Basi Malcolm inakubidi uzame zaidi katika kusoma Zionism (kwani ni elimu). Haidhuru siyo Wayahudi wote ni Zionists, lakini fikra yenyewe, vigogo, mihimili yake na walio wengi ni Wayahudi.
Fuatilia Wayahudi tangu kale, ni katika taifa gani hawakufukuzwa na wenyeji? Kwa nini? Ironically, ni dola la Kiislamu pekee, the Ottomans, ndiyo waliowahimili Wayahudi. Hata Waajemi, Wayunani waliowapa hifadhi, mwishowe wakachoka.
Sasa Marekani: nani anayemiliki Holywood? Unataka kusema Holywood haichangii 80% mmomonyoko wa maadili? Asli ya Wamarekani ni Wakristo- eeh, wale waliokuja kuwachinja wenzao na kuchukua nchi- inakuwaje sasa hata Chritsmas inapigwa vita Marekani, ushoga unatukuzwa? Ukisoma sana Zionism utajua kwamba hawamwabudu Mungu (wana Mungu wao, tafuta).
Ujerumani ilikuwa nchi ya kwanza katika nchi za Ulaya kuwakubali Wayahudi na kuwatoa kwenye MaGetto na kuwaruhusu waishi huru na watu wengine....., kuwaruhusu kuwa na biashara kubwa na mpaka wakati anakuja Hitler, ni Wayahudi waliokuwa wakiongoza katika biashara Ujerumani. Kitu gani wamewalipa? Kweli inawezekana kwa nchi iliyowafanyia hayo yote wakati nchi zote Ulaya zikiwakataa, iwachukie tu bila ya sababu?
Kuna mambo mengi husomeshwi shuleni, na kwa vile takriban vyombo vyote vikuu vya mawasiliano duniani vinamilikiwa na wao.....kama usipokuwa mdadisi huwezi kujua hakika ya mambo.
Thanks God kwa internet. Waliigundua wao lakini ukweli nadhani wanajuta.
Hii haimaanishi kuwa Wayahudi wote ni wabaya, la hasha, kama ambavyo si Wajerumani wote ni Hitler. Ila matendo ya jamaa hawa wenye imani za Zionism ni hatari sana kwa usalama wa dunia. Leo Israel ina mabomu ya nuklia zaidi ya 400 niambie yatamlenga nani hayo? Maana kama ni Waarabu pekee, hata mabomu 50 yataimaliza kabisa bara arabu mara nne. Tena zaidi ya hayo wana mabomu ya Hydrogen pia. Yote hii hakuna hata mtu mmoja anayeuliza, silaha zote hizi ni za nini. Ila Iran ikijaribu (hata hakuna uhakika kama atak silaha za nuklia) angalia kilichomfika!
Nakubali, Marekani ni koloni la Israel. Umeona wapi mkuu wa nchi, Obama, azomewe na wabunge wake mwenyewe na ashangiliwe Netanyahu? Unadhania kuitawala nchi maana yake ni nini?
Zamani kuna mwanafalsafa mmoja (nadhani Descarte kama nakumbuka) alisema: "If you want to know who rules over you, find out who you cannot criticize" Marekani hii leo, unaweza kui-criticize Israel? Thubutuuuu...Obama kidogo aangushwe, si kwa ku-criticize, just by suggesting Israel should co-exist with the Palestinians based on 1967 borders.
Mosi, turudi nyuma katika historia kidogo tuliweke sawa suala la OTTOMAN EMPIRE na Wayahudi,
Kilichofanya dola ya ufalme wa Uturuki (Ottoman Empire) ukae na Wayahudi siyo kwasababu waliwapenda Wayahudi. La hasha! Ukweli ni kwamba Uturuki ilitawala Mashariki ya kati na palestina ikiwemo kwa zaidi ya miaka 500 na utawala wake uliisha mwaka 1919 nchini ufaransa kwenye makataba wa Versailles.
Hivyo basi naweza kusema Wayahudi waliokuwa mashariki ya kati (Sephardim Jews) walikuwa ni raia wa falme hii ya kiislamu ya Uturuki kwa miaka mingi tu.
