Je, mmea wa "stevia" ndio suluhisho la uhaba wa sukari nchini?

Kama ni kweli ni Kashwagara Bukoba/ Kagera mmea huo unastawi vizuri saana. Ndiyo maana kampuni moja ya Canada imeanzisha kilimo biashara ya mmea huo 'Stevia' nchini Rwanda ambako hali hewa ni sawa na Kagera.

Kumbe huu mmea Ni Fursa.... Tz sijui wanashindwa Nini kulima kibiashara..
Wakulima wahamasishwe soko Kama lipo na watanyabiashara watapatikana kununua...
 
Habari Tanzania!

Kwa wapenda maendeleo, afya na uchumi huu mmea wa "stevia" waweza kuwa mkombozi kwa taifa.

Wataalamu wa afya, tiba, utafiti na kilimo naomba kuliweka kwenu hili faili la mmea wa "STEVIA" maana wananchi wamechoka na magonjwa ya kisukari, bei ya sukari kuwa aghali sana nk

Cc: Mikoa ya Arusha, Mbeya, Kagera na Morogoro.

Karibu.View attachment 1498419View attachment 1498420

View attachment 1498421
Napenda sana stevia ni tamu sana kwenye chai huna haja na sukari, napendaga kutafuna hata majani yake uzuri ina zero glycemic index (uwezo wa kupandisha sukari ni sifuri) ,Burundi wanailima sana na ni ghali sana sijajua kwa nini mpaka leo tunang'ang'ana na majani ya chai sijui kwa nini serikali haitii hamasa kwenye hiki kilimo
 
Mm nimeshafanya tafiti za awali juu ya huu mmea baada ya kuambiwa how potential the plant is. Ila kwakaili za kuambiwa sijui uko mtaani si kweli. Kwa haraka haraka hakuna mahali kwa Tanzania kuna shamba hata moja. Ila kwa East Africa labda ni Kenya na Rwanda kidogo. Ila kwa taarifa zilizopo mtandaoni juu ya hili zao ni kwa Kenya ambako kuna documetary moja ya Mzee wa Kikenya ambaye aliamua kuachana na kilimo cha mahindi na kutimkia kwenye stevia baada ya kushauriwa na mwanae. Kwasasa mzee anauza mavuno yake kwenye soko la uchina( anayetaka hiyo taarifa iko youtube.. naona uvivu kuilink hapa). Ila taarifa nyingi la hilo zao ni Latin America. Wanaosema Arusha lipo hakuna hata mti mmoja tumeshajiribu na mzee wangu mmoja kutafuta mbegu zake hakuna wa mkulim hakuna ( yoyote atakayekuwa serious na hili zao atakuwa ni sehemu ya pioneer wa hichi kilimo). Ili kuweza kupat mbegu mm nahisi uanzie kwenye hiyo taarifa ya huyo mzee wa huko Kenya.
Burundi wana export sana stevia
 
Napenda sana stevia ni tamu sana kwenye chai huna haja na sukari, napendaga kutafuna hata majani yake uzuri ina zero glycemic index (uwezo wa kupandisha sukari ni sifuri) ,Burundi wanailima sana na ni ghali sana sijajua kwa nini mpaka leo tunang'ang'ana na majani ya chai sijui kwa nini serikali haitii hamasa kwenye hiki kilimo
uliitumia ukiwa Tanzania?
 
Mkuu majan yake ulikuwa unayapata wapi kwa hapa tz?
 
Utamu wake ni zaidi ya mara 200 mpaka 300 wa sukari miwa.

Ni nzuri kwa afya ya mwili.
Mkuu kashwagala ina ladha ya sukari? Sidhanikama ni kweli maana sisi home toka nakuwa yapo tu yamepandwa kila kona we ni kuchuma na kutia kwenye chai na mbuzi akipita anajipigia tu lakini yana harufu nzuri ila siyo ladha ya sukari. Ukitia na sukari unaongeza juu. Ila nadhani inweza kuwa processed kama majani ikawa packed ikauzwa kwenye maduka kama majani ya chai vile.
 
Wajuzi wa haya mambo vip jaman? Mmefikia wap katika harakatii hii ya stevia ya jan hilo n lip hasa
 
Back
Top Bottom