DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,025
- 45,575
Hayo majani nikashwagala hipo bukoba kweli wanyamahanga mnadanganyana sana
Mkuu nijuze yanapatikana wap kwawing ka unayafahamu mie najua matumiz yake sana ila sina hakika ka nilishawahi yaonaHayo majani nikashwagala hipo bukoba kweli wanyamahanga mnadanganyana sana
Mkuu nijuze yanapatikana wap kwawing ka unayafahamu mie najua matumiz yake sana ila sina hakika ka nilishawahi yaona
Aisee huu nitautafuta mkuuHaahaa tafuta huo mmea upande nyumbani kama bustani au weka kwenye makopo uache ununuzi wa sukari kiwanda.
Dunia ina mengi sana.
MmmhhJe, maelezo hayo kuhusu huo mmea ni kweli???
View attachment 1498627
Kuna njia nyingi za kienyeji za kutibu kisukariTafuta wataalamu wa tiba asili na watafiti wa mimea uwaulize dawa ya kutibu kisukari inaitwaje na inapatikana wapi? Je, mbadala wa sukari mbali na matunda ni mmea gani unafaa?
Kibwagizo; Ugonjwa ni biashara brother.
NB
Soma vitabu, fanya tafiti na ukiona jambo mtandaoni thibitisha kwa tafiti na tafakali kuu. Mtandaoni vinaandikwa vingi vilivyo kweli na uongo.
Sawa mkuu. Kama unaweza niunganisha na mtu nikaenda kuyaona kwa pale yalio uta kuwa umenisaidia sana maana nimeona fursa katka haya majan sema sijawahi onana nayoSana sana bukoba yako mengi ila hata dsm watu wameyapanda km maua , kwny nyumba za Wahaya.
Kumbe bongo nayo yapo, inapatikana wapi3 years back nilipoanza kuacha matumizi ya sukari kabisa nilianza na hayo majani matamu kwenye chai kuliko sukari na ni nzuri kwa weight control na kiafya kwa ujumla.
Dr. Ndodi ameyafanyia packaging anayauza
Kumbe bongo nayo yapo, inapatikana wapi
Lazima wafanye hivyo kwani wanajua ukweli hausababishi kansa bali wataanguka ktk soko la dawaMkuu huu mmea umezuiwa kutumika kwa baadha ya mataifa kama USA kwakuhofia unauwezekano wa kusanabisha kansa,
Sujui hapa kwetu TFDA wanaongeleaje huu mmea au na wenyewe wame upiga marufuku.
wamarekani wameshagundua ni dawa ya kisukari ndio maana wameanza kuutengenezea skendo mbaya ati unaleta kansa sio kwel.. wanataka waendelee kutuuzia dawaMkuu huu mmea umezuiwa kutumika kwa baadha ya mataifa kama USA kwakuhofia unauwezekano wa kusanabisha kansa,
Sujui hapa kwetu TFDA wanaongeleaje huu mmea au na wenyewe wame upiga marufuku.
Mbona kama mzumbasha kule usambaaniHabari Tanzania!
Kwa wapenda maendeleo, afya na uchumi huu mmea wa "stevia" waweza kuwa mkombozi kwa taifa.
Wataalamu wa afya, tiba, utafiti na kilimo naomba kuliweka kwenu hili faili la mmea wa "STEVIA" maana wananchi wamechoka na magonjwa ya kisukari, bei ya sukari kuwa aghali sana nk
Cc: Mikoa ya Arusha, Mbeya, Kagera na Morogoro.
Karibu.View attachment 1498419View attachment 1498420
View attachment 1498421
Sisi Wakushi tunaamini hivyo. Na ndivyo ilivyo.Hakunaga mimea au jani lolote liletalo kansa..... Kuwa makini sana na mzungu
Kama ni kweli ni Kashwagara Bukoba/ Kagera mmea huo unastawi vizuri saana. Ndiyo maana kampuni moja ya Canada imeanzisha kilimo biashara ya mmea huo 'Stevia' nchini Rwanda ambako hali hewa ni sawa na Kagera.Mkuu nijuze yanapatikana wap kwawing ka unayafahamu mie najua matumiz yake sana ila sina hakika ka nilishawahi yaona
Organic zinaweza kuwa sumu mwilini but never kuwa carcinogen.yaani mimea isababishe cancer? Bas na palstic zitakuwa zinanenepesha ukizilaHakunaga mimea au jani lolote liletalo kansa..... Kuwa makini sana na mzungu
TrueOrganic zinaweza kuwa sumu mwilini but never kuwa carcinogen.yaani mimea isababishe cancer? Bas na palstic zitakuwa zinanenepesha ukizila