Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

Kijana mbona una kichwa kigumu namna hii ? Hiyo miaka elfu ni kwako wewe ila yeye Malaika ni siku moja, kwa maana yeye anafika sehemu ya siku au siku kamili, ambayo kwako ukiijesabu ni sawa na miaka elfu.

Sasa nilipokwambia hujaelewa ujue hujaelewa kweli, kasome aya ziko wazi sana. Nilitaka nikujibu kwa maneno machache sana, maan ulichokiandika ni kama unarudia kosa lilelile bali unarudia kabisa kosa lile lile.
Mkuu bado pia haujanielewa ila ngoja twende unavyotaka wewe kisha tutarudi kwenye swala la awali naomba unioe ufafanuzi wa aya hii hapa

"Na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi. (al Hajj :47)"

Hasa hapo mwisho kwenye hesabu ya siku za mwenyezi mungu na siku zetu sisi.

Kingine ni kuwa kwa hesabu unazonaminishia wewe kutokana na majibu ya uliyotoa kwenye maelezo yote mawili ni kwamba , malaika wanatumia siku za kibinadamu kusafiri kutoka duniani kwenda mbinguni kwa maana kwamba .

Kama anaweza kutok duniani mpaka mbinguni kwa siku moja ambayo sisi tutaweza kutumia miaka elfu moja/elfu hamsini mpaka kufika mbinguni hii inamaanisha kilichoongelewa hapo ni umbali na spidi wanayotumia malaika na wala si wanavyohesabu siku zao wao.

Kwa maelezo hayo ndo yanaleta mantiki ya aya hiyo( Na allah anajua zaidi) .

Lakini pia kama tukikubaliana kwamba kilichoongelewa hapo ni siku hizi za kibinadamu na kinachofanya miaka iwe mingi ni umbali kati ya mbingu na dunia , tunapata changamoto nyengine ambayo ni je? Aya hiyo hapo ya 47 inaongelea siku zipi za mwenyezi mungu?

Hitimisho
Mkuu ninaomba unapokuwa ukisoma reply zangu ujaribu kufikiri kiundani maana hapo inayoongelewa ni aya ndani ya quran tukufu na haihitaji kujibiwa kwa maelezo ya juu juu tu.
Jaribu kutuliza kichwa utaelewa kwanini aya hiyo inanichanganya na kwanini wewe kama wewe pia haujaielewa maana yake halisi.
 
Naona umejiweka wazi na kujitundika mwenyewe. Nilijua huna asili ya majibu yako zaidi ya maoni kama alivyokuwa anatoa maoni ya kufuru Mirza Allah amlaani.

Wewe ndiye utalaanika muda sio mrefu, omba msamaha mapema.

Huyo Mirza Ghulam Ahmad (as), naapa kwa yule Allah ambaye maisha yangu yapo mikononi mwake, huyo ni nabii wake, Allah kamtuma kuja kuwaunganisha Waisilamu wote na kuifanya Islamu itamalaki dunia nzima, huyo Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) ni nabii mfuasi aliyetabiriwa na kipenzi chetu Mtukufu wa daraja Mtume Muhammad (saw) kufika katika zama hizi, kejeli dhidi yake ni kujitafutia laana kubwa, na nilipata kukuonya kwamba kwa wewe kuendelea kumtusi na kumkejeli Hadhrat Ahmad (as) NI WEWE PEKEE KATIKA HII DUNIA UTABAKI KUWA SALAMA, wapo watu wenye nguvu kubwa walijaribu lakini Allah aliwaangamiza kwa fedheha kubwa na jumuiya ya waisilamu wa Ahmadiyya inazidi kupeta, kila mwaka wanajiunga malaki ya watu na jumuiya hii ndiyo jumuiya inayokuwa kwa kasi kubwa kuliko jumuiya za dini zote duniani.

