Je, mmea wa "stevia" ndio suluhisho la uhaba wa sukari nchini?

Kuna siku niliwahi kuwaza kama wewe, na ni kweli sio kila sukari iliyoko sokoni ni ya miwa, kuna aina nyingi tuu ambazo nadhani uzalishaji wake ni rahisi kuliko wa miwa lkn cjui nn tatizo.
Halafu uzuri wa Stevia haina calories, hivyo kila mtu anaweza tumia bila woga


Stevia ina kitu gani so special, wengine hatujui chochote kuhusu huo mmea. So p'se dadavua.
 
Habari Tanzania!

Kwa wapenda maendeleo, afya na uchumi huu mmea wa "stevia" waweza kuwa mkombozi kwa taifa.

Wataalamu wa afya, tiba, utafiti na kilimo naomba kuliweka kwenu hili faili la mmea wa "STEVIA" maana wananchi wamechoka na magonjwa ya kisukari, bei ya sukari kuwa aghali sana nk

Cc: Mikoa ya Arusha, Mbeya, Kagera na Morogoro.

Karibu.View attachment 1498419View attachment 1498420

View attachment 1498421

Je, maelezo hayo kuhusu huo mmea ni kweli???
Screenshot_20200705-221829.png
 
Nini maana ya "potential"?

Waliposema "potential side effect" mi ninais hana tofauti na anaesema " positive side effect au position impact"


"Potential side effects" ni madhara yanayoweza kusababishwa kutokana na utumiaji wa huo mmea.
 
Je, maelezo hayo kuhusu huo mmea ni kweli???
View attachment 1498627
Tafuta wataalamu wa tiba asili na watafiti wa mimea uwaulize dawa ya kutibu kisukari inaitwaje na inapatikana wapi? Je, mbadala wa sukari mbali na matunda ni mmea gani unafaa?

Kibwagizo; Ugonjwa ni biashara brother.

NB

Soma vitabu, fanya tafiti na ukiona jambo mtandaoni thibitisha kwa tafiti na tafakali kuu. Mtandaoni vinaandikwa vingi vilivyo kweli na uongo.
 
Mkuu huu mmea umezuiwa kutumika kwa baadha ya mataifa kama USA kwakuhofia unauwezekano wa kusanabisha kansa,
Sujui hapa kwetu TFDA wanaongeleaje huu mmea au na wenyewe wame upiga marufuku.
Kama ungekuwa unaleta madhara bas watu wa bukoba, mleba, karagwe na kyaka 80% wangekuwa wanaumwa kansa, maana kule hii ni dawa ya tumba na kiungo cha kwenye chai
 
Hahaha wajuvi mgetoa na dozi kunawatu humu hawafahamu ni kiasi gani inatosha, mnaoufahamu wekeni maelezo ya jinsi ya kutumia.
 
Wenye kufahamu haya majan yalipo kwa wing waje watujuze tupate faida lukuki za haya majan ya stevia
 
Back
Top Bottom