Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

Hilo liko wazi. Kiukweli sifurahishwi na jinsi Pesa ya Ikulu inavyotumika

Kwa Taarifa yako anamiliki pia sheli ya Lake Oil pale Kona ya Mabibo karibu na maghorofa ya urafiki na Sheli hiyo ina PAMPU NYINGI ZA MAFUTA kuliko sheli zote mjini Daslam.
Mkuu ni kweli hakuna kituo chenye pampu nyingi kama hicho hapa DSM.

Maana wakati Dk. Slaa alipomtuhumu ufisadi akajitetea kitoto kuwa anamiliki gari moja na shamba moja tu. Aidha alipotishia kwenda kumshtaki Dk. Slaa mahakamani na kujibiwa kuwa Dk. yupo tayari kwa ushahidi mbona alifyata mkia mpaka leo hii kama yalikuwa madai ya uongo?
 
Labda kwa kuwa wanasema hela siku zote haitoshi. Mtu huyo huyo anatajwa hata kwenye madawa ya kulevya. Hivi kweli kama tayari anamiliki vituo kama hivyo, bado atakuwa kwenye "Unga" pamoja na risk zote zilizopo? Kila kitu kinachoibuka siku hizi - kituo cha mafuta, Bar kubwa, Ukumbi wa Starehe, Yard ya magari nk anatajwa Rithiwan.
 
Mkuu ni kweli hakuna kituo chenye pampu nyingi kama hicho hapa DSM.

Maana wakati Dk. Slaa alipomtuhumu ufisadi akajitetea kitoto kuwa anamiliki gari moja na shamba moja tu. Aidha alipotishia kwenda kumshtaki Dk. Slaa mahakamani na kujibiwa kuwa Dk. yupo tayari kwa ushahidi mbona alifyata mkia mpaka leo hii kama yalikuwa madai ya uongo?

Usicheze na Dr maana anaweza kuja na ushahidi wa ile biashara ya "sembe" mpaka ukatokea mtafutano kila mtu kutafuta handaki la kujificha. Hata hivyo kama mtoto wa Rais,tuhuma zikiwa nyingi ni vema akatoka hadharani na kujisafisha kuliko kukaa kimya. Tuhuma za Prince huwa zinaharibu reputation ya King, na kama si za kweli si vema zikaendelea kukaa katika vichwa vya raia maana laweza kutokea lolote na nafasi ya kujisafisha ikawa haipo tena.
Tumeshaona mifano ya aina hiyo Libya, Misri,Iraq nk.
 
No comment mkuu.
 
Mbona mnafatafata huyu dogo si mumuache ale neema alizojaaliwa kesheni na nyie mkiomba mtashushiwa neema kama mvua
 
Wanajamvi kwa taarifa yenu ni kwamba huyu jamaa amevamia mji wa Bukoba na kuweka kituo cha mafuta kilometa kama tano kutoka mji wa Bukoba barabara ya Muleba. Kituo hiki kinaitwa lake oil.

hongera zake
 
wewe utakuwa demu tu, na kama sio demu una wivu wa kike! kuna mtu kakukataza kufungua hiyo petrol station
 
Mbona mnafatafata huyu dogo si mumuache ale neema alizojaaliwa kesheni na nyie mkiomba mtashushiwa neema kama mvua
Sikiliza mkuu,watu hawana shida na kupata utajiri kwa yeyote. Kinacholeta kelele ni jinsi ya kupata utajiri huo. Sasa hivi kuna kelele kubwa sana kuhusu hii biashara ya unga na jinsi inavyo haribu vijana wetu,kulitia aibu taifa letu na kusababisha mamia ya watanzania kutumbukia katika magereza au kunyongwa huko nje ya nchi huku wachache wakitumbua fedha za madawa hayo.
Nchi kama Marekani inatumia mabilioni ya dola kupambana na biashara hiyo kwa vile ukiichekea utafika wakati zaidi ya nusu ya Wananchi wako ni mateja kama yale unayoyaona mitaa a Kinondoni.. jee hapo kuna Taifa kweli. Ajitokeze na kujibu tuu ni jinsi gani amepata ukwasihuo kwa kipindi kifupi? Na jee hizi tuhuma yeye anahusikaje?
Hilo ndilo watu wanataka, na ni vizuri kama kwa nafasi yake kuwa mtoto wa Rais awafundishe njia hizo(kama ni halali) vijana wengine wa Kitanzania ili wainuke kiuchumi sio kufanya mambo ya vificho.
 
Wanajamvi kwa taarifa yenu ni kwamba huyu jamaa amevamia mji wa Bukoba na kuweka kituo cha mafuta kilometa kama tano kutoka mji wa Bukoba barabara ya Muleba. Kituo hiki kinaitwa lake oil.

sasa we inakuhusu nini?acha umbea mtoto wa kiume.
 
Mbona mnafatafata huyu dogo si mumuache ale neema alizojaaliwa kesheni na nyie mkiomba mtashushiwa neema kama mvua
Ni neema ipi aliyojaaliwa ndugu maisha mazuri aliyonayo yanaacha wengine wakitaabika, leo hii tunaambiwa watanzania kama 10,000 wamefungwa nchi mbali mbali duniani kwa kujihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya je tujiulize mimi na wewe kati ya hao wangapi wanataabika kwa sababu ya huyu dogo?
 
Hilo liko wazi. Kiukweli sifurahishwi na jinsi Pesa ya Ikulu inavyotumika

Kwa Taarifa yako anamiliki pia sheli ya Lake Oil pale Kona ya Mabibo karibu na maghorofa ya urafiki na Sheli hiyo ina PAMPU NYINGI ZA MAFUTA kuliko sheli zote mjini Daslam.
sasa wewe unaumia nini?pambana na wewe ufungue yako,acha ubwege.
 
kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake..

lakini pia hakuna marefu ya sio na ncha, time will tell.
 
Malori karibu mia mbili ya asas yanayokwenda congo na zambia ni ya ridwan akishirikiana na waarabu waitwao asas wa Iringa
nawakilisha
Kuna YAD moja ipo kule mbagala, inapakana na mnara wa Airtel, almost oposite na Dra cement... Riz1 huwa anakatiza sana mitaa ilee.... Humo kuna malori usipime..
 
huyu dogo m namshaur 2015 mwanzoni AHAME NCHI,au aombe DR.SALIM(CCM) au DR.SLAA(CHADEMA) wasichukue nchi..
 
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.
tena fanyeni hima mkuu it is this time whwen a nation is important than JK na Familia yake.
 
Back
Top Bottom