Rai yangu ya upendo kwako ni hii:--

---Acha matusi na kejeli kwani huo sio Uisilamu.
---Allah pekee ndiye anayetujua undani wetu zaidi ya sisi tunavyojijua.
---Allah ndiye mjuzi wa kila kitu, naye anamjua vyema Hadhrat Ahmad (as) kuliko mimi na wewe.
----Fanya hichi kitu: amka usiku na swali swala ya Tahajjud kwa unyenyekevu, kwa kumlilia Allah ili akuonyeshe UKWELI au UONGO wa Hadhrat Mirza, mimi ninakuambia Hadhrat Mirza ni nabii mkweli lakini mimi ni nani mbele ya kauli ya Allah atakapokujibu pale utakapomuomba kujua uhakika kuhusu Hadhrat Ahmad (as)??, ndugu yangu ninakusihi fanya Swala ya Tahajjud hata kwa siku kadhaa umuombe Allah kwa unyenyekevu bila ya kuwa na hisia ya kejeli dhidi ya Hadhrat Ahmad (as), naapa Wallahi Allah atakuonyesha ukweli.

Unaposwali sala ya Tahajjudi achana kabisa na maneno ya uongo ya kashfa yaliyotungwa na wapinzani wa Hadhrat Ahmad (as), wewe jikite wewe mwenyewe mbele ya Allah kuomba ili akuonyeshe ukweli katika njia anayoijua yeye mwenyewe.

Ni matumaini yangu kwamba utashika njia hii ya maombi ili kujua ukweli.

Na Allah akubariki, Alhamdulillah.
 
Ilikuwa tunazungumzia neno "nyakati" sasa kwa kukosa hoja na kuona kamusi zinakugonga kwa huo uzandiki wako umezusha maneno mengine "msimu na majira"---- mimi sijaongea maneno hayo. Mimi nipo kwenye neno nyakati, na utuambie ile tafsiri yako ya kizandiki ya nyakati uliipata wapi??

Akili yako umeifanya kuwa "rigid" shida ni huo uhafidhina wako, mtu ukikumbatia uhafidhina basi unajifungia milango yote ya akili kuwa flexible hata katika mambo ya kawaida tu (commonsense matters), na hapo busara na hekima huondoka na matusi, majivuno na kibri hutamalak zinazobaki tu ni kelele na ngebe za kujionyesha ili watu wajue fulani upo.

Macho na misuli ya shingo inabaki kukutoka kutafuta matusi na kero za kuudhi wenzio baada ya kushindwa hoja.

Wewe bado ni mtoto katika elimu nyingi, Kuwa mnyenyekevu na uwe mnyenyekevu kumuomba Allah akuzidishie ilm.

Mti wenye matunda matawi yake huinama kwa uzito wa matunda na mti uso matunda matawi yake huinuka wima bure na kila mtu atauona, basi omba kwa Allah matawi yako yajae matunda ili yainame kwa unyenye
Mimi nimeweka aya ziko wazi kabisa, na zimeelezea siku. Sababu wewe marejeo yako ni kwa hayawani Mirza.

Wewe tuambie tamko nyakati umelipata wapi mpaka unalitumia katika aya ?
 
Wewe ndiye utalaanika muda sio mrefu, omba msamaha mapema.

Huyo Mirza Ghulam Ahmad (as), naapa kwa yule Allah ambaye maisha yangu yapo mikononi mwake, huyo ni nabii wake, Allah kamtuma kuja kuwaunganisha Waisilamu wote na kuifanya Islamu itamalaki dunia nzima, huyo Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) ni nabii mfuasi aliyetabiriwa na kipenzi chetu Mtukufu wa daraja Mtume Muhammad (saw) kufika katika zama hizi, kejeli dhidi yake ni kujitafutia laana kubwa, na nilipata kukuonya kwamba kwa wewe kuendelea kumtusi na kumkejeli Hadhrat Ahmad (as) NI WEWE PEKEE KATIKA HII DUNIA UTABAKI KUWA SALAMA, wapo watu wenye nguvu kubwa walijaribu lakini Allah aliwaangamiza kwa fedheha kubwa na jumuiya ya waisilamu wa Ahmadiyya inazidi kupeta, kila mwaka wanajiunga malaki ya watu na jumuiya hii ndiyo jumuiya inayokuwa kwa kasi kubwa kuliko jumuiya za dini zote duniani.

