Je, mmea wa "stevia" ndio suluhisho la uhaba wa sukari nchini?

3 years back nilipoanza kuacha matumizi ya sukari kabisa nilianza na hayo majani matamu kwenye chai kuliko sukari na ni nzuri kwa weight control na kiafya kwa ujumla.
Dr. Ndodi ameyafanyia packaging anayauza
Napata wapi mbegu, nikapande porimi kwangu mzee?
 
Napenda sana stevia ni tamu sana kwenye chai huna haja na sukari, napendaga kutafuna hata majani yake uzuri ina zero glycemic index (uwezo wa kupandisha sukari ni sifuri) ,Burundi wanailima sana na ni ghali sana sijajua kwa nini mpaka leo tunang'ang'ana na majani ya chai sijui kwa nini serikali haitii hamasa kwenye hiki kilimo
Chief, nahitaji mbegu.
 
Vita ya kiuchumi, watu wanafaidika sana na chain ya sukari, itokanayo na kilimo cha miwa. Na uagizaji wa sukari ya miwa tokea nje ya nchi.

Mkuu tutaokotwa kwenye viroba Somalia!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Why JF Members tusiungane tukaanzisha Mashamba+ processing plant ya Stevia??? Kiwanda chake Turnkey ni Dola $600000. Mashamba tunaomba TIC na Mradi tunausajiri TIC tunauza shares DSE tuna ajiri wataalam toka SUA na UDSM tupige hela isiyokuwa na Mawazo kama zile anazodownload Bwana Otario ambae baada ya Kuliza wana JF ameliza watu huko jamii ya Tweeter mpaka sasa kilio na mayowe😁😁 KARIBUNI TUYAJENGE TUJIKOMBOE KIUCHUMI
 
mimi pia niko kwenye utafiti kuhusu hiki kitu tuunganishe mawazo mkuu, hata kuanza kidogo inawezekana kabla hatujafikia hatua za juu..
 
Nna mawasiliano na kampuni moja India inayotoa ushauri na utaharamu ,mbegu na jinsi ya kuhudumia mashamba ya Stevia na ata kusaidia masoko- Kwa Tanzania Soko la ndani pamoja na East Africa and SADC tuna Soko kubwa mno na iwapo tukaamuwa uza Africa ya kati huko na Nigeria tuna huakika wa soko la watu 600M plus. Tuanze mawasiliano nao watupe soil requirements-Twende SUA hawa watatupa kwa Tanzania maeneo gani Stevia itastawi.Tunaenda TIC land Bank wanatupa mashamba makubwa let say 1000+ekari.Tunawaona Benk ya kilimo na PAS tunapata mkopo wa zana za kilimo tunaingia shambani Kwa wingi wetu hapa JF hili linawezekana na isitoshe Stevia sio zao la muda mrefu so Mafanikio kabla ya mwaka mmoja tutaanza kula matunda yake.Baada ya hapo tunaendelea invest kwenye mazao mengine kama cocoa,Vanila,alizeti,Uyoga for Export ,Cage fishing ya Sato ,Prawns etc
 
imekaa vizuri sana changamoto kubwa nilipata ni mbegu wenzetu kenya wako mbali sana kuna makampuni wanatoa mbegu bure kwa wakulima halafu stevia unavuna kila baada ya miezi mitatu inachipua tena hauhitaji kupanda upya..
 
Mbegu India na China zinapatikana kikibwa ni kuonana na wahusika wizara ya kilimo watatoa mwongozo kisha zinaagizwa tu mkuu.au pia tutachukulia hapo Kenya au South Africa.TUAMUWE TU TUNAANZAJE😁All are possible .tunalima na kuprocess end product kabisa no export ya malighafi
 
Nna mawasiliano na kampuni moja India inayotoa ushauri na utaharamu ,mbegu na jinsi ya kuhudumia mashamba ya Stevia na ata kusaidia masoko- Kwa Tanzania Soko la ndani pamoja na East Africa and SADC tuna Soko kubwa mno na iwapo tukaamuwa uza Africa ya kati huko na Nigeria tuna huakika wa soko la watu 600M plus. Tuanze mawasiliano nao watupe soil requirements-Twende SUA hawa watatupa kwa Tanzania maeneo gani Stevia itastawi.Tunaenda TIC land Bank wanatupa mashamba makubwa let say 1000+ekari.Tunawaona Benk ya kilimo na PAS tunapata mkopo wa zana za kilimo tunaingia shambani Kwa wingi wetu hapa JF hili linawezekana na isitoshe Stevia sio zao la muda mrefu so Mafanikio kabla ya mwaka mmoja tutaanza kula matunda yake.Baada ya hapo tunaendelea invest kwenye mazao mengine kama cocoa,Vanila,alizeti,Uyoga for Export ,Cage fishing ya Sato ,Prawns etc
UTAHARAMU-UTAALAMU..UWAKIKA-UHAKIKA
 
Back
Top Bottom