Ahaa kama ni ivo basi mungu hajapanga wala hajui nini kitatokea kesho si ndio.mkuu? Ukisema Atomic ivi.unajua kuwa hata Dawa ni sumu? Sitaki kuamini kama hujui kuwa kitu chochote kikitumika vibaya kina leta madhara, dawa za kulevya zinatumiwa na doctors wakati wa operations je tuache kuzifanyia research kwa vile zinaleta mateja?Ni kwamba anajichanganya ama sisi ndio tunajichanganya?
Hivi umewahi kuona samaki anajiweka nyavuni ama ndege anajiweka mtegoni? Binadamu kafanikiwa kujiweka kitanzini mwa mikono yake mwenyewe (atomic bomb, weapons of mass destruction, biological weapons of mass destruction, guns, drones....etc) halafu analalamika Mungu kasababisha maafa! How? !?
My point is ameshatupa Uhai na uamuzi juu ya maisha yetu ya sasa na baadae anakuwaje tena responsible na maovu ambayo tunayasababisha sisi wenyewe kwa kisingizio cha maendeleo ya kijamii na teknolojia? Imani yangu; Our Life - Our Choices / Our Choices - Our Life.....
Kibaya zaidi [HASHTAG]#Karma[/HASHTAG] + [HASHTAG]#Fate[/HASHTAG] are so real!
Dini zote ni mifumo ya maisha ya jamii fulani, Uharaka wao wa Kufanya maendeleo na kuwaweka superior ndio ulipelekea Mifumo yao ya maisha (dini) kutapakaa dunia nzima wapo wajanja pia kama wamisionari waliona fursa ya dini na kuamua kuitumia kuja Nayo mataifa mbalimbali na kuwapa imani hizo kwa mgongo wa kuwahadaa ili iwe rahsi kuwa colonize, Wewe unadhani babu zetu wangekuwa superior kiuchumi, kijamii wange copy takataka za Uislamu na Ukiristo wa wazungu?? Yani kisa Uarabuni hakuna miti ni jangwa na mbao hakuna na nyie afrika mliokuwa na mistu ya kutosha mnaliridhi Uzikaji bila kuweka mtu kwenye Frame za mbao(Jeneza), Leo unaambiwa atakae ibariki Israel nae atabarikiwa atakaye ilani nae ataalaaniwa kweli tunashindwa kureason vitu simple kama ivi nashangaa mno kuona Machinga wanatembea na Bendera za israel, yani Unaona hawa hawa wanaombea watu ni wameona fursa ya dini ndio mana wamejazana mijini kwenye pesa
Walikuwa na taratibu zao za kuabudu mana dini ni mfumo wa maisha ya watu kulingana na mazingira yaoOk kabla ya hao wazungu na waarabu kuja mababu zako walikuaje?
Kuwa na taratibu za kuabudu na dini ni vitu viwili tofauti,hata hao waarabu na wazungu walikuwa na taratibu zao za kuabudu kabla ya ujio wa uislamu na ukristo,dini ni zaidi ya taratibu za kuabudu ni mfumo wa maisha.Walikuwa na taratibu zao za kuabudu mana dini ni mfumo wa maisha ya watu kulingana na mazingira yao
Tatizo mkuu watu wamegundua kuwa dini hazina faida ktk dunia ya leo kumfanyia wema mwenzako ni ungwana na si vitabu visemeNilichogundua humu Mungu anaelezwa kwa mafundisho ya kikristo na wakristo imani yao imebebwa na imani ya uwepo wa Mungu,na ndiyo maana wengi tunaona wakisema dini haina mchango wowote na ni mpango tu wa binaadamu.
Dini ukiingia deep sana utakua frustratedKwani dini inafundisha kinyume na hayo?
Ugumu wa maishaNimefungua huu uzi mida hii nimesoma comments zote, one at a time.....haki Nimeogopa watu mnavyomkana Mungu!! Muumba wa Ardhi na Mbingu mbele yenu amekua si lolote si chochote?! Hatari sana dunia inaenda kasi ya ajabu!!
***Sorry sina maana ya kuwakwaza ila nimeshangaa sana, hadi usingizi umekata! !!!
Ila mkuu kiuhalisia maisha ni zaidi ya kumfanyia mtu wema,maisha yanahitaji muongozo.Tatizo mkuu watu wamegundua kuwa dini hazina faida ktk dunia ya leo kumfanyia wema mwenzako ni ungwana na si vitabu viseme
Waarabu huko wameshika dini na bado ni matajiri,sasa sijui utasema waafrika wameshika dini kuliko waarabu?Dini ukiingia deep sana utakua frustrated
Mungu anampa yoyote chochote mda wowote
Na kama ni watu wenye hali ngumu kimaisha basi ni wale walioshika dini sanaa...js observe
watu wamegundua sasa hivi hawapimi tena uzuri wa dini kwa kutumia vitabu bali wanapima kwa matendo yako thats why kuamini dini jambo gumu kwakuwa dini sasa ndio zinazoleta chuki vita embu angalia palestinaIla mkuu kiuhalisia maisha ni zaidi ya kumfanyia mtu wema,maisha yanahitaji muongozo.
Mkuu unazungumzia matendo ya watu au dini? maana matendo ya watu ndiyo yamesababisha vita kuu mbili za dunia,na sasa tunaambiwa inaweza kutokea vita kuu ya dunia ya tatu.watu wamegundua sasa hivi hawapimi tena uzuri wa dini kwa kutumia vitabu bali wanapima kwa matendo yako thats why kuamini dini jambo gumu kwakuwa dini sasa ndio zinazoleta chuki vita embu angalia palestina
Ugumu wa maisha
Kuomba Mungu doesnt excuse u from life trials
Unadhani walioko syria hawaombi Mungu?.
Oh baby give me a break...God has heaven why cant he js cut this short and take us all there?binafsi i js wanna go to heavenLife trials are the main reason why we are created. Loosing faith and doing bad things simply because life is hard is also not an excuse that God should be blamed for all our misfortunes.
Ahaa kama ni ivo basi mungu hajapanga wala hajui nini kitatokea kesho si ndio.mkuu? Ukisema Atomic ivi.unajua kuwa hata Dawa ni sumu? Sitaki kuamini kama hujui kuwa kitu chochote kikitumika vibaya kina leta madhara, dawa za kulevya zinatumiwa na doctors wakati wa operations je tuache kuzifanyia research kwa vile zinaleta mateja?
Nani aliyetengeneza hicho kitanzi anachojiweka mwanadamu? Je ni mungu au kama ndie je bado ana upendo nasi ile hali katuwekea mtego afu later atupe adhabu
Oh baby give me a break...God has heaven why cant he js cut this short and take us all there?binafsi i js wanna go to heaven
Loss of faith ni kwa sababu kwny maisha unaishi vile atakavyo Mungu na sio utakavyo wewe
Ye ndo Mungu bwn tutafanyaje ss
Am not blaming God...i js realized life rolls his way not anyones way
Mungu yupo na ndio maana mleta mada akaandika alichoandika na ndio maana na wewe ukaja kuchangia....Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo na si hadithi zilizotungwa na watu tu?
Tena ni uharibifuKuna Vitu Vingi Huwa Najiuliza Kama Hivi Nakosa Majibu Sahihi.
Ila Maandiko Yanasema Hekima Ya Mwanadamu Ni Upuuzi.