Yeah umenipa fikra mpya, kwahiyo tusitegemee uzao wa binadamu kuishi zaidi ya miaka 1000Yeah ni kweli.
Maana biblia ilisema siku moja kwa mungu nimiaka elfu moja.
Na akamwambia adam siku utakayokula matunda ya ule mtu siku io io utakufa.
Na kweli adam alikufa akiwa na miaka 900
Sehemu ni eneo, mahali au kituo! Zote hizi zinaitwa sehemu. Ili ziitwe/paitwe sehemu ni lazima uwepo uwepo.Kwamba anaweza akawepo katika sehemu ambayo haipo?
Aah mzee hii futuhi ya wapi?
Kama hakuna eneo utapataje tukio?Sehemu ni eneo, mahali au kituo! Zote hizi zinaitwa sehemu. Ili ziitwe/paitwe sehemu ni lazima uwepo uwepo.
Hakuna uwepo utapaitaje eneo? Haileti maana ikiandikwa/kutamka akawepo katika sehemu ambayo haipo! Pasipo kuwepo na uwepo hapawezi kuitwa au kuwa sehemu.
Mahala pa kuwepo umewekewa wewe ili uwepo. Yeye hahitaji uwepo kwa sababu yeye ni uwepo.
Yeye alikuwepo, uwepo wake hauhitaji mahali. Yeye ni yeye mwenyewe. Alikuwepo kabla ya chochote!
Hayupo Mbinguni wala hayupo ardhini. Inawezekana vipi? Kwa sababu yeye ni Mungu.
Hakuna mawazo ya binadamu yatakayokupa jibu la uwepo wa MUNGU na ukaelewa. Iwe kwa mfumo wa sayansi au dini. HAKUNA. Wewe chagua njia ya imani utakayopita.Kama hakuna eneo utapataje tukio?
AN:0Hizo "siku" sita ni nyakati sita.
Nyakati ni "cycles", umri wa dunia ni mabilions ya miaka, sasa ukigawanya hayo mabilions ya miaka utapa kila nyakati una umri wa bilions kadhaa za miaka.
Katika kila nyakati umbo la dunia lilikuwa likibadilika hadi nyakati ya mwisho (ya 6) dunia ilipochukua sura kamq hii t unayoiona leo, sura ambayo ina mito, maziwa, bahari, Ozone layer, atmosphere, viumbe hai nk,.
Mungu kupumzika katika siku ya 7, maana yake (yawezekana) ni kwamba katika nyakati ya 7 duniani hakukutokea au hakutatokea mabadiliko yoyote yaani Mungu hakufanya commandment yoyote kubadilisha umbo la dunia, Mungu kupumzika haina maana kwamba Mungu alichoshwa na shughuli za uumbaji na akaamua kupumzika, lazima tukumbuke kuwa Mungu ni mkamilifu katika kila hali, hasinzii, halali, hali, hanywi, hachoki nk, tukisema kwamba Mungu alipumzika jinsi tunavyopumzika sisi viumbe vyake basi ipo siku (apishe mbali) wstu watasema Mungu atakufa kama jinsi viumbe wake tunavyokufa. Mungu apishe mbali na atuepushe na fikra mbovu za kumdhalilisha.
Kijana mbona unaandikiwa kauli nyeoesi sana ila kuzielewa ndiyo huwa kazi. Unaweza kutuambia sehemu ambayo haipo kipi kinaweza kuwepo ? (Ulivyo andika wewe ndiyo vichekesho).Kwamba anaweza akawepo katika sehemu ambayo haipo?
Aah mzee hii futuhi ya wapi?
Hasa kwa zama zetu sisi wastani wa kuishi ni miaka 60 mpaka 70, waakao zidi hapo ni wachache sana.Yeah umenipa fikra mpya, kwahiyo tusitegemee uzao wa binadamu kuishi zaidi ya miaka 1000
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Kwanza unakubali kua sehemu ambayo haipo kunawezekana kitu kuwepo?Kijana mbona unaandikiwa kauli nyeoesi sana ila kuzielewa ndiyo huwa kazi. Unaweza kutuambia sehemu ambayo haipo kipi kinaweza kuwepo ? (Ulivyo andika wewe ndiyo vichekesho).
Kwani saizi tunavyojua mungu anaishi mbinguni tumetumia akili gani kama akili ya binadamu haiwezi kujua makazi ya mungu?Hakuna mawazo ya binadamu yatakayokupa jibu la uwepo wa MUNGU na ukaelewa. Iwe kwa mfumo wa sayansi au dini. HAKUNA. Wewe chagua njia ya imani utakayopita.
