Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Dhambi ni subjective, hakuna alieumba dhambi ila taratibu/makubaliano yetu ndani ya jamii ndio yalizaa hizo tunazoziita dhambi na yale tunayaita matendo mema.

Binadamu ana utashi wake wa kuzaliwa na anapata nyongeza kwenye mazingira yake anavyokuwa. Ndo maana leo Uingereza Ushoga sio big deal tena na watu hawachukulii ni dhambi ila kuiba ni dhambi uingereza yote.

Italy kuoa wake wawili ni dhambi ila kunywa pombe sio dhambi, while Saudia ni vice-versa.

Hapa kwetu Tz kulala na ndugu yako ni dhambi kubwa kwa wachaga while Mbeya ni kitu cha kawaida tu.
 
Mkuu, kwa hiyo unataka kumaanisha kuwa baadhi ya vitu havikuumbwa au kuanzishwa na Mungu? Mfano dhambi n.k

Alafu kwenye hiyo aya ya mwisho, tutake radhi watu wa Mbeya[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Dhambi ni subjective una maanisha shetani hahusiki na dhambi?
 
Dhambi ni subjective una maanisha shetani hahusiki na dhambi?
Hausiki na hamna namna anahusika.
Ni wewe mwenyewe. Mazingira uliyopo ndo yana difine hii ni dhambi hii sio dhambi.
Kuamua kufanya kinyume na makubaliano/taratibu mlizojiwekea, au kufanya kile kitu umezaliwa na umekua ukijua sio sahii kukifanya. Hunafanywa na mtu mwemyewe.
Shetani anasingiziwa tu.
 
Je, shetani yupo? na kama yupo kaumbwa na nani? je kazi yake ni nini?
 
Hahahaaa!!

Kwahiyo mkuu unamtetea shetani kwamba anasingiziwa tu![emoji23][emoji23]
 
Una majibu ya kitoto kama umekunywa mkorogo
 
Haoni kwamba kuwepo na u tofauti wa kimaudhui kati ya Biblia na Quran na Misahafu mingine, kuna maanisha kuwa kila mtu amem model Mungu kulingana na yeye anavyoona ni jinsi gani Mungu anaweza kuwa?!

Hauoni kwamba kila mtu anasifa zake za kipekee kumuhusu Mungu, na hivyo basi kumbe kila mtu ana Mungu wake na kwahiyo hakuna Mungu wa pamoja!?
Hiyo sasa ni mada nyengine pana sana mkuu,kama vp ifungulie uzi.
 
MPUMBAVU AMESEMA MOYONI MWAKE HAKUNA MUNGU

MDHALIMU KWA KIBURI CHA USO WAKE ASEMA HATAPATILIZA. JUMLA YA MAWAZO YAKE HAKUNA MUNGU
Na kwann kifungu hicho kilijaribu kutumia maneno makali ili kuhalalisha uwepo wake???
Kama yupo kulikuwa na ulazima wa kusema hivyo?? Angekuwepo kulikua na ulazima wa kuhoji uwepo wake??

Kila kitu ni kama Mauzauza tuu!!
 
Mungu ni kila kitu ni mwanzo wa yote na mwisho wa yote. Kwa hata yale binadamu kwa utashi wake anayoyaona kuwa ni dhambi yameumbwa na mungu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…