Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

Yaani wakurugenzi Huwa na privilege nyingi sana ; inakuaje unaingia kwenye rushwa ? Ni tamaa au ?

Mtu mmoja unawezaje kuwa na Bilioni 5 ! Unapeleka wapi hizo hela, unataka kumiliki dunia?

Mlisema I am Personally attacking those people; but it wasn’t , it was an Eye Opener! Kama bado mna dhana kuwa kila kilichokwenye JamiiForums au social media ni uhuni na uzushi, endeleeni kuamini hivo.

Muda ndio rafiki ;
 
IMG_2279.jpg

Hongereni Takukuru; na ndio maana tunasema kuna haja ya kuwafanya Meja na Brigedias kuwa wasimamizi wa taasisi za Umma, muhimu wawe na taaluma. Nchi hiyo ya TZ ilishaoza, bila ujeshi ujeshi mambo hayatoenda.

Wananchi oneni kazi ya JPM na tunaposema JPM anapambana na Rushwa muelewe.

Wahusika wanakabiliwa na mashtaka ya kutakatisha fedha zaidi ya bilions of money. Matumizi mabaya ya madaraka ( kujipandisha vyeo hovyo) na kuisababishia hasara serikali.

Pamoja na hayo ; ni wazi kuwa wakurugenzi wengine wachunguzwe; Mkurugenzi wa manunuzi hawezi kuwa salama na hawezi kuwa mbali na matukio ya ubadhilifu wa fedha; Mkurugenzi Mkuu —- Mkurugenzi wa Manunuzi —— Mkurugenzi wa Logistics ( tayari yupo kikaangoni)——- Mkurugenzi wa Rasilimali watu ——— Mkurugenzi wa Fedha. Hii timu inafanya kazi kwa pamoja katika ubadhilifu hivo timu yote hii itapashwa kuingizwa Mahakamani kumsaidia Mkurugenzi wao kujibu mashtaka na wao pia washitakiwe kisheria.

Hawa watu ni matajiri na haijulikani utajiri wao unatoka wapi. Ukitaka kujua shida ya Manunuzi kwa Bohari ya Madawa MSD, tuulizeni sisi tuliowahi kufanya kazi Halmashaui zaidi miaka 3.

Dawa ambayo mtaani utanunua elf 5 , MSD utauziwa elf 30; Na kwakuwa wanakata pesa kwenye ac za hospitali, unakuta huna jinsi.

Hili litazamwe snaa wanatabia ya kuchomeka bei kubwa na kuchukua mzigo mkubwa mwisho wa siku utasikia bohari inateketeza dawa zilizoexpiry zenye thamani ya bilioni nne; whaaaaaaaat , Nakufa!

Expiring zote zichunguzwe kwanini dawa zife na MSD inawateja wa uhakika? Ni kitu ambacho hakiingii akilini; Dawa zinakufa vipi wakati Hosp hakuna dawa!!!!

Ndio maana tunasema hiyo cheni hapo juu ikatwe na watu waanze fresh; vinginevyo Gabriel Sauli hao watu watakuzidi kete kwa vitimbi vyao.

Hii sio chuki kama baadhi ya comment hapo juu; bali Uzalendo wa kweli na pesa zinazopotea huku wazee wetu vijijini wakiendelea kukosa dawa.

Kwa maana hiyo GPSA nayo ifanyiwe kazi ; hizi taasisi za manunuzi hazipo kwa ajili ya kunufaisha watu, zipo kwa ajili ya kutumikia taifa. Ifahamike hivo; Ni wakati sasa wa kuanza kufuatilia ac za wakurugenzi wa GPSA na ku block hizo pesa mapema.

Wengine wanaficha pesa majumbani kwao kwenye mashimo na kuchimbia huko ;transactions zao zote ziangaliwe na kuchunguzwa. Tunataka JPM atoke kifua mbele na hii vita. Mungu Ibariki TZ ; Mungu Wabariki wa TZ , Mungu mbariki JPM.

Brigedia Jen Sauli Mhidize kazi unayo lakini utaweza na ukitaka kuweza kata huo uzi uliokuwa unawaunganisha.

Toa hao wakurugenzi kabisa weka watu utakaofanya nao kazi kizalendo.

Takukuru hongereni; Matunda ya Awamu ya 5 : TZ mbele kwa mbele, Corona tumeishinda : Corona ilikuwa ni Mental Game !
 
Endelea kuamini hivyo hivyo.

Taarifa zisizo Rasmi ambazo tunahitaji zithibitishwe na Wana MSD.

Kichwa Brigedia Gabriel Sauli amewaondosha Wakurugenzi 4 ambao walikuwa ni miamba iliyoshindikana ambao walikuwa wakiendesha Genge la Umafia pale MSD lililofanya Laurean kuendelea kubaki Jela.

Hakika ninamuelewa sana JPM na Mungu amlinde JPM .

Mkurugenzi wa Uajiri ambae ameonea wafanya kazi wengi sana kwa kuwanyima haki zao za kupanda madaraja, huku nafasi hizo akitoa kwa watu wake na ndugu zake.

Pia kashfa nyingine ni kuajiri watumishi KIKANDA huku wengine wakiwa vichwa maji kichwani na kutokuwa na uwezo wa kukidhi kazi pasipo kuwa na woga wowote kuwa Bohari kuu ya dawa Taifa ni Taasisi ya umma.

