Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Mungu tumekubaliana kuwa hajaumbwa,sasa hivyo vitu vyengine ambavyo vipo tu havijaumbwa ni vitu gani?
Mkuu unataka uni quote vibaya.

Simaanishi mimi ndio ninavijua vitu ambavyo havijaumbwa, lahasha.

Namaanisha kui challenge imani yako iaminiyo kuwa vitu vyote vimeumbwa kasoro Mungu tu ndio hajaumbwa.

Challenge inakuwa hivi, kama unaamini Mungu hajaumbwa, kwanini pia usiamini hata ulimwengu pia haujaumbwa!?

Inakuwaje kitu complex (ie Mungu) kiwezekane kuwepo tu bila kuumbwa, lakini kitu simple(ie Ulimwengu ukilinganisha na Mungu kwa muktadha huu) hakiwezekani kuwepo bila kuumbwa!?
 
Mkuu tukikubali kuwa huu ulimwengu una mwanzo wake basi lazima iwe kwamba huu ulimwengu una chanzo na mimi ndio naamini chanzo cha huu ulimwengu ni Mungu kwa maana ya yeye ndiye aliyeumba. Na ndiyo moja ya dalili au alama ya kuamini Mungu,sasa hapo nikiamini ulimwengu kuwa haujaumbwa nitakuwa najichanganya na nitakuwa naamini vitu bila sababu ya msingi maana hata huyo Mungu mwenyewe nitakuwa sina sababu ya kumuamini.
 
Umejibu vema mkuu Tz mbongo .

Lakini kuamini kuwa ulimwengu huu una mwanzo wake, means kumbe vitu lazima viwe na mwanzo.

Je, mungu mwanzo wake ni upi!??

Lakini pia hata kwenye biblia kuna sehemu inataja kwa uwazi kabisa kwamba, "Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia".

Andiko hilo la biblia linakubaliana na jibu ulilolitoa, lakini linatengeneza swali hili katika angle nyingine:

Kama Mungu aliumba vitu vyoote, je, kabla ya kuumba kitu chochote, alikuwa anakaa wapi!?

Au tuseme, aliumba kitu cha kwanza akiwa amekaa wapi!??
 
Mkuu Mungu hana mwanzo na wala hana mwisho.

Kwani mkuu wewe unaijua nature ya Mungu?
 
Mkuu Mungu hana mwanzo na wala hana mwisho.

Kwani mkuu wewe unaijua nature ya Mungu?
Sawa, hana mwanzo wala mwisho,

Je, kabla ya kuumba mbingu na dunia (na chochote), alikuwa anaishi wapi!?
 
