wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,454
- 4,376
Kama ni kweli ni Kashwagara Bukoba/ Kagera mmea huo unastawi vizuri saana. Ndiyo maana kampuni moja ya Canada imeanzisha kilimo biashara ya mmea huo 'Stevia' nchini Rwanda ambako hali hewa ni sawa na Kagera.
Kumbe huu mmea Ni Fursa.... Tz sijui wanashindwa Nini kulima kibiashara..
Wakulima wahamasishwe soko Kama lipo na watanyabiashara watapatikana kununua...