Allah hana sifa ya kutanguliwa na chochote yeye yupo.Nafurahi sana kuona namna ambavyo mna chalenjiana wenyewe kwa wenyewe.
Sasa nataka unisaidie kuniambia ni wapi mungu alikua akiishi kabla ya hapo alipo saizi?
Allah hana sifa ya kutanguliwa na chochote yeye yupo.Nafurahi sana kuona namna ambavyo mna chalenjiana wenyewe kwa wenyewe.
Sasa nataka unisaidie kuniambia ni wapi mungu alikua akiishi kabla ya hapo alipo saizi?
Hakuna binadamu ajuaye usingizi umempitia saa ngapi,,Mzee mbona unaniwekea mawazo yako kichwani mwangu?
Unajuaje hayo yote ilihali wewe sio mimi?
Quran haijasema mungu yupo mbingu ya saba?Nani kasema Mungu yupo mbingu ya 7 ???.
Hii itathibitisha nini?Put aside God, Counter question is this, je wewe unajua vitu vyote jinsi vinavyoishi???
Hizi habari za kuona zinaingiaje au zina uhusiano gani na swali nililokuuliza?Pia je wewe unajua namna "intelligent signals" zinavyo exist around us ??
Je wewe unaweza kuona kitu chochote kilichopo mbele yako in the day light???
Kwenye maswali magumu ambayo huwezi kuyajibu logically unaniwekea kikwazo kwa kuniambia habari ambazo ni irrelevant.Je wewe unaweza kusikia kila sauti ???.
Hayo ni maswali ya kujiuliza kwanza kabla ya kuanza kutafuta Maisha ya
Mungu, perception juu ya mazingira ya maisha yako tu yanakushinda iweje urukie kutaka kujua Maisha katika "realm" ya Mungu??!!
Kwanza leo umeshakula??
Wapi sasa?Allah hana sifa ya kutanguliwa na chochote yeye yupo.
Napingana na utafiti wakoHakuna binadamu ajuaye usingizi umempitia saa ngapi,,
Hiyo ni nature,,,
Unauliza maswali kama ya O'Bitek katika Wimbo wa Lawino. Kazi kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Alikua akiumba hivyo vitu akiwa wapi?
Hapo alipokua paliumbwa na nani?
Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kiujumla swala la Uumbaji, yakiwemo na maswali Mengi ya dini, ni maswali ya kifalsafa.
Kwa uelewa wangu, Muda sio tu relative, bali binadamu tumeweka na kujiwekea hesabu ya Muda ili tuishi kimpangilio.
Ila kiuhalisia hakunaga mwanzo na mwisho, ila upo mwanzo wa Jambo na mwisho wa japo, mwanzo na mwisho wa tukio, nk.
Mwanzo wa Maisha na mwisho wa Maisha, ya kiumbe au tukio.
Kuna dhana ya Mungu Hana mwanzo Wala mwisho. Mimi ni Muumini wa hiyo dhana.
Kama ana mwanzo na mwisho hiyo hawezi kuwa Mungu. Labda mmoja wa miungu" demigod/ or Idols"
Ila Mungu aliye mmoja hapaswi kuwa na mwanzo wala kuwa na mwisho wa existence yake.
Vinginevyo ni Bora kusema hakuna Mungu.
Biblia ilivyoandikwa imeandikwa na mwanadamu. Kuanzia ikiwa ni kitabu kimoja kimoja, kabla havija kusanywa na kuwa kitabu kimoja.
Enzi za Musa akiwa na vitabu vya Sheria/torati. Huo ndio ulikua mwanzo wa biblia.
Simulizi za Uumbaji zilianza kwenye vitabu vya Musa, kwenye kitabu cha Mwanzo. Fikiria kwa teknolojia, Maendeleo,Elimu, na Uelewa wa watu wa kipindi Cha Musa, Miaka mingi kabla ya Yesu, maana yake Zaidi ya Miaka elfu mbili iliyopita. Kungekuwa na namna gani Bora ya kuwaelezea watu wa kipindi hicho juu ya Uumbaji zaidi ya jinsi Musa alivyowaelezea kwenye kitabu cha Mwanzo.
Bila shaka namba rahisi kwa uelewa wa watu wa kipindi kile, ilikua lazima Musa avunje Zama za Uumbaji kwa kusema siku ili aweze kueleweka.