Jibu kwanza swali nililo kuuliza, kisha nikujibu swali lako.Kwanza unakubali kua sehemu ambayo haipo kunawezekana kitu kuwepo?
Swali lako limenipa mashaka umeonesha kukosea kumuuliza mtu ambaye siye mjenga hoja ambayo ime base kwenye swali lakoJibu kwanza swali nililo kuuliza, kisha nikujibu swali lako.
Hivi uoga utaacha lini kijana ? Kama una uwezo onyesha kama swali halikuhusu kisha mimi nitakujibu swali lako, kinyume na hapo unanipotezea muda kijana.Swali lako limenipa mashaka umeonesha kukosea kumuuliza mtu ambaye siye mjenga hoja ambayo ime base kwenye swali lako
Na ndio maana nimekuuliza hilo swali ili nijue we pakuanzia kukujibu endapo nitaonekana ni mimi ndiye niliyeweka hayo madai
Ili niweze kujua kama hilo swali linanihusu mimi tafadhali naomba uniambie unakubali kua sehemu ambayo haipo kunawezekana kitu kuwepo?
Nikikuambia unithibitishie mungu hayupo na wakati hakuna sehemu uliyoandika hivyo, utakubali swali hilo kulijibu hata kama halihusiani na hoja zako?Hivi uoga utaacha lini kijana ? Kama una uwezo onyesha kama swali halikuhusu kisha mimi nitakujibu swali lako, kinyume na hapo unanipotezea muda kijana.
Pili, soma nilipo kunukuu kisha pima na ulichokiandika hapo juu.
Tatu, kama ungekuwa makini na kutaka kujua swali linakuhusu au la! Usingeniuliza tena swali, sababu swali lako limethibitisha ya kuwa nililo kuuliza linakuhusu na wala halitaki bayana ya kujua ni lako au la!
Nne, nakuhusia juu ya jambo moja, kama uwezo wako wa kung'amua mambo na uelewa wako mdogo, kwenye mijadala kama hii bora uwe msomaji tu.
Kazi yangu nimemaliza.
Sijaona swali hapo!Kama hakuna eneo utapataje tukio?
Pengine una matatizo ya macho ndio maana huoniSijaona swali hapo!
Elewa kwanza kisha ndiyo uulize.
Mungu akisema iwe inakua?Mungu Ameiumba Dunia Kwa Siku Sita,Yes Siku Sita,Yani 1,2,3,4,5,6 na 7 Akapumzika/Starehe/Jiridhisha Kwa Kazi Aliyoifanya.
Tukumbuke Ya Kuwa Uwezo Wa Mungu Ni Tofauti na Uwezo Wa Mwanadamu.
Mungu Akisema Naiwe,Inakuwa Kumbuka Anatiisha,Haombi Au Kutumia Akili Kutengeneza Kiwe Kama Mwanadamu.
Nikirudi Kwenye Hoja Ya Siku,Mungu Alitiisha Jambo Litokee Kuanzia Siku ya Kwanza Mpaka Ya Sita,Na Saba Kujiridhisha. (Kumbuka Hapa Ndo Kuna Ile Dhana Inasema "Natumuumbe Mtu Kwa Mfano Wetu na Kwa Sura Yetu")
Nikija Kwenye Dhana Ya Miaka 1000 Ni Kama,Narudia Tena Ni Kama Siku Moja,Hii Mwandishi Alijaribu Kuielezea Raha Ipatikanayo Paradiso,Akilinganisha Usiku Mmoja na Miaka Elfu Moja.
Nilipokosea Nieleweshwe,Kwa Uelewa Wangu Niishie Hapa Kwanza.
Akisema Iwe Inakua.Mungu akisema iwe inakua?
Kwenye mpambano wake na shetani baada ya kuhasi tunaelezwa kulikua na vita huko juu, sasa mbona hakusema shetani kufa mpaka akaamua kutumia malaika wa vita ambao ambao nao walipata mshike mshike?
Kwenye kumdhibidi firauni hakuona best option ya kumfanya firaun ajisalimishe zaidi ya kuua watoto wadogo?
Kama ni mungu wa neno kwanini hakutumia neno la kumsalimisha firauni pasipo kuua vitoto visivyo na hatia?
alafu mbaya zaid,Wafia dini wanakuja kuaribu huu Uzi sio mda mrefu.