Rai yangu ya upendo kwako ni hii:--

---Acha matusi na kejeli kwani huo sio Uisilamu.
---Allah pekee ndiye anayetujua undani wetu zaidi ya sisi tunavyojijua.
---Allah ndiye mjuzi wa kila kitu, naye anamjua vyema Hadhrat Ahmad (as) kuliko mimi na wewe.
----Fanya hichi kitu: amka usiku na swali swala ya Tahajjud kwa unyenyekevu, kwa kumlilia Allah ili akuonyeshe UKWELI au UONGO wa Hadhrat Mirza, mimi ninakuambia Hadhrat Mirza ni nabii mkweli lakini mimi ni nani mbele ya kauli ya Allah atakapokujibu pale utakapomuomba kujua uhakika kuhusu Hadhrat Ahmad (as)??, ndugu yangu ninakusihi fanya Swala ya Tahajjud hata kwa siku kadhaa umuombe Allah kwa unyenyekevu bila ya kuwa na hisia ya kejeli dhidi ya Hadhrat Ahmad (as), naapa Wallahi Allah atakuonyesha ukweli.

Unaposwali sala ya Tahajjudi achana kabisa na maneno ya uongo ya kashfa yaliyotungwa na wapinzani wa Hadhrat Ahmad (as), wewe jikite wewe mwenyewe mbele ya Allah kuomba ili akuonyeshe ukweli katika njia anayoijua yeye mwenyewe.

Ni matumaini yangu kwamba utashika njia hii ya maombi ili kujua ukweli.

Na Allah akubariki, Alhamdulillah.
Allah amlaani Mirza.
 
Mkuu bado pia haujanielewa ila ngoja twende unavyotaka wewe kisha tutarudi kwenye swala la awali naomba unioe ufafanuzi wa aya hii hapa

"Na wanakuhimiza ulete adhabu, lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi. (al Hajj :47)"

Hasa hapo mwisho kwenye hesabu ya siku za mwenyezi mungu na siku zetu sisi.

Kingine ni kuwa kwa hesabu unazonaminishia wewe kutokana na majibu ya uliyotoa kwenye maelezo yote mawili ni kwamba , malaika wanatumia siku za kibinadamu kusafiri kutoka duniani kwenda mbinguni kwa maana kwamba .

Kama anaweza kutok duniani mpaka mbinguni kwa siku moja ambayo sisi tutaweza kutumia miaka elfu moja/elfu hamsini mpaka kufika mbinguni hii inamaanisha kilichoongelewa hapo ni umbali na spidi wanayotumia malaika na wala si wanavyohesabu siku zao wao.

Kwa maelezo hayo ndo yanaleta mantiki ya aya hiyo( Na allah anajua zaidi) .

Lakini pia kama tukikubaliana kwamba kilichoongelewa hapo ni siku hizi za kibinadamu na kinachofanya miaka iwe mingi ni umbali kati ya mbingu na dunia , tunapata changamoto nyengine ambayo ni je? Aya hiyo hapo ya 47 inaongelea siku zipi za mwenyezi mungu?

Hitimisho
Mkuu ninaomba unapokuwa ukisoma reply zangu ujaribu kufikiri kiundani maana hapo inayoongelewa ni aya ndani ya quran tukufu na haihitaji kujibiwa kwa maelezo ya juu juu tu.
Jaribu kutuliza kichwa utaelewa kwanini aya hiyo inanichanganya na kwanini wewe kama wewe pia haujaielewa maana yake halisi.
Naona unaendelea kukosea. Yaani uko pale pale.
 
Mimi nimeweka aya ziko wazi kabisa, na zimeelezea siku. Sababu wewe marejeo yako ni kwa hayawani Mirza.

Wewe tuambie tamko nyakati umelipata wapi mpaka unalitumia katika aya ?

Kamusi za Lane & Aqrab na
Ile ya kiswahili niliyonukuu zimetungwa na Hadhtat Mirza Ghulam Ahmad (as)??!!