Ila siamini Kama kweli Uumbaji ulifanyika ndani ya siku sita, yaani masaa 24×6. Kama tunavyoelewa Sasa. Au Kama ambavyo yamekuwepo siku zote.
Nakubaliana na aliyesema hizo siku sita zilikua nyakati ambazo pengine ni Miaka Bilioni Moja, kwa kila wakati.
Sasa fikiria kwa kipindi Cha Musa hata neno Bilioni lilikuwepo?
Maana hata ukiangalia msamiati ulioo yesha namba kubwa iliotumika kwenye biblia ni elfu.
Sana sana wakitakuonyesha ni zaidi ya elfu litatumika neno maelfu kwa maelfu. Na lilitumika kwenye kuonyesha idadi ya vitu au watu.
Sasa achana na Hesabu hiyo rahisi.
Embu, fikiria Musa angepewa ufunuo wa Uumbaji kwa namna ambayo Leo hii sayansi inauelewa. Yaani Ile process yoote ya Evolution Kama sayansi inavyozidi kugundua Leo hii, ndio Musa angelielewa Hilo kipindi hicho.
Angemuelezea Nani ambaye angemuelewa. Na ingefaa nini kwenye kuwafanya watu aliokua akiwaongoza( waizraeli) waweze kumcha Mungu?
Hivyo naamini Maelezo ya Uumbaji Kama yalivyo kwenye kitabu cha Mwanzo Ni Simple Version ya Uumbaji, ambayo lengo lake lilikua ni watu wa kipindi hicho waweze kuelewa Mungu yupo na ndio chanzo Cha vyote vilivyoumbwa, hivyo wanapaswa kumcha yeye.
Sijui.Wapi sasa?
Hujui wewe au kuran?Sijui.
Sawa mkuu..endelea kupinga ukwlNapingana na utafiti wako
Unaelewa nini naposema "sijui" ? Nani nimemuhusisha zaidi ya nafsi yangu ?Hujui wewe au kuran?
Kama umejisemea wewe naomba unipe msjibu kutoka kwenye kuran
Mkuu kwanza niseme jibu lako halijaniridhisha na sijaleta swali kinyume labda twende taratibu kisha tutarudi kwenys swali langu la awali.Hii ni hesabu rahisi sana. Kwa maana hiyo ni kuwa Jibril ameshaimaliza kazi yake zamani sana. Jiulize kama siju moja ya Allah ni miaka elfu kwetu sisi, maana yake yake kwao muda wetu ni sehemu ndogo sana, yaani hata kitendo cha kupepesa macho kwao ni muda mwingi kwa munasaba wa miaka elfu kwetu sisi.
Yaani ni sawa na tuseme Treni ya Umeme yenye mwendokasi wa 280km/h mathalani kufika Mwanza, ila ni zaidi ya muda huo kwa basi, je kwa mwendo huo wa Treni kwa kutoka hapo Station kufika kimara, bila shaka ni muda mchache sana kwa kutumia Treni.
Ulichokosea wewe ni kulileta swali kinyume na maandiko yalivyo.
sababu nyakati huwa ni chini ya siku au sehemu ya mwaka,
Kwani kuran haina majibu?Unaelewa nini naposema "sijui" ? Nani nimemuhusisha zaidi ya nafsi yangu ?
Kijana mbona una kichwa kigumu namna hii ? Hiyo miaka elfu ni kwako wewe ila yeye Malaika ni siku moja, kwa maana yeye anafika sehemu ya siku au siku kamili, ambayo kwako ukiijesabu ni sawa na miaka elfu.Mkuu kwanza niseme jibu lako halijaniridhisha na sijaleta swali kinyume labda twende taratibu kisha tutarudi kwenys swali langu la awali.
Nikunukuu kwanza
"Kadhalika katika sura ya 70 bado inaelezea mlinganyo wa tukio la malaika kwenda kwa na ukisoma fasiri za Qur'aan zimeelezea maana ya hii aya kama ilivyokuja, kwa kuonyesha siku moja wanayotumia Malaika kwenda juu kwa Allah, ni sawa miaka wlfu 50 yetu sisi" mwisho wa kunukuu.
Kwa niivyoelewa nukuu hiyo hapo juu ni kwamba
1.Malaika wanatumia siku mojs kwenda kwa mwenyezi mungu (S.W) .
