msafiri.razaro
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,244
- 745
Hujajibu:
nauliza tena kuwa twaweza kutenda dhambi bila kushawishiwa na shetani? shetani ana athari yoyote juu ya wanadamu?
who enacted those laws if the creation was perfect with no any doubt?
Sasa kama unamajibu ya kwenye Biblia kwa nini unauliza? Ungelikuwa Perfect kwa nini unamahitaji? Perfection inazungumzia kwa ujumla wake sio kwa kiumbe au kitu kimoja. Ni mfumo na Mifumo Systems (Input, Processing and Output)Kwa hiyo Mungu aliumba vitu vyenye mapungufu? huoni kuwa unakinzana na maelezo ya biblia kuwa Mungu aliumba vitu vilivyokamilika?
Hata huyo shetani alifanya dhambi na ndio sababu ya hadi kuitwa shetani ila hakuumbwa akiwa ni shetani.
Hata habari za Mungu tumezitoa kwenye vitabu hivyohivyo.Haya mambo ya shetani yako kwenye vitabu ambavyo walioandika hawapo ilituwahoji watupe uhakika tuachane nayo tujadili Self realization knowledge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwani kujua ina maana ngapi!?
Kujua ni kuwa na uhakika na kuweza kuthibitisha jambo. Kwa mfano, mimi ninajua kwamba Baba ni mwanaume!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu thibitisha kwamba Baba ni mwanaume?
Simple sana kuthibithisha kuwa Mungu yupo hebu ziba pumzi yako ndio utajua Mungu ni Uhai aiseeAu mwenzangu baba yako ni mwanamke!?[emoji23]
Niambie, nifanye nini ili nikuthibitishie kuwa Baba yako ni Mwanaume!?
Maana mimi nimetaka unithibitishie kuwa Mungu yupo kwa kumuonyesha na kuonyesha nguvu zake!!!
Hizo ni Hadithi tuu. Hakuna individuality, Personality, Time or space kwa Mungu. Mungu ni moment, Is with you in you.sisi ni kazi ya mikono yake lakini kati yetu kuna aliye bora zaidi ya mwingine, na huyo bora ni anayemwabudu, wewe unafikiri kwanini kuna pepo na jehanam, bila kipimo nani angekuwa wa peponi na nani angekuwa wa jehanamu?
Hata habari za Mungu tumezitoa kwenye vitabu hivyohivyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pande za isanga hapa we wapiMkuu, kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa baadhi ya vitu havikuumbwa au kuanzishwa na Mungu? Mfano dhambi n.k
Alafu kwenye hiyo aya ya mwisho, tutake radhi watu wa Mbeya[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa mara ya kwanza nashuhudia muhumini ambaye anapingana na mafundisho ya dini yake kuhusu shetani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shetani ni wewe mwenyewe.
Yap kwasababu kuna mafundisho yao ambayo wanaamini ukila nyama ya nguruwe ni dhambi, ambayo kwenye ukristo ni tofautiHaoni kwamba kuwepo na u tofauti wa kimaudhui kati ya Biblia na Quran na Misahafu mingine, kuna maanisha kuwa kila mtu amem model Mungu kulingana na yeye anavyoona ni jinsi gani Mungu anaweza kuwa?!
Hauoni kwamba kila mtu anasifa zake za kipekee kumuhusu Mungu, na hivyo basi kumbe kila mtu ana Mungu wake na kwahiyo hakuna Mungu wa pamoja!?
Mpumbavu ni yule anayekubali kua mungu yupo bila uthibitishoNa kwann kifungu hicho kilijaribu kutumia maneno makali ili kuhalalisha uwepo wake???
Kama yupo kulikuwa na ulazima wa kusema hivyo?? Angekuwepo kulikua na ulazima wa kuhoji uwepo wake??
Kila kitu ni kama Mauzauza tuu!!
Kwa mujibu wa maelezo yako unakana kua hakuna shetani, ila unakubali mungu yupoHakuna shetani hapa, upo wewe na Mungu. Mwili, Akili na Roho. Mwili unatenda kwa kushawishiwa na akili. Roho huvuna dhahibu ya matendo. Kama kuna shetani katika tendo lolote basi ilaumiwe akili.
jaribu kusoma tena uelewe mkuu nilichomaanisha,Sasa kama unamajibu ya kwenye Biblia kwa nini unauliza? Ungelikuwa Perfect kwa nini unamahitaji? Perfection inazungumzia kwa ujumla wake sio kwa kiumbe au kitu kimoja. Ni mfumo na Mifumo Systems (Input, Processing and Output)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mababu zetu walikuwa wakiabudu Mungu?