Pili, kuna msemo unasema "IN AMERICA YOU CAN CRITICIZE GOD,BUT NOT THE JEWS"
Sababu kubwa ni ushawishi wa Wayahudi kwenye Vyombo vya habari, uchumi, Siasa na teknolojia.
Sasa hivi wamejaa kila sehemu nyeti ya Marekani kuanzia Bungeni, benki kuu, taasisi za elimu, ulinzi na usalama, burudani na kwenye makampuni makubwa ya kibiashara.
Unategemea nani atakayewapigia kelele?
Tatu, mazingira haya waliyajenga wao wenyewe wamrekani na wala hawatakiwi kulaumu chochote.
Mwaka 1902 bwana Joseph Chamberlain aliyekuwa mratibu wa makoloni ya Uingereza alifanya kikao na kiongozi wa Wazayuni Theodore Hertz. Alitaka kuwapa Kenya au Uganda ili waanzishe taifa lao lakini wao wakakataa na kutaka wapewe Palestina. Jitihada nyingi sana zilifanyika na kuna kipindi wakataka wapewe kisiwa cha Madagascar lakini wakakaa pia.
Mwaka 1917 wakati vita ya kwanza ya dunia inaelekea ukingoni, Muingereza baada ya kuona amezidiwa nguvu na Mjerumani, Mturuki, M'bulgaria na Italy aliamua kutumia njia ya kuwafanya wayahudi washiriki ile vita. Waziri Mkuu wa Uingereza wa kipindi hicho bwana McArthur Balfour alitangaza kwamba kama Wayahudi watahusika na ile vita hasa upande wa Muingereza , Mfaransa na Mrusi basi watapewa sehemu ya Palestina kuwa nchi ya Israeli. Ikumbukwe Wayahudi walikuwa wengi sana kwenye jeshi la Ujerumani na kwenye nchi ya Uturuki kama nilivyosema kwenye aya ya kwanza; kilichotokea waliwasaliti wajerumani na hata siri nyingi za kijeshi za ujerumani walipeleka kwa adui. Vita ikaisha Muingereza hakufanya hivyo zaidi zaidi kwenye akayachukua Makoloni ya Mturuki na kuendeleza Ubepari kama ilivyo ada.
Vita ya pili ya dunia imeisha,
Wayahudi walidai kupewa nchi, japo mataifa mengi yalipinga hicho kitu kwasababu Palestina ilikuwa ni nchi ya waarabu.
Muingereza naye hakukubaliana nacho hicho kitu sana ndiyo maana Winston Churchhill aliomba Wafaransa wasiwaruhusu Wayahudi kurudi Mashariki ya kati kwasababu aliona mbali.
Marekani kama taifa kubwa lenye nguvu ya kuweza kufanya linachotaka wakaamua kubariki kuundwa kwa Israeli kama mkakati wa kuzuia ushawishi wa Jamhuri ya Kisovyeti mashariki ya kati.
Leo hii Marekani anajuta na hana tena cha kusema. Tamaa ya kutawala dunia imemtokea puani kwasababu badala ya Israeli kuwasaidia Wamarekani kuwadhibiti Warusi na Wachina; kuna hati hati ya kumfanya Marekani na dunia nzima tuingie kwenye janga ambalo hatujawahi kuliona.
Hapa nani alaumiwe?
Nne, wayahudi waliharibu sana Urusi kipindi jamhuri ya Kisovyeti imesambaratika,
Walijimilikisha utajiri mkubwa sana chini ya Utawala wa Boris Yeltsin huku wananchi wa Urusi wakifa kwa njaa na vita.
Walishika hatamu ya vyombo vya habari, siasa ya nchi na hata ulinzi na usalama. Kwa kifupi maadili ya Urusi yalimomonyoka.
Lakini je, Warusi waliendelea kuwavumilia na kuwaangalia huku taifa lao linaharibika?
Hapana hata kidogo, hawakuruhusu hicho kitu leo wayahudi wako wengi sana Urusi lakini kuanzia raisi Vladmir Putin na wanasiasa wengi tu wanawakosoa hadharani na hawacheki nao hata kidogo.
Hapa mkuu unasemeje kuhusu haya?