Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

Mimi nimeuliza mahali alipokua akiishi mungu kabla ya kufanya uumbaji ni wapi?

We unapajua alipokua anaishi kabla ya uumbaji?
Anapajua Mwenyewe.

Hakuna sehemu kaeleza jambo hilo kwa mujibu wa nilivyosoma.
 
Alipokua akisema kua na inakua, alikua yuko eneo gani wakati akitoa hizo command?
Kama kati yetu humu jukwaani hakuna anayejuwa kesho yake .

Basi hakuna atakayejuwa MUNGU alikuwa wapi na anaishi wapi..

God is great.
 
Kama unaukarbia ukweli hiv, mana umeeleza kwa mapana yenye uchache, maana kama kingeandikwa wazi kila kitu kwenye biblia sizan kama tungepata nguvu ya kusoma maana ungekuwa mzigo wa kitabu, lkn pia tumefichwa mengi na vingi mnooo vmebak kuwa siri tuuu maaana kama tungewekwa waz vyote sijui ingekuwaje.
Mimi naamini moja ya mambo yanayomfanya binadamu aweze kuishi. Ni Ile tamaa ya kuishi.

Na ili awe na tamaa ya kuishi Ni lazima binadamu "Kama race" tuwe na maswali ya kutafutia majibu, hapa ni kwa urahisi.

Ila kimapana ninamaanisha, lazima tuwe na vitu vya kugundua, na Ku invent , pamoja na majibu ya maswali mengine Kama ya kifalsafa.

Vinginevyo tukiwa na jibu la kila kitu, hatuta kuwa na tamaa ya kuishi. Maana yake Maisha hayatakuwa exciting kwa race ya binadamu.

Mfano Ni kwa watu walio fanikiwa kutimiza dreams za Maisha yao. Na kufeel wamesha achieve kila / au lile walilo litamani.

Wengi huingia kwenye depression, au baadhi kuishia kuwa na destructive behavior, mfano madawa ya kulevya. Ili kujaribu kutafuta kitu Cha kumexcite .

Sasa Kama majibu yoote yangekuwa kwenye Bible.

Laws zoote za science na explanation ya kila kitu ingekua huko. Tungefeel(wengi) hatuna purpose ya kuishi.

Hivyo wakati tunatafuta the ultimate purpose kila mtu as an individual. Tayari tunakua na mambo ya kiujumla ya kutufanya tusitamani kufa bado. So Bible imesave vema kuacha gap.
 
- Alipo andika miaka 6000 alikua anamaanisha nini?

- Hivi unajua hata Bing bang ni nini? Paka uchanganye uumbaji na bing bang kweye sentensi moja?
Kabla ya kueleza mengine huenda ukawa na ufahamu tofauti kuhusu Bing bang theory so labda nikuulize wewe unaifahamu vipi? Pia huenda kumbukumbu zangu hazipo sawa ila naomba hicho kipengele kinachozungumzia miaka 6000 katika Biblia.Ahsante
 
Scars in the brain??!!, Mungu hahitaji medium yoyote kama ardhi au mbingu ili aishi, tunaohitaji medium ni sisi viumbe wake.
Ebu acha ufia dini upe nafasi ubongo kufikiri nyie faithfoolers msiwe brain washed kiasi hicho

Mungu ambaye saizi vitabu vya dini vimedai kua anaishi mbinguni utasemaje haitaji makazi?

Ukisema mungu haitaji makazi halafu hapo hapo ukakubaliana na dhana ya "alpha and omega" nitakuuliza hapo kabla ya kufanya huu umbaji alikua wapi na huko alikokua kuiliumbwa na nani itajibu nini?
Yeye alikuwepo, yupo na atakuwepo milele na ardhi mbingu (universe) itafika wakati atazivunja na kuanzisha zingine kadiri atakavyo.
"Alikuwepo" wapi?

Usipate kigugumizi we elezea tu kama ambavyo unaweza elezea saizi kua yuko mbingu ya saba

Korona na mambo kibao yanatushinda kuyatatua sisi binadamu kutokana na akili yetu kuwa limited, je kwa akili hizi tutaweza kumjua Mungu "fully"??!!
Mnashindwaje kutatua korona wakati kuran imesheheni sayansi ndani yake?

Sasa mzee kama huwezi kumjua mungu ninakua namashaka na majibu yako yanaweza yasiwe sahihi kutokana na kutomjua

Kwasababu mimi nikikuuliza mahali alipokua kipindi hajaanza kufanya huu umbaji halafu we ukanijibu mungu haitaji medium ili aishi nitakua na uhakika gani na jibu lako wakati umekiri kua hujui ya mungu?
 
Nini maana ya "wapi" kwa uelewa wako?
Wapi ni swali linalolenga kujua Location au mahali, sehemu, eneo, mazingira nk.

Haya nipe jibu wapi mungu alikuwepo kabla ya kufanya huo uumbaji
 
- Nitaandika kama nilivyo andika mwanzo, as far as religion is concerned biblia sio theory bali ni kitabu chenye maneno ya kiimani, On the other hand science is based on proven facts.