2.Siku moja wanayotumia wao kwenda kwa mwenyezi mungu ni sawa na miaka 50,000 kwetu sisi.
Sasa labda nikufafanulie kwa nilivyoelewa mimi na mfano wangu utaegemea zaidi aya inayosema miaka 1000 badala ya 50,000.
Ni kwamba kama malaika ataondoka duniani mwaka 1020(A.D) ina maana atafika kwa mwenyezi mungu mwaka huu wa 2020(A.D) kwake yeye ataona ametumia siku moja pekee na wakatu sisi imepita miaka 1000 tangia ameondoka duniani .
(Nipo tayari kurekebishwa kama nitakuwa nimeelewa vibaya).
Na pia ningeomba uelezee nukuu yako .
Naona umejiweka wazi na kujitundika mwenyewe. Nilijua huna asili ya majibu yako zaidi ya maoni kama alivyokuwa anatoa maoni ya kufuru Mirza Allah amlaani.Mimi muongo??!!, kama mimi muongo wewe ni mzandiki.
Huo uzandiki wako hapo juu kwamba "nyakati huwa ni chini ya siku au sehemu ya mwaka" umeupata wapi??!.
Shida yako ni kujifanya unajua kiswahili vyema na kiarabu huku ukiwa mweupe peee na kuendekeza ubishi wa kitoto.
Sasa angalia maana ya neno nyakati kutoka katika kamusi ya kiswahili ya karne ya 21, na pia angalia kipande "exerpt" ya kamusi za (Lane na Aqrab,Arabic English lexicon) juu ya neno Yaum (يوم), uone kama mimi nilikuwa nje ya muktadha.
Ndugu acha uhafidhina usiokuwa na tija, fungua akili yako na acha chuki na Allah atakusaidia.
View attachment 1663219
View attachment 1663217
Sijui.Kwani kuran haina majibu?
Kijana hii maana ya nyakati kwa kiswahili ndiyo niliyoikusudia mimi na mifano nikakupa, kwamba aidha katika sehemu ya siku kwa maana nyakati za usiku, au sehemu katika mwaka. Kama unakumbukumbu nzuri nilikwambia huko awali tamko nyakati sisi huwa tunalitumia pia kwa maana ya majira,yaani kioindi fulani au msimu fulani, ndiyo maana nilikutolea mfano wa nyakati za joto kwa maana msimu wa joto au majira ya joto.Mimi muongo??!!, kama mimi muongo wewe ni mzandiki.
Huo uzandiki wako hapo juu kwamba "nyakati huwa ni chini ya siku au sehemu ya mwaka" umeupata wapi??!.
Shida yako ni kujifanya unajua kiswahili vyema na kiarabu huku ukiwa mweupe peee na kuendekeza ubishi wa kitoto.
Sasa angalia maana ya neno nyakati kutoka katika kamusi ya kiswahili ya karne ya 21, na pia angalia kipande "exerpt" ya kamusi za (Lane na Aqrab,Arabic English lexicon) juu ya neno Yaum (يوم), uone kama mimi nilikuwa nje ya muktadha.
Ndugu acha uhafidhina usiokuwa na tija, fungua akili yako na acha chuki na Allah atakusaidia.
View attachment 1663219
View attachment 1663217
Kijana hii maana ya nyakati kwa kiswahili ndiyo niliyoikusudia mimi na mifano nikakupa, kwamba aidha katika sehemu ya siku kwa maana nyakati za usiku, au sehemu katika mwaka. Kama unakumbukumbu nzuri nilikwambia huko awali tamko nyakati sisi huwa tunalitumia pia kwa maana ya majira,yaani kioindi fulani au msimu fulani, ndiyo maana nilikutolea mfano wa nyakati za joto kwa maana msimu wa joto au majira ya joto.
Pili, kwa maana ya msimu, au nyakati huwa ni zenye kujirudia kwa maana vyovyote itakavyo utakuwa mchachefu wa maarifa kwa kudai yakuwa Allah alitumia vipindi sita au nyakati sita (Nimecheka sana). Siku ikipita ujue hairudi tena hiyo, ila nyakati au vipindi hujirudia ndiyo maana ukaitwa msimu au majir au nyakati.
Lakini hata hizo kamusi ulizotumia ziko dhidi zinaelezea siku kwa maana siku urefu wake na mawio namachweo. Kijana mbona mmerithi mpaka upunguani wa Mirza vile vile.