Umeshindwa hoja na umeamua kumuingiza katika mjadala Hadhrat Ahmad (as) kwa kumtusi, unafahamu kwa kufanya hivyo nitagadhibika na kuacha mjadala, basi ninaacha mjadala na wewe kwasababu tu kuendelea kujadiliana na wewe kutakufanya ushikwe na Wazimu zaidi na utaendelea kumtusi asiyehusika na mjadala huu Hadhrat Ahmad (as), hivyo naacha kujadili kwa sababu hiyo tu na sio kwasababu unacho chochote cha maana cha kuwakilisha hapa.

Na Allah anakusikia na matusi yako dhidi ya mtume wake Hadhrat Ahmad (as) mwanzilishi mtukufu wa jumuiya ya waislamu waahmadiyya, onyo langu ni lilelile; UTAKUWA NI MTU WA KWANZA KUSALIMIKA UKIENDELEA KUMTUSI HADHRAT AHMAD (as), labda uwe ni mwendawazimu na hujui utendalo hapo Allah anaweza kukuacha na uwendawazimu wako sababu pia uwendawazimu ni adhabu tosha.
 
Mbingu nazo ziliumbwa according to Bible.
Mungu hakai mbinguni , kama anakaa mbinguni je, kabla ya kuziumba alikuwa anaishi wapi?
Je, tukubali kuwa alihamisha makazi alipokuwa anaishi na kuhamia mbinguni?
Nakupa challenge tu hapa ili ufahamu wako uondoe dhana ya kusema Mungu anaishi mbinguni.
Mungu ni wa kiroho zaidi, sio (kitu) na yupo popote! Sio (mbinguni tu)

Hivyo swali la kwamba aliishi wapi kabla hajaumba mbingu na ardhi halina mashiko. Labda kama unamchulia ni kama viumbe wenginewe"

Musa alipoomba kumuona mungu aliona nn vile?
 
So hata mungu mwenyewe hakuwepo?
Rudia kusoma Kutoka,

Hapo mwanzo palikuwa na neno, huyo neno alikuwa kwa mungu, na huyo neno alikuwa ni mungu.

Ni neno tu (roho) alisema "kuwa" na ikawa!

Eti hakuwepo! Kwa sababu hana pakukaa!? Ni mtu yule?
 
Maelezo hayo hayajajitosheleza

Yamedai Neno alikua kwa mungu ila hayajaeleza huko alikokua huyo mungu ni wapi

Unaweza ukajibu swali hilo?
 
Naona unaendelea kukosea. Yaani uko pale pale.
Naona bado haujanielewa mkuu sawa twende hivi. Nanukuu kutoka kwenye jibu lako la juu.

"Yaani ni sawa na tuseme Treni ya Umeme yenye mwendokasi wa 280km/h mathalani kufika Mwanza, ila ni zaidi ya muda huo kwa basi, je kwa mwendo huo wa Treni kwa kutoka hapo Station kufika kimara, bila shaka ni muda mchache sana kwa kutumia Treni. " mwisho wa kunukuu.

Nimeku nukuu hapo juu ulipotoa mfano wa treni nikwambie tu mfano wako wa treni hauendani kabisa na aya ile ya 48 bali unaendana sana na mfano wangu wa umbali(distance) .

Kwa sababu unapoongelea treni na basi unaongeleza zaidi utofauti wa spidi kati ya vitu hivyo viwili na umbali ambao vitachukua kusafiri kutoka hapo stesheni mpaka mwanza .

Hauoni kuwa upo pale pake kwanba aya inaongelea umbali(distance) na sio utofauti wa uhesabuji masiku?
Au mimi ndo bado sielewi?

Na allah anajua zaidi.
 
Mungu ni wa kiroho zaidi, sio (kitu) na yupo popote! Sio (mbinguni tu)

Hivyo swali la kwamba aliishi wapi kabla hajaumba mbingu na ardhi halina mashiko. Labda kama unamchulia ni kama viumbe wenginewe"

Musa alipoomba kumuona mungu aliona nn vile?
Hujajibu hoja yangu.
Vipi biblia inavyosema Mungu aliye mbinguni unatafsiri vipi?
 
