dump JF-Expert Member Mar 23, 2020 588 858 Aug 4, 2021 #1 Naomba wanawake mnijibu swali langu, hasa kwa wale mnao weka kucha za bandia halafu ndefu kupitiliza je? Mnafanyaje usafi kwa bibi na hayo makucha marefu vile?
Naomba wanawake mnijibu swali langu, hasa kwa wale mnao weka kucha za bandia halafu ndefu kupitiliza je? Mnafanyaje usafi kwa bibi na hayo makucha marefu vile?
Kiboko ya Jiwe JF-Expert Member Apr 7, 2020 12,716 36,180 Aug 4, 2021 #2 Tuwaambie tu ukweli. Wanaume hatupendi hizo takataka zenu za bandia
Joanah JF-Expert Member Aug 14, 2016 20,692 71,591 Aug 4, 2021 #4 Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa Napenda kucha ndefu natural Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda
Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa Napenda kucha ndefu natural Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda
Jesuitdon JF-Expert Member Dec 18, 2018 3,154 2,658 Aug 4, 2021 #7 Wild sniper said: wananuka hao balaa Click to expand... Hahahaha
S V Surovikin JF-Expert Member Aug 8, 2015 13,625 32,754 Aug 4, 2021 #8 Wanawake tafadhali msituchomeshe mahindi njooni huku
Imalamawazo JF-Expert Member Jul 27, 2021 1,342 3,235 Aug 13, 2021 #9 Joanah said: Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa Napenda kucha ndefu natural Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda Click to expand... Umesemea kutandika, upande wa usafi hujagusia kabisa. Vipi usafi ulifanyika au uliruka kichurachura kwenye beseni?
Joanah said: Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa Napenda kucha ndefu natural Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda Click to expand... Umesemea kutandika, upande wa usafi hujagusia kabisa. Vipi usafi ulifanyika au uliruka kichurachura kwenye beseni?
Samcezar JF-Expert Member May 18, 2014 13,096 22,628 Aug 13, 2021 #10 Joanah said: Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa Napenda kucha ndefu natural Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda Click to expand... Umeongezewa point tano za mke mwema.
Joanah said: Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa Napenda kucha ndefu natural Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda Click to expand... Umeongezewa point tano za mke mwema.
wa kupuliza JF-Expert Member Jun 15, 2012 15,226 37,576 Aug 13, 2021 #11 Huwa tunawasafisha kwa kuingia uvinza.
erca JF-Expert Member Aug 29, 2019 311 335 Aug 16, 2021 #12 wa kupuliza said: Huwa tunawasafisha kwa kuingia uvinza. Click to expand...
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,088 54,380 Aug 16, 2021 #13 πππ€£πππππ€£π ππππ