Je, Mungu ana sura ya mwanadamu?

Je, Mungu ana sura ya mwanadamu?

Elimu ya biblia,inabidi kwanza ukasome original bible ya kiyunani,kiebrania ilivyosema,je sura,ndio image?yaani Mungu akuumbe wewe,wewe unaweza kuwa na watoto,ila aliyekuumba hana uwezo wa kuwa na watoto!!
Je image of God,ndio tafsiri yake ndio sura!!pili kujadili Elimu ya dini wakati huna hata Elimu ya Dunia yq kutosha,ni kutapatapa!!
 
[emoji117]TULIYEKUWA TUNAMWABUDU KABLA YA UJIO WA WESTEN RELIGIONS ANAFANANAJE ??
 
TATIZO HIYO TORATI INAFANYIWA MAREKEBISHO INA MAMBO MENGI AMBAYO NIYA WANADAMU
Mkuu bila shaka maneno haya yako kwenye koran, sasa iweje kwenye torati aseme anamfanya mtu kwa sura yake alafu baadaye ije Koran iseme hafanani na chochote?
 
mbinguni unapewa wanawake bikira 72 wahi maana nafsi ni chache
 
Mwanzo 1:26
"Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi."

Kwanza kabisa, Mungu anaonekana anazungumza na mtu/watu ambao wanafanana maumbile na muonekano wao.. (Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; )

Hebu jiulize duniani tupo watu wangapi? Maelfu ya mamilioni bila shaka, na sote tunatofautiana sura zetu.. SWALI, Je Mungu Kama alimfanya mwanadamu kwa mfano wake, kwa sura yake kwanini wanadamu tunatofautiana?

Ili kupata JIBU la swali hili lazima tujiulize wanadamu WANAFANANA kitu gani? - Sura (Hapana), Maumbo (Hapana), Fikra (Hapana), Je kipi haswa wanafana Basi? Bila shaka ni ROHO.. Kila mwanadamu ana Roho, na hii ndio inawapa ufanano wanadamu.

Hivyo Basi, tumeomana wanadamu wanafana Roho.. bila shaka huu ndio mfano wa Mungu, hii ndio sura/muonekano wa Mungu.

Sasa Basi, tutizame Maandiko matakatifu yanasemaje, Mungu ana muonekano upi?

Kwa pamoja, sote tunaotamani kupata jibu la swali hili tuangalie kile kitabu cha mwanzo, ile sura ya kwanza ule mstari wa pili..

Mwanzo 1:2
"Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji."

Basi kumbe Maandiko matakatifu yanasema kuwa Mungu ni ROHO, Hapa sasa tunaona ya kuwa mfano wa Mungu na sura ya Mungu ndani yetu ni ROHO ZETU.
 
Mkuu roho si ina mfano wa mwanadamu
 
Wote watakubabaisha, hili swali tuliache tutalijibu tukifika mbinguni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom