exit
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 1,670
- 1,808
Sio ndogo, wanasema Ntiti ntiti wamakonde ahah.
"biashara children=born out out of wedlock" sio rahisi namna hiyo
"biashara children=born out out of wedlock" sio rahisi namna hiyo
Ni kwasababu marehemu hawakuwatambulisha kwenye familia yakeYani unataka kuwachaji kodi watoto wa mwenye nyumba?
Kwahiyo ndugu wakiamua kumtimua mama watoto na kubaki na watoto,je ni sahihi?Mama anabebwa na watoto, chake hakuna hapo.
okey wameshajitambulisha sasa kaeni nao kwa amani.Ni kwasababu marehemu hawakuwatambulisha kwenye familia yake
Unatoa wapi ujasiri wa kumzalisha mpangaji wako? Wewe ni hewa kabisaUmemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili,na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure,je ikitokea mzalishaji umevuta pumzi ya mwisho mzalishwaji ana haki ya kuendelea kuishi kwenye ile nyumba bila kulipa pango kwa kuwa alizaa na marehemu mwenye nyumba?
Ndiyo.Umemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili,na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure,je ikitokea mzalishaji umevuta pumzi ya mwisho mzalishwaji ana haki ya kuendelea kuishi kwenye ile nyumba bila kulipa pango kwa kuwa alizaa na marehemu mwenye nyumba?
Ok mkuu ,lakini unaweza ukanisaidia pia ilikuwaje kwa Mama yako baada ya mwenye nyumba(baba yako kufa)?
Huo udhalilishaji bila shaka umeuona wewe tu.Hivi kwa nini tofauti zetu mpaka muwaingize wazazi?
Umekosa chochote cha kumjibu mpaka umdhalilishe mama?
Huo udhalilishaji bila shaka umeuona wewe tu.
Unataka kuniambia mama yako unamwita dada kwasababu ukimwita mama ni udhalilishaji?
Ndio maana nimesema umeuona wewe tu mkuu.Sawa mkuu, kwangu nimeona no udhalilishaji. Kama kwako siyo, it's very well.
na watoto je?Hana haki ya kuendelea kuishi hapo, kwanza hiyo kodi ya pango aliyokuwa amesamehewa ilikuwa ni rushwa ya ngono.
Bila shaka wewe ni ndugu wa marehemu......
na watoto je?
Ikiwa kuna ushahidi wa kutosha wa huduma alizokuwa anatoa marehemu kwa wanawe je? Ikiwa ni pamoja na vyeti vya kuzaliwa vikiwa na majina ya marehemu baba yaoWatoto wanakuwa na haki kama walitambuliwa na ndugu wa marehemu kabla ya baba yao kufariki.
Umemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili,na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure,je ikitokea mzalishaji umevuta pumzi ya mwisho mzalishwaji ana haki ya kuendelea kuishi kwenye ile nyumba bila kulipa pango kwa kuwa alizaa na marehemu mwenye nyumba?
Watakujibu subiriUkimzalisha mwenye nyumba wako Je?
Ikiwa kuna ushahidi wa kutosha wa huduma alizokuwa anatoa marehemu kwa wanawe je? Ikiwa ni pamoja na vyeti vya kuzaliwa vikiwa na majina ya marehemu baba yao