Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,614
- 10,861
Watu wa Iringa hao. Watu wa Iringa Wengi ndio wapo Kwenye system ya SECURITY na Usalama. Tena wapo Kwenye Senior Positions. Jeshini na Tanzania Intelligence Services ndio wapo wengi sana
Haijalishi Nchi hii ni milki ya watanzania na sio kabila fulani