Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

Je, MSD na Brig. Gabriel Mhidize, Itawezekana?

Anahitajika Pharmacist mwenye hiyo Knowledge ya Logistic Supply Chain Management and Procurement.

Na pia mwenye Leadership skills. Huyu si alikiwa Mkurugenzi wa Hospital za Jeshi: so I think haya mambo ya purchase kafanya sana


Mk54
Kuna Pharmacist anaitwa Buma hapo muhimbili .....akishika MSD inanyooka vzr tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lingine kubwa hapa nchini ni mifumo anaweza akaletwa mtu mpya lakini akakuta mfumo wa upigaji bado uleule na yeye akaadopt mfumo.

Haya yalitokea mashirika kama Tazara kuna wakati akaletwa Ndumbaro akakutana na mfumo wa Tazara wa upigaji hakufanikiwa kubadilisha chochote.

Shirika kama TPA hata aende malakika akitua tuu anakutana na mfumo wa upigaji hauwezi kumpita na yeye anageuka kuwa kiongozi. Wamebadilishwa ma Port manager kibao lakini kila alieingia inabidi a lubricate parts with money mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na ukijifanya mjuaje wanakuharibia kazi. Hatar sana


Mk54
 
Umejipambanua kwa global health supply chain

Kumbe huna kitu zaidi ya majungu

Watanzania tupunguze hizi tabia zisizo na tija

Tunajua kuwa unatumika


Mk54
 
Hakuhitajika daktari kuiongoza MSD. Ni mtaalamu wa Procurement and supply chain tu. MSD haitibu, kazi yake ni kununua madawa na kusambaza. Kumuweka daktari bingwa kuiongoza MSD ni misuse of human resources.
kabisa, daktari bingwa kama yule anaenda kusimamamia manunuzi ya panadol, dawa mseto na nyingine, ni utumiaji mbaya sana wa wataalam. japo bado naamini wapo wengi hasa ktk jeshi, angemteua hata aliekuwa msaidizi wake pale lugalo.....nchi inatawaliwa kijeshi kimya kimya....
 
Sema tunajuana na unajua Hilo

Kuna serious issues za kuaddress but hujamention hata moja

Be sensible

Hihihi, haya. Ndio uisaidie serikali basi sasa


Mk54
 
kabisa, daktari bingwa kama yule anaenda kusimamamia manunuzi ya panadol, dawa mseto na nyingine, ni utumiaji mbaya sana wa wataalam. japo bado naamini wapo wengi hasa ktk jeshi, angemteua hata aliekuwa msaidizi wake pale lugalo.....nchi inatawaliwa kijeshi kimya kimya....

Ila hakuna tatizo. Yule bado ataweza kutumika wakati wowote. Kuna mdau amekomenti hapo kuwa huenda mkuu anataka kuona transaction za msingi


Mk54
 
Mmm huyu kapelekwa ili kwanza Mkulu anataka control infomation kwa kuwa kwa kuweka mtu ambaye sio mtu wake hawezi kuendana na matakwa yake,naota tu .Ila kingine kwa historia ya Bwana Kunu aliyeondoka ,yeye amefanya kazi sana na mabeberu na mkuu hataki mtu ambaye ameshafanya kazi na mabeberu .Naota pia.So sasa atafanya kazi anachotaka aisee.Mfano si unaona Bunge chini ya Ndungai yaani anamuistract asiwape wabunge wasiohudhuria posho wakati bunge ina taratibu zake na kiongozi yake na sio Amri kutoka juu.Nawaza sana jinsi maisha ya watu yanavyoendeshwa na mtu mmoja bila sheria saa nyingine kufuatwa

Unaonekana Mmbeya tu. Mkuu karantini iko dar au Dodoma. Asiyefanya kazi na asile au we unasemaje.
 
Pole. Ila kwa bahati mbaya hii sio mada ya analysis wala masomo ya logistics.

Wala sio mada ya Demand and Planning wala sizungumzii Supply.

Lakini kama itakupendeza, unaweza kufungua uzi wako na kuyaandika hayo uliyoyapendekeza. Itapendeza zaidi kaka.

Nakushukuru sana mkuu.


Mk54
Ila ni uzi wa chuki dhidi waziri Ummy au vipi?
Kwa sababu hata huyo Bwanaunu ktk maelezo yako ya mbele unaona nae hakuwa na makosa ila ni Ummy,Ummy Ummy tu.
yaani we jamaa chuki itakuua ujue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ni uzi wa chuki dhidi waziri Ummy au vipi?
Kwa sababu hata huyo Bwanaunu ktk maelezo yako ya mbele unaona nae hakuwa na makosa ila ni Ummy,Ummy Ummy tu.
yaani we jamaa chuki itakuua ujue.

Sent using Jamii Forums mobile app

Chuki maana yake ndio nini. WaTz badilikeni. Tunapoweka mambo ya maslahi ya nchi mnatafsiri chuki. Kwanini? kuwa mtu mzima, unatakiwa kuainisha ambayo unahisi Ummy na Serengeti Boy wake wanazushiwa. Usikimbilie kufunga mjadala kwa kuhitimisha hizi ni chuki.

Huna uwezo wa kufanya mimi kuacha kujadili ninachojisikia kujadili kwa kuwa mabeberu yako yanakutuma kufanya hivyo.
Unapoteza muda wako.

Nakushukuru Mkuu.


Mk54
 
Back
Top Bottom