"DHAMBI" Ni kukiuka maagizo ya mwenyezi mungu,kwenda kinyume na sheria za mwenyezi mungu,kufanya mambo ambayo Ni chukizo mbele za mungu.hapo mwanzo hakukuwako na dhambi, Before human creation dunia ilikua inakaliwa na viumbe wanaitwa majini,majini wameumbwa na mwenyezi mungu na wapo wema na wabaya,majini Ni viumbe visivyoonekana Kwa macho Ila kutokana na maandiko matakatifu Ni kwamba wameumbwa Kwa moto,Kubwa lao ndilo Hili tunalisikia linaitwa "lucipher",yeye alipewa uwezo mkubwa Sana na mwenyezi mungu juu ya viumbe vyote vilivyokuwa duniani na mbinguni ambavyo mungu aliviumba, Kwahyo majini waliishi muda mrefu Sana Hapa duniani kabla ya Adam "binadamu wa kwanza"
MWANZO WA DHAMBI
viumbe hao wa Kwanza kuishi duniani walianza kufanya dhambi ya "kulawitiana" na walizidi Sana kufanya dhambi ndipo mwenyezi mungu akawaangamiza kabisa katika uso wa dunia lakini "lucipher" hakuangamizwa Kwa sababu hakushiriki katika dhambi ya kulawiti/kulawitiana.
Ndipo mwenyezi mungu akaamua kuumba kiumbe chenye ujuzi na akili kuliko viumbe vya mwanzo "majini "akamuumba Adam ili aje atawale dunia na vilivyomo lakini suala hili lilipingwa na Jini lucipher ndipo ilipozaliwa dhambi Kwa Mara ya Kwanza Kwa maana alipinga matakwa ya mwenyezi mungu ambaye anapoamua jambo hashauriani na yeyote.
Kwahyo mwenyezi mungu akamuumba Adam na akampa akili na uwezo wa kutawala vitu vilivyomo duniani,na akamweka edeni.
Lucipher Yule jini mkuu akalaaniwa na kutupwa duniani lakini Bado alikua na uwezo Ule ambao aliumbwa nao,
Baadaye mungu akaona si vyema Adam awe binadamu peke yake duniani akamfanyia "msaidizi" ili atawale pamoja Naye lakini akawapa masharti akawaamuru wale matunda yote katika Ile bustani ambayo aliwaweka isipokuwa tunda LA mti wa katikati mti wa ujuzi wa mema na mabaya (pale bustanini palikuwa na mti wa uzima na mti wa ujuzi wa mema na mabaya)
Ndipo Yule jini aliyetupwa duniani akawaonea wivu Adam na Eva akaandaa mpango wa kuwashawishi watende dhambi ili asiwe peke yake katika laana ya mwenyezi mungu.
Yule jini ndiye Yule nyoka tunaemsoma katika HOLLY BIBLE wapendwa, akamtokea Hawa Wakati Adam akiwa usingizini akamshawishi kufanya dhambi ya kulawitiwa naye, kisha Adam kumlawiti mkewe Hawa, Hapa ndipo binadamu wa Kwanza alipofanya dhambi Kwa muumba wake. Kwa hivyo kuna mambo watu wanaumiza Sana vichwa kuyajua
1.bustani Ni mwili wa mwanamke
2.mti wa ujuzi wa mema na mabaya Ni tendo la kulawiti/kulawitiana/kulawitiwa
3.mti wa uzima Ni Ile njia ya tendo LA ndoa ambayo Ni imehalalishwa na mwenyezi mungu pale tu unapofanya ki utaratibu ambao mungu anaukubali
4.nyoka Ni Yule jini luciopher
Nikipata muda nitaeleza haya mambo vizuri ili tuyaelewe kutokea katika maandiko pia tukumbuke kwamba maneno ya mungu mtu yeyote anaweza kuyasoma lakini sio kuyaelewa
.....ngoja nifuatilie mkeka wangu....
Huwa hatujiulizi maana ya ile miti miwili kwenye bustani ya Eden,,mti wa kwanza ulikuwa mti wa uzima na wa pili MTI WA MEMA NA MABAYA..na yote kaipanda Mungu.Kwa nini unahoji maswali mengi yanayohusu masahibu yetu wakati babu yetu wa siku nyingi alikula matunda ya mti wa mema na mabaya??

Dhambi kaiumba Mungu ni kweli lakini kuna namna alitaka tuishi ili isituathiri na wewe unajua.

Mtu anaposema eti Mungu alileta kifo maana hana accommodation za kutuhifadhi ni jambo la kustaajabisha,,,labda Kuna mtu aliwahi kujiuliza hizo sayari nyingine kaumbiwa nani?? Mtu anamwongelea Mungu kwamba ni failure pasi na kutafakari kwa kina kwa nini!!

Na tusisahau kitu kimoja zamani ya Adam Mungu Alikuwa anakaa na binadamu kila jioni anakuja kumsalimia Adam,,,je tunajua alikuwa anaongea nae nini??
 
