Je, Marekani ni Koloni la Wayahudi? Pima mwenyewe

Acha kupotezea lakini hata Rwanda wapo/mpo wanaoamini watutsi na Kagame ndio waliofanya Genocide

Napotezea nini?
Wewe si umeambiwa Upime?
Au kuna mahala ambapo nimekulazimisha uamini nlichoandika?
 
Just a Smart Ass know it all.
Ndugu yako Mchambawima ananifahamu vizuri nimekaa sana Kigali miaka ya 90.
Kumbe uko familiar na issues za Rwanda na kama hujarudi Kigali since 90's inabidi urudi tena labda utakuwa na one or 2 things from Kigali
 
Mkuu umewahi kusoma OPERATION PAPERCLIP?
Mkuu hii ni miaka ya 1945, OSS operation ya kuwachukua wajerumani (wengi walikuwa na asili ya wayahudi), wenye talents za uengineer, technicians, designers zaidi ya 1500 kuwahamishia marekani ili kuwadhoofisha kitechnologia wajerumani.
Twende miaka ya nyuma zaidi enzi zile meli la kwanza la wazungu lilipotua US wayahudi hawakuwa miongoni mwao?
Hebu leta madini mkuu
 
Kwamba Wayahudi ndiyo chanzo cha matatizo ya dunia na kumomonyoka kwa maadili ya Marekani.
Hili halijakaa sawa hata kidogo. Nakubali Wayahudi wana ushawishi mkubwa sana kwenye siasa ya Marekani na kweli wameharibu sana ile nchi; lakini ukweli utabaki kwamba Marekani imeanza kuharibika baada ya kupata uhuru.
Ubaguzi wa rangi, biashara ya utumwa, kupenda kumwaga damu za watu, ubaguzi wa kidini na kujali pesa kuliko utu vilikuwepo hata kabla ya Federal Reserve na Wall Street.
Mkuu sema kidogo kuhusu ugomvi wa wayahudi na wamarekani weuzi enzi hizo za ubaguzi.
 
Roschild matajiri wakubwa wakiyahudi,nchi zote zinadaiwa na hawa watu,ikiwemo marekani

mkuu sio hao tu, Kuna huyu jamaa anaitwa HAYM S0LOMON
Ni Myahudi Mfanyabiashara aliyehamia NEW YORK kutokea POLAND kipindi cha MAPINDUZI Huko US.
Kwa kushirikiana na ROBERT MORRIS(the financer of revolution alitoa pesa yake cash zaidi ya paund 1Mil) walifinance mapinduzi ya kivita kumkimbiza Mkoloni Mwingeleza. Yawezekana aliyekuwa nyuma ya hawa wote ni haohao rothschilds.

Wenzetu waliiona fursa America zamani sana hata kabla haijafikiliwa kuwa SUPERPOWER
 
mkuu sio hao tu, Kuna huyu jamaa anaitwa HAYM S0LOMON
Ni Myahudi Mfanyabiashara aliyehamia NEW YORK kutokea POLAND kipindi cha MAPINDUZI Huko US.
Kwa kushirikiana na ROBERT MORRIS(the financer of revolution alitoa pesa yake cash zaidi ya paund 1Mil) walifinance mapinduzi ya kivita kumkimbiza Mkoloni Mwingeleza. Yawezekana aliyekuwa nyuma ya hawa wote ni haohao rothschilds.

Wenzetu waliiona fursa America zamani sana hata kabla haijafikiliwa kuwa SUPERPOWER
Ni kwel kabisa,kuna kitabu fulani nilisomaa,ndo kilinifungua macho,kumbe hata mjanja nae huwa kuna sehem analiwa
 
Kigali mbona nakuja sana tu.
Kuna ndugu zangu kibao.
haudanganyi!!! Mkuu Koba ndugu yetu MALCOM LUMUMBA yuko very updated na ni SMART huwa nina ups and downs nikijadiliana nae na mara nyingi sio kwa sababu haujuwi ukweli HAPANA! ni katika juhudi za kuuendeleza mjadala kusudi aangalie akili za Interahamwe kama kina jMali (sijuwi kafia wapi?) imbonerakure vyuma na yule mkurupukaji Masunga Maziku
jitihada zetu za kuiboresha Rwanda zimeanza kulipa wameamuwa kukimbia kabisa... ah kweli ya Mungu mengi...
 
