwa dhambi itaingia ulimwenguni, kwa nini aliruhusu hiyo dhambi iingie?
~Kwa wakristo, kabla ya Yesu kuja kutufia, walikuwa wakiteteteza sadaka(kondoo) ili kusamehewa dhambi zao, kwa nini kondoo aliye mnyama wa kawaida auwawe kila siku ili tu mimi nisamehewe?
~Mungu mwenye rehema, upendo kwa nini aruhusu mwanadamu aishi maisha ya dhiki kiasi hiki? Maradhi, kifo, vita nk.
Why?
Why?
Why?
Mungu hajawahi kushindwa.. Ila huwa habishaniNimefungua huu uzi mida hii nimesoma comments zote, one at a time.....haki Nimeogopa watu mnavyomkana Mungu!! Muumba wa Ardhi na Mbingu mbele yenu amekua si lolote si chochote?! Hatari sana dunia inaenda kasi ya ajabu!!
***Sorry sina maana ya kuwakwaza ila nimeshangaa sana, hadi usingizi umekata! !!!
Na weweumeolewa na mume wako Juma.Mungu yupo na ndio maana mleta mada akaandika alichoandika na ndio maana na wewe ukaja kuchangia....
Angekuwa hayupo asingetajwa hapa wala kujadiliwa na yeyote yule.. Kisichopo hakipo
Haya ni mawazo yako binafsi yasiyohusiana na uwepo wa Mungu mkuu... Mwenye enzi yote muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo ukiwepo piaNa weweumeolewa na mume wako Juma.
Mume wako Juma angekuwa hayupo nisingemtaja.
Thibitisha Mungu yupo.Haya ni mawazo yako binafsi yasiyohusiana na uwepo wa Mungu mkuu... Mwenye enzi yote muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo ukiwepo pia
Hakuna ulichojibu hapo.Matendo ya Mungu si ya mwanadamu
Hapana sema hujaridhika na jibu langu ila nimejibuHakuna ulichojibu hapo.
Ameleta magumu zaidi ya unavyodhani, he created and saw everything was perfect. Sasa imekuwa vipi tena kila kitu kilichokuwa chema imegeuka tabu tupu kwa hao viumbe wake?
Thibitisha Mungu yupo.
Sasa kila mtu heshi kusema Mungu, Mungu.Eeee maswali yako hayo kilanga[emoji13]
Mimi hapa tena zaidi ya maramiaSasa kila mtu heshi kusema Mungu, Mungu.
Kuna mtu kashathibitisha Mungu yupo?
Mimi hapa tena zaidi ya maramia
Mimi ni Mshana Jr... Niliyethibitisha uwepo wa Mungu mkuu mwenye enzi yote... Kama hujadhirika na ithibati yangu hilo ni tatizo lako sio languWewe nani? Wewe ndiye Mungu?
Hujathibitisha Mungu yupo.
Namimi nathibitisha Mshana kaolewa mume wake anaitwa Juma.Mimi ni Mshana Jr... Niliyethibitisha uwepo wa Mungu mkuu mwenye enzi yote... Kama hujadhirika na ithibati yangu hilo ni tatizo lako sio langu
Kwahiyo unaamini kuwa Mungu yupo?Namimi nathibitisha Mshana kaolewa mume wake anaitwa Juma.
Unakubali?
Et sasa udhibitisheMimi hapa tena zaidi ya maramia
Nathibitisha sidhibitishitiEt sasa udhibitishe
Haa haa mungu yupo kwa kwelii[emoji120]Nathibitisha sidhibitishiti
...Mi sijawahi kumuomba kitu akanipa .
Inahitaji imani kukubali kuwa hakuna Mungu tena imani hasa.Hapo Ndio ujue kuwa mungu hayupo