Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

Chalinze ni Wilaya kuanzia lini?
Nani mkuu wa Wilaya ya Chalinze?
Kitambo
Screenshot_20210902-073156.png
 
Duh...!. Kiukweli kabisa kuna vitu na vitu, vitu vingine vyataka moyo wa kustahimili kwa wenye udhaifu wa yale mambo yetu yalee, yaani mambo fulani!. Naomba kukiri udhaifu, hata ningekuwa mimi, uzalendo ungenishinda, ningeshindwa! Mtu anajikuta umepewa, ukapagaishwa na ukapagawa, halafu hapo ni reception tuu, kule kungine haswa maeneo ya kati jee?!, halafu unajikuta kwa vile ni wewe ndio huingiza majina kwenye mkeka baada ya vetting, then unajikuta unachomekea tuu jina kutoka mfukoni, no vetting, no nini!, enzi za naniliu, hili lilifanyika sana, na hata ningekuwa mimi, who can pay no to such a beauty, ukiimagine zile feasts za 6x6!. Sasa ni zama nyingine, lile jicho japo limeregea, lakini linaona sana !.
Jicho limeona limekuta kumbe hilo ni kokoro, limeweka pembeni. Swali langu ni moja tuu, tangu Mama ameingia ameletewa makorokocho mengi katika uteuzi na kubainika ni makorokocho, then anarekebisha, mbona hatuwasikii hawa wanaomchomekea Mama makorokocho wanafanywa nini?.
P
Swali la msingi sana,na hawakomi kumchomekea hayo makorokocho
 
Braza hapa umeupiga mwingi sana 😄😄
 
aleeyo paasi!!!!!!
 
Ila we jamaa ni mtupu sana, huyo kwenye picha sio kuruthum. Hiyo picha ni fake
Nilitegemea kutokana na ujuaji wako ungekuwa unamjua huyo kuruthum
 
Back
Top Bottom