Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

manumbu1

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
701
500
Hizo ni taarifa sahihi kabisa. Kuna data tunazikamilisha tutazimwaga humu wakati wowote kuonyesha ufisadi wa huyo dogo akishirikiana na baba yake. Stay tuned.

Mzee papuchi tunasubiri taarifa yako ( I am sure huwezi post kitu )
 

manumbu1

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
701
500
Nyerere aliamuru awekwe ndani mara moja na kujibu mashtaka ya kuidharau serikali
Ni baada ya kusema serikali Yote ipo mfukoni kwake,nimesahau ni raia wa nchi gani lakini nchi yake ilimpigia magoti nyerere ili amwachie,
Alikuja kuachiwa kwa sharti la kutokanyaga tanzania tena
Unamjua sana,kwa sababu ni padre. Mtaliani wajifanya humjui dah makubwa haya!
 

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
2,000
nilishangaa jitihada za lake oil kuua competition walitangaza kuuza mafuta kama offer kwa bei chini ya kiwango elekzi cha ewura kwa sh 30 kwa lita!!!! moja kwa moja nikaanza ku link hili tukio na uingizaj wa mafuta nchini bila kulipia kodi.... kama kampun inamkono wa mkulu wa nchi basi ni rahisi sana kufanya ivyo nadhan wamechukua model ya home shopping centre wanaingiza bidhaa bila kulipa kodi ili waue kwa bei ya chini na kuua competition.... haiwezekan home shopping centre unauziwa taulo la nguvu elf 3000
 

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
2,000
Hilo ni ukweli kabisa. Na siku hizi ukipita mjini kila baada ya muda utakutana na gari ndogo zenye nembo ya 'Lake Group'. Dogo kaenda mbali zaidi na sasa wanauza gas na wanajiita 'LakeGas'. Hii ni danganya toto ila malengo ni kusubiri mradi wa gas ya Mtwara ili waweze kuipiga vizuri na dad. Ila binafsi nishaweka mgomo wa kutokuweka mafuta kwenye hizo sheli. Kinachoniuma ni kutambua kuwa zile ni kodi zetu. Hivyo siwezi kumwongezea mtu faida ilhali nalijua mmiliki.
 

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
3,982
2,000
tunakoelekea unaweza kuambiwa ikulu imenunuliwa na inamilikiwa na riz1
 

sunna

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
533
195
Wewe faby unajua lake oil au kina asas. Aslia yao ni waarabu wa wapi
 

sunna

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
533
195
Wana jamii mnapomuongelea mtu au kampuni flan muwe na uhakika sio mnaongea uozo hapa toeni habari za uhakika. Hawa jamaa ni wakongwe kibiashara toka enzi na enzi.msijadili kitu ambcho Si cha ukweli wameeithi kutoka kwa baba zao sasa huyu riz1 ametokea wapi na hawa watu? Kueni makini jamani msi je mkaropoka vt ambavy sivo
 

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,895
2,000
Inawezekana ndo maana baba yake hajishughulishi na kufufua reli ya kati, ili biashara ifanyike. Maana siku hizi, biashara za wakulu wa hano ni vituo vya mafuta na usafirishaji.

ukizingatia hayo malori hayawezi fanyiwa ujangili koz dola tunayo itawashughulikia wote wanaoleta tafarani na kutia kitumua mchanga.
 

faby

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
2,214
2,000
Asili yao toka yemen mkoa wa hadhramaut kijiji cha al qatn. Asas ni bin abri na lake oil pamoja na oilcom/cameloil ni bin kleb na wote kwa pamoja wanakua ni NAHDI
 

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,032
1,500
Sikiliza mkuu,watu hawana shida na kupata utajiri kwa yeyote. Kinacholeta kelele ni jinsi ya kupata utajiri huo. Sasa hivi kuna kelele kubwa sana kuhusu hii biashara ya unga na jinsi inavyo haribu vijana wetu,kulitia aibu taifa letu na kusababisha mamia ya watanzania kutumbukia katika magereza au kunyongwa huko nje ya nchi huku wachache wakitumbua fedha za madawa hayo.
Nchi kama Marekani inatumia mabilioni ya dola kupambana na biashara hiyo kwa vile ukiichekea utafika wakati zaidi ya nusu ya Wananchi wako ni mateja kama yale unayoyaona mitaa a Kinondoni.. jee hapo kuna Taifa kweli. Ajitokeze na kujibu tuu ni jinsi gani amepata ukwasihuo kwa kipindi kifupi? Na jee hizi tuhuma yeye anahusikaje?
Hilo ndilo watu wanataka, na ni vizuri kama kwa nafasi yake kuwa mtoto wa Rais awafundishe njia hizo(kama ni halali) vijana wengine wa Kitanzania ili wainuke kiuchumi sio kufanya mambo ya vificho.

Kama una ushahidi peleka kunakohusika .hapa jf hutapata msaada .
 

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,302
2,000
Nyerere aliamuru awekwe ndani mara moja na kujibu mashtaka ya kuidharau serikali
Ni baada ya kusema serikali Yote ipo mfukoni kwake,nimesahau ni raia wa nchi gani lakini nchi yake ilimpigia magoti nyerere ili amwachie,
Alikuja kuachiwa kwa sharti la kutokanyaga tanzania tena

Alikuwa mgiriki wa kutoka Cyprus kwa Askofu Makarios wakati huo!!
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,217
2,000
wacha waibe ila wawekeze hapa hapa bongo kuliko kuficha ulaya,ili cdm ikichukua nchi iwe rahisi hizo mali kuwa za umma
 

saadam

Member
Oct 26, 2013
57
0
Mwacheni dogo apete na mzee wake hata ungekuwa wewe kiyongonzi ungejinufaisha wewe kwanza aliye pewa kapewa tu hao wote waliyopita pia nao wako vizuri
 

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,252
2,000
Wabongo kwa kupenda umbea! Ukiweka thread za maendeleo ya Taifa zinadoda lakini hii thread ya Riz1 imefika hadi huku?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom