Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

Salaam Wakuu,

Tarehe 2 Aug 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alifanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya. Mmoja ya watu Walioteuliwa ni Mwanadada Kuruthum Amour Sadik ambaye aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji Mteule Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.

Lakini nimeshangaa kusikia hadi leo hajaapishwa wakati wenzake wote Wameshaapishwa. Hakika kama ni kweli, wamemtesa kiasi cha kutosha kisaikolojia.

Ikabidi nipitie Website ya Halmashauri ya Chalinze kuangalia Mkurugenzi ni nani. Nikakuta Mkurugenzi Mtendaji ni Bw. Ramadhan Possi. Je, nini kilitokea?

Nashauri huyu dada atafutiwe kazi nyingine sababu furaha aliyokuwa nayo ilikatika ghafla. Kaikosea nini Nchi?

Je, Ridhiwani Jakaya Kikwete ana ugomvi wowote na Kuruthum Amour Sadik?

Asante

View attachment 1919327
View attachment 1919319
View attachment 1919316
Bi. Kuruthum Amour Sadik aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani
Kama nikweli!!, Bas uchawi upo ndugu zangu
 
Acha tu, baba na familia wameshika nchi na kuiendesha kwa remote control, wengine tunaangaza macho tu, kweli kutesa kwa zamu..
 
Duh...!. Kiukweli kabisa kuna vitu na vitu, vitu vingine vyataka moyo wa kustahimili kwa wenye udhaifu wa yale mambo yetu yalee, yaani mambo fulani!. Naomba kukiri udhaifu, hata ningekuwa mimi, uzalendo ungenishinda, ningeshindwa! Mtu anajikuta umepewa, ukapagaishwa na ukapagawa, halafu hapo ni reception tuu, kule kungine haswa maeneo ya kati jee?!, halafu unajikuta kwa vile ni wewe ndio huingiza majina kwenye mkeka baada ya vetting, then unajikuta unachomekea tuu jina kutoka mfukoni, no vetting, no nini!, enzi za naniliu, hili lilifanyika sana, na hata ningekuwa mimi, who can pay no to such a beauty, ukiimagine zile feasts za 6x6!. Sasa ni zama nyingine, lile jicho japo limeregea, lakini linaona sana !.
Jicho limeona limekuta kumbe hilo ni kokoro, limeweka pembeni. Swali langu ni moja tuu, tangu Mama ameingia ameletewa makorokocho mengi katika uteuzi na kubainika ni makorokocho, then anarekebisha, mbona hatuwasikii hawa wanaomchomekea Mama makorokocho wanafanywa nini?.
P
Na wachomekeaji ni kina Nani? Tuwajue waumbuke, wanatukosesha fursa hao labda ingekuwa ni nafasi zetu lkn tunazikosa kwa sababu ya wachomekeaji.
 
Back
Top Bottom