Ni kwel kabisa,kuna kitabu fulani nilisomaa,ndo kilinifungua macho,kumbe hata mjanja nae huwa kuna sehem analiwa

Mkuu Wayahudi wakiingia wanashambulia kama viwavi,
Wao hujali sana jamii yao kuliko hata nchi waliyomo.
Ndiyo maana hata Roosevelt alishawahi kumnyima Myahudi moja asiwe Mwanasheria mkuu akasema hili litafanya Justice Department iwe na Wayahudi tu.

Baadaye Nixon alisema Sera yetu ya mambo ya nje imetekwa na Wayahudi, akasema Myahudi anayempenda ni Henry Kissinger. Watu waliona ni chuki tu dhidi ya Wayahudi lakini baadae kukawa na uthibitisho wa hili.
 
Mkuu Wayahudi wakiingia wanashambulia kama viwavi,
Wao hujali sana jamii yao kuliko hata nchi waliyomo.
Ndiyo maana hata Roosevelt alishawahi kumnyima Myahudi moja asiwe Mwanasheria mkuu akasema hili litafanya Justice Department iwe na Wayahudi tu.

Baadaye Nixon alisema Sera yetu ya mambo ya nje imetekwa na Wayahudi, akasema Myahudi anayempenda ni Henry Kissinger. Watu waliona ni chuki tu dhidi ya Wayahudi lakini baadae kukawa na uthibitisho wa hili.
hawa jamaa hawafai,ni wepesi sana kufanya mambo upside down
 
Mkuu Wayahudi wakiingia wanashambulia kama viwavi,
Wao hujali sana jamii yao kuliko hata nchi waliyomo.
Ndiyo maana hata Roosevelt alishawahi kumnyima Myahudi moja asiwe Mwanasheria mkuu akasema hili litafanya Justice Department iwe na Wayahudi tu.

Baadaye Nixon alisema Sera yetu ya mambo ya nje imetekwa na Wayahudi, akasema Myahudi anayempenda ni Henry Kissinger. Watu waliona ni chuki tu dhidi ya Wayahudi lakini baadae kukawa na uthibitisho wa hili.
Bernie Sanders Myahudi huyu kajipenyeza hadi kawa wa High
profile American politician.

Founder wa hii political israel state Davin Ben Gulion na vijana wenzake wakitokea kijiji kimoja huko poland kuelekea palestina, aliwahi kusema,

Ours is a country built more on people than on territory. The Jews will come from everywhere: from France, from Russia, from America, from Yemen... Their faith is their passport.
 
Mfano issue ya Syria ni Israel anaye mcontrol USA aidha awashambulie Isis mpk nguvu yao ipungue na pia awaache wapate nguvu waisumbue regime

Bahati nzr urusi kaenda kuharibu
Wayahudi huwezi pia kuwatenganisha na Russia, Hata hiyo communism/Leninism ni project za wayahudi hao hao kumbuka hata Karl Marx naye alikuwa Myahudi mwenye asili ya ujerumani. Humo Russia kuna wayahudi wa kutosha na hadi juzi juzi Pro-putin walikuwa wanawashutumu kwa kuchafua siasa za russia.
425px-Mikhail_Fradkov%2C_2014.jpg

Huyu Jamaa hapa Juu anaitwa Mikhail Fradkov, Alikuiwa Waziri mkuu wa Russia(2005 hadi 2007) na pia 2007 hadi 2016 ni Head of Foreign Intelligence muda wake unatarajiwa kuisha Kesho kutwa. Huyu jamaa baba yake ni Myahudi na kwa kauli ya wayahudi wao wanasema hawawi Identified by Territory isipokuwa Kabila yao haijalishi uko wapi unafanya nini. Huwa Tunajifariji tu kuwