FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,215
- 40,935
Mfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt?, sheria inasemaje?
Sheria haina kameraMfano mtu akaweka comment ya kumdhalilisha Rais akiwa katika hali ya kulewa, anakuwa responsible au anakuwa exempt, sheria inasemaje?
Kwani wanaohukumiwa wote wanakuwa wamenaswa na kamera?Sheria haina kamera
Ndio maana mawakili wapo (wajuzi wa hiyo kada), wataangalia 'gap' la kujinasuaKwani wanaohukumiwa wote wanakuwa wamenaswa na kamera?
Nikijirekodi sasa hivic naweza kutumia clipMpaka ithibitike kweli ulikuwa umelewa; ingawa ni ngumu kuthibitisha.
kauliza kama kalewa kaandika cha kjinga je ni kosa nimekoleza kwa kusema sheria haina kamera kwakifupi sheria ni msumenoKwani wanaohukumiwa wote wanakuwa wamenaswa na kamera?
Swali, ni nani wa kuthibitisha kweli umelewa? mamlaka husika ndio wanatakiwa wathibitishe kwa vipimo; pia ni vizuri kuifuta hiyo 'comment'Nikijirekodi sasa hivic naweza kutumia clip
Kama utetezi?
je unaweza kuigiza kama mleviNikijirekodi sasa hivic naweza kutumia clip
Kama utetezi?
Hiyo ni kazi ya mahakama kunbaini, sio yangu. Kikubwa nionyeshe tu kulikuwa na hali ya ulevi wakati naandika hiyo comment ya kumchamba Rais kizaramoje unaweza kuigiza kama mlevi
kweli we ni mlevi, usiku mwemaHiyo ni kazi ya mahakama kunaini, sio yangu. Kikubwa nionyeshe tu kulikuwa na haki ya ulevi wakati naandika hiyo comment ya kumchamba Rais kizaramo
-Ulilazimishwa kwa nguvu na vitisho ulewe?Hakikisha siku unakamatwa pia uwe umelewa, au tabia yako iwe inajulikana kama we ni mlevi ila kama ndo pombe za wikiend hapo hakuna ushahidi kwamba ulikuwa umelewa na hata kama ni kweli basi itaonekana umefanya maksudi kwa starehe zako kuiburudisha nafsi yako,
Mtu anapoweka matangazo ya ulevi 24/7 nami nikanasa katika huo mtego, si ni sawa na kulazimishwa? (Trickery)-Ulilazimishwa kwa nguvu na vitisho ulewe?
-Na kama ulilazimishwa au kuleweshwa kwa nguvu,hapo kabla ulifanya jitihada za kujinasua ili usilweshwe?
-Kama sivyo,ulileweshwa kwa kiasi gani hadi ukafikia sehemu ya kufanya matendo ya uhalifu/kutukana bila ridhaa yako?
-Na wakati unatenda uhalifu huo bila ridhaa yako,kuna mtu alikusimamia na kukushurutisha kwa nguvu alitishia uhai/usalama wako hadi utende huo uhalifu/kutukana?Kwa ushahidi upi?
KUMBUKA:Siyo rahisi tu kuisingizia pombe (intoxication) ili ukwepe "zawadi" yako ya ushindi.Kuwa makini kwa kila hatua.
Ufanye bongo movie? Ulevi unapimwa kwa kipimo maalumNikijirekodi sasa hivic naweza kutumia clip
Kama utetezi?
Ulishawishika na wala haukulazimishwa.Na aliyekushawishi atakueleza kwamba kwenye lebo ya pombe kuna ONYO/TAHADHARI kwamba:-Mtu anapoweka matangazo ya ulevi 24/7 nami nikanasa katika huo mtego, si ni sawa na kulazimishwa? (Trickery)
Wewe unashaidi gani kwamba mimi sikunywa kistaarabu, tuanzie hapo kwanza? Kila binadamu ana -react differently to chemicals!Ulishawishika na wala haukulazimishwa.Na aliyekushawishi atakueleza kwamba kwenye lebo ya pombe kuna ONYO/TAHADHARI kwamba:-
-unywe kistaarabu,
-matumizi ya pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako(kiakili,kimaamuzi sahihi),
-kunywa kistaarabu na kwa kiasi ili usiathiri maamuzi yako na usalama wa wenzako.
-Na uliaminika ni mtu mzima above 18 years of age.Unatambua jema na baya.Ndiyo maana ukapewa/ukauziwa pombe.
Ustaarabu unapimwa kwa matokeo ya matendo,maneno na hata mawazo yako.Umehimili vipi hali yako na kuonesha uhalisia wako!Kwamba:-Wewe unashaidi gani kwamba mimi sikunywa kistaarabu, tuanzie hapo kwanza? Kila binadamu ana -react differently to chemicals!