- You can not by any means prove that God created the world in n number of days, ila kwa misingi ya dini unatakiwa uamini hivyo blindly and without questions.
Umesahau kwa upande mwingine Biblia ni kitabu cha historia.Ni kitabu kilichobeba historia ya watu wa kale na mambo yao ya kale.Historia inabaki kuwa historia/simulizi kwa mfano tunajua binadamu wa kale aliitwa Zinjanthropus na aliishi oldupai gorge Archaelogy which is Science ndiyo inayokuja kututhibitishia ukweli wa historia hiyo! Same to Bible yale yaliyoandikwa yanathibitika kisayansi kwa namna moja ama nyingine
 
Anapajua Mwenyewe.

Hakuna sehemu kaeleza jambo hilo kwa mujibu wa nilivyosoma.
We umejuaje kwamba anapajua?

Kwa maana hiyo kuna miss informations kwenye kuran so haitakua njema kusema kuran ni kitabu kisicho na shaka maama hakijaacha kitu?
 
Kama kati yetu humu jukwaani hakuna anayejuwa kesho yake .

Basi hakuna atakayejuwa MUNGU alikuwa wapi na anaishi wapi..

God is great.
Naomba unitoe kwenye hilo kundi la wasiojua kesho yao

Mimi naijua, kwa kukuthibitishia hilo moja ya ratiba yangu nitakua hapa kuendelea na huu mjadala na kushiriki katika post zingine. Mpaka hapa kesho yangu naijua

Lakini pia hiyo dhana ya kivivu sana yenye logical fallacy ndani yake na imekua ikitumiwa kama defense mechanism pale unapokutana na maswali magumu

Swala la kutopata majibu juu ya makazi ya awali ya mungu kunaweza thibitisha kua hivi vitabu viloshindwa kuelezea kiundani maswali magumu na hivyo ili kufifisha motivation ya watu wasiulize maswali haya wakaamua watumia spirit hiyo kua "mungu hachunguziki" ili hata pale unapohoji na kukaribia kufikia kujua uongo wa hawa waandishi uhishie kusema tu "inawezekana majibu ya hili swali yapo ila tu mungu hachunguziki na ndio maana majibu ya maswali haya nimekosa"
 
Ebu acha ufia dini upe nafasi ubongo kufikiri nyie faithfoolers msiwe brain washed kiasi hicho

Mungu ambaye saizi vitabu vya dini vimedai kua anaishi mbinguni utasemaje haitaji makazi?

Ukisema mungu haitaji makazi halafu hapo hapo ukakubaliana na dhana ya "alpha and omega" nitakuuliza hapo kabla ya kufanya huu umbaji alikua wapi na huko alikokua kuiliumbwa na nani itajibu nini?

"Alikuwepo" wapi?

Usipate kigugumizi we elezea tu kama ambavyo unaweza elezea saizi kua yuko mbingu ya saba


Mnashindwaje kutatua korona wakati kuran imesheheni sayansi ndani yake?

Sasa mzee kama huwezi kumjua mungu ninakua namashaka na majibu yako yanaweza yasiwe sahihi kutokana na kutomjua

Kwasababu mimi nikikuuliza mahali alipokua kipindi hajaanza kufanya huu umbaji halafu we ukanijibu mungu haitaji medium ili aishi nitakua na uhakika gani na jibu lako wakati umekiri kua hujui ya mungu?


Wewe ni mfia nini??
 
Ufafanuzi:-

Neno "siku" lililotumika katika uumbaji wa Mungu kwa ajili ya dunia na mbingu lina maana ya wakati/kipindi na hivyo inakuwa Mungu aliumba ulimwengu katika nyakati 6 (6 periods) na sio maana yake kwamba Mungu aliumba ulimwengu kwa siku zetu hizi za saa 24 (days) za kupambazuka na kuchwea kwa jua.

Kwasababu "siku" kwa Mungu ni miaka yetu 1000, soma (22:47) Qur'an na pengine ni miaka yetu 50,000, soma (70:4), Qur'an.
Kwa maana hiyo ukiwa na time travel machine yenye kasi zaidi ya mwanga unaweza ukawa unatumia majira sawa na mungu?
 
We umejuaje kwamba anapajua?

Kwa maana hiyo kuna miss informations kwenye kuran so haitakua njema kusema kuran ni kitabu kisicho na shaka maama hakijaacha kitu?
Hakuna kitabu chenye information zote kuhusu Mungu.

Na Aliyekuambia Qurani haijaacha kitu kwa maana hii ya kila kitu haiko sahihi ama amekusudia vitu vingine.
We umejuaje kwamba anapajua?
Kwa sababu yeye kasema kuwa ni mjuzi wa kila kitu.

Na hata hapo pahala pia anapajua pia kwa sababu ya huo ujuzi wake.
 
Kifupi ni kwamba muda uko duniani peke yake kwa Mungu hakuna muda
Naweza kusema eti mwaka mmoja duniani ni miaka elfu kwa Mungu ni uongo uliotukuka
Kama kwa Mungu Kuna muda basi Mungu nae ipo siku ata far away.

Muda uko duniani peke yake ndo maana maisha baada ya kufa ni umelele wa maisha utakaofuta baada ya kifo, ila inategemea uliishije dunian ili ktk wanao uzima na ufufuo waishi milele.
 
Back
Top Bottom