Yeah ni kweli.
Maana biblia ilisema siku moja kwa mungu nimiaka elfu moja.
Na akamwambia adam siku utakayokula matunda ya ule mtu siku io io utakufa.
Na kweli adam alikufa akiwa na miaka 900
 
Hiyo hofu wewe umeijuaje,umeitoa wap, kama sio kwenye vtabu ambavyo ww unasema vimeandikwa na binadam? Maana walisoma wakajua makatazo ya Mungu na ghadhabu zake ndio wakaja kukuambia wewe nawe ukaelewa ukapata hofu
Wewe hapo ulipo unaweza kuua mwenzako just because uko bored? Hiyo ni hofu kama ulikuwa hujuwi, however, Mohammed alikuwa anaua tu watu tena kwa raha zake mwenyewe.
 
Kabla ya kueleza mengine huenda ukawa na ufahamu tofauti kuhusu Bing bang theory so labda nikuulize wewe unaifahamu vipi? Pia huenda kumbukumbu zangu hazipo sawa ila naomba hicho kipengele kinachozungumzia miaka 6000 katika Biblia.Ahsante
_ Uliposoma kichwa cha uzi hujaona 6000?

_ Kabla ya uvumbuzi wa mbinu za kisayansi zinazohusiana na muda ( mfano Radiometric dating na zingine) njia pekee iliyotumika kujua umri wa dunia wakati huo ni maandiko ya kidini.

_ Due to the strength of christian religion in the 17th century wataalam wa maadiko waliichimba biblia na kupata muda huo wa miaka 6000 na ndio uliaminika kuwa ni umri wa dunia kwa wakati huo. Ukiniambia hujui hiyo miaka 6000 imetoka wapi, basi napata wasiwasi na uelewa wako kama unatosha kuchangia huu uzi.

_ Sayansi ilikuja na muda wa miaka 4.6b baada ya kufanya radiometric dating ya miamba na madini na hivyo kupingana na muda uliotokana na matukio yaliyo kwenye maandiko, hili pekee linatosha kukuonyesha kwamba sayansi na dini havichangamani. Usitumie scientific facts ili kujustify maandiko, kufanya hivyo utakua huijui dini wala sayansi.

_ The bing bang is just a theory trying to explain about the origin of the universe, it provides the best explanations so far lakini haimaanishi ndio kilichotokea zaidi ya miaka 7b iliyopita. By the way umri w ulimwengu paka leo hii bado ni guesses.

_ Kama bado hutaki kunielewa basi elezea kisayansi tukio la yesu kutembea juu ya maji.[emoji1][emoji1] Ukishidwa basi ujue kwamba unapoongelea dini science sio mahali pake, na unapoongelea science dini haihusiki kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kati yetu humu jukwaani hakuna anayejuwa kesho yake .

Basi hakuna atakayejuwa MUNGU alikuwa wapi na anaishi wapi..

God is great.

Kesho yake tu??!!, hata kuona tongotongo au uchafu uliopo mbele ya ncha ya pua yake, kumbuka tongotongo zipo machoni na ncha ya pua ipo jirani na macho.
 
Naona bado haujanielewa mkuu sawa twende hivi. Nanukuu kutoka kwenye jibu lako la juu.

"Yaani ni sawa na tuseme Treni ya Umeme yenye mwendokasi wa 280km/h mathalani kufika Mwanza, ila ni zaidi ya muda huo kwa basi, je kwa mwendo huo wa Treni kwa kutoka hapo Station kufika kimara, bila shaka ni muda mchache sana kwa kutumia Treni. " mwisho wa kunukuu.

Nimeku nukuu hapo juu ulipotoa mfano wa treni nikwambie tu mfano wako wa treni hauendani kabisa na aya ile ya 48 bali unaendana sana na mfano wangu wa umbali(distance) .

Kwa sababu unapoongelea treni na basi unaongeleza zaidi utofauti wa spidi kati ya vitu hivyo viwili na umbali ambao vitachukua kusafiri kutoka hapo stesheni mpaka mwanza .

Hauoni kuwa upo pale pake kwanba aya inaongelea umbali(distance) na sio utofauti wa uhesabuji masiku?
Au mimi ndo bado sielewi?

Na allah anajua zaidi
Bado hujaelewa, soma tena aya.
 
Back
Top Bottom