Hiyo ndio moja ya sababu bohari dawa kuwa inafanya vibaya.

Pia amekuwa akifanya kazi na Suppliers kupata 10 percent. Huku yeye mwenyewe akipenyeza kampuni zake kupitia ndugu zake. Itapendeza sana kama hao Wakurugenzi wakiungana na Mkurugenzi Mkuu wa zamani, kuwaacha bure bure bado usawa haupo

Brigedia Gabriel ni kupongeze kwa kazi nzuri kama itakupendeza ondoa takataka zote zilizosehemu za maamuzi hao wote uwezo wakufanya kazi ndio umefika mwisho
 
View attachment 1469189

Je TAKUKURU mtatenda haki kwa hao wakurugenzi wengine walioondolewa. Mkurugenzi wa zamani hakuwa anakula peke yake. Ni lazima alikuwa na hao watu kama wasaidizi wake na wao pia wafikishwe kwenye vyombo vya dola au waungane na wale wa gerezani. Lazima kuwe na nidham kwenye taaisi za umma. Sio kufanya taasisi za umma kama nyumbani
Hawa watu wawajibishwe kutoa mfano kwa wengine.
WaTZD mtamuelewa baadae JPM. Hap kazi tu
 
Unaushahidi au unamsingizia tu duh jamani sijawahi kuona nchi ya kufitiniana kama hii !?!!

Bado unataka ushahidi. Nadhani Brigedia kafanya ukaguzi wa kutosha na amekutana na mengi Kwenye kupenyeza ajira za kikanda bila kufuata Utaratibu wa kuajiri katika taasisi za umma. Kupandisha watu madaraja kikanda hii pia imewakosti. Matumizi mabaya ya fedha na rushwa ya ngono. Tafakari na JPM HAPA KAZI TU
 
Taarifa zisizo Rasmi ambazo tunahitaji zithibitishwe na Wana MSD.

Kichwa Brigedia Gabriel Sauli amewaondosha Wakurugenzi 4 ambao walikuwa ni miamba iliyoshindikana ambao walikuwa wakiendesha Genge la Umafia pale MSD lililofanya Laurean kuendelea kubaki Jela.

Hakika ninamuelewa sana JPM na Mungu amlinde JPM .

Mkurugenzi wa Uajiri ambae ameonea wafanya kazi wengi sana kwa kuwanyima haki zao za kupanda madaraja, huku nafasi hizo akitoa kwa watu wake na ndugu zake.

Pia kashfa nyingine ni kuajiri watumishi KIKANDA huku wengine wakiwa vichwa maji kichwani na kutokuwa na uwezo wa kukidhi kazi pasipo kuwa na woga wowote kuwa Bohari kuu ya dawa Taifa ni Taasisi ya umma.

Hiyo ndio moja ya sababu bohari dawa kuwa inafanya vibaya.

Pia amekuwa akifanya kazi na Suppliers kupata 10 percent. Huku yeye mwenyewe akipenyeza kampuni zake kupitia ndugu zake. Itapendeza sana kama hao Wakurugenzi wakiungana na Mkurugenzi Mkuu wa zamani, kuwaacha bure bure bado usawa haupo

Brigedia Gabriel ni kupongeze kwa kazi nzuri kama itakupendeza ondoa takataka zote zilizosehemu za maamuzi hao wote uwezo wakufanya kazi ndio umefika mwisho
Huyo Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala alikuwa ni hawara wa Bwanakunu na amefanya naye mauchafu mengi. Anaitwa Vicky Elangwa
 
I see. Siku sio nyingi naye anapewa kesi ya uhujumu uchumi. Atanyea debe forever
 
Huyu Bwanakunu hata uraia wake ni wa mashaka!! Watu wanaopewa madaraka makubwa ya kuongoza taasisi nyeti za umma inapaswa wachunguzwe na TIS!! Ndo maana akatafuna fedha za MSD bila huruma!! Apewe hukumu kali na wenzake ili iwe fundisho kwa wengine!!
 
Huyo huyo basi nadhani. Taarifa za huko MSD zinasema nae OUT. Kilichobaki ni TAKUKURU kuanza kutafuta hawa watu.

Wameharibu sana taasisi ya MSD ninaamini kanisa REFORM yake inahitaji nguvu sana
 
Jina la wilaya ya Njombe, kabila la wabena

Watu wa Iringa hao. Watu wa Iringa Wengi ndio wapo Kwenye system ya SECURITY na Usalama. Tena wapo Kwenye Senior Positions. Jeshini na Tanzania Intelligence Services ndio wapo wengi sana
 
Huyo Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala alikuwa ni hawara wa Bwanakunu na amefanya naye mauchafu mengi. Anaitwa Vicky Elangwa

Na ndio maana wamaua taasisi ile. Wakati naondoka TZ nikitokea Halmashauri, niliomba sana MSD ivunjiliwe mbali maana haiwezi kukidhi mahitaji ya nchini. Fikiria hata panadol wanakosa
 
Huyo huyo basi nadhani. Taarifa za huko MSD zinasema nae OUT. Kilichobaki ni TAKUKURU kuanza kutafuta hawa watu.

Wameharibu sana taasisi ya MSD ninaamini kanisa REFORM yake inahitaji nguvu sana

Jamaa ni mtusi?
 
Back
Top Bottom