Sawa, hana mwanzo wala mwisho,

Je, kabla ya kuumba mbingu na dunia (na chochote), alikuwa anaishi wapi!?
Alikuwa anaishi kwenye space (kwa vile hakukuwa na chochote kilichokuwa kimeumbwa)
 
Kwa hiyo space haikuumbwa na Mungu!?
Space haiumbwi. Labda nitumie neno lingine ni kwamba kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu, Mungu alikuwa anaishi kwenye sehemu iliyowazi/tupu (hakukuwa na chochote kile zaidi ya yeye mwenyewe tu)
 
Hakuna kitu chenye uwepo ambacho ni mungu ni nadharia tuu kama nyoka kuazima macho kwa jongoo akachezee ngoma!
 
Hakuna kitu chenye uwepo ambacho ni mungu ni nadharia tuu kama nyoka kuazima macho kwa jongoo akachezee ngoma!
Siku zote jambo likishakuwa la imani basi lazima watawepo wenye kuamini na wasioamini,hakuna jambo la imani lenye kuaminiwa na watu wote.

Lakini ambacho hadi sasa sijapata majibu ni madai ya kwamba hakuna Mungu,sijajua ni vp wameweza kujua hakuna Mungu?
 
NDIYO na SIYO..!

Najua hutaelewa maana kichwa chako kitakuwa kidogo. Iko hivi Mungu ni chanzo cha kila kitu hapa duniani na mbinguni ila sasa kwasababu na makusudi maalum.

Kitalaam( sheria&law philosophy) waliosoma criminology wanajua kuwa ni sheria tu, inayoweza kuunda/kuumba kosa. Kwa msingi huo nasema dhambi ni kosa au crime kwa Mungu na hakuna dhambi ambayo haivunji AMRI/SHERIA ZA Mungu rejea vitabu vya sheria ya Musa(vitabu vitano vya mwanzo katika agano jipya).

Pili siyo Mungu aliyeumba dhambi Mungu kaumba sheria na kuziwekea utaratibu wa kuzitekeleza siye tunaozivunja ndiyo waumba dhambi, ingawa Shetani anasingiziwa kila kukicha.

Bila shaka nimejibu kwa ufupi.
DHAMBI ILIKUJA KABLA YA SHERIA. MUSA NA SHERIA ZAKE ALIKUJA NYUMA YA ADAMU NA EVA.
 
Space haiumbwi. Labda nitumie neno lingine ni kwamba kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu, Mungu alikuwa anaishi kwenye sehemu iliyowazi/tupu (hakukuwa na chochote kile zaidi ya yeye mwenyewe tu)
Kumjibia mungu maswali kazi sana.
 
Nitajibu Kwa muongozo wako namba 3, kuhusu watu kujaa kwenye uso wa dunia, unadhani tusingekufa milele kuna madhara labda yangetokea??? Mi Siamini kwamba kifo control ya population
 
Siku zote jambo likishakuwa la imani basi lazima watawepo wenye kuamini na wasioamini,hakuna jambo la imani lenye kuaminiwa na watu wote.

Lakini ambacho hadi sasa sijapata majibu ni madai ya kwamba hakuna Mungu,sijajua ni vp wameweza kujua hakuna Mungu?
Naweza kujua kwa uhakiki wa kimantiki kwamba hicho kitu hakipo na hakikuwahi kuwepo zaidi ya hadithi,hakuna matendo bayana wala misikiko ya sauti na muonekano wa aina yeyote sifa zake zote zimebakia kuwa hadithi na vihisishi,KIKIWEPO KWA UWEPO ITAKUWA VYEMA ZAIDI*
 
Nahitimisha mjadala kwa kusema "Kama Mungu angemuua Shetani baada ya kuasi je siku mtakapopata hizo habari mngeamini vipi kwamba shetani alikuwa muasi hivi???

Je mngeamini vipi kwamba Mungu ana upendo kwa wema na wabaya???

Ila niwashauri tu tusitende dhambi Kwa makusudi tujitahidi hat zile za bahati mbaya tuzitubu upesi tujuapo.
 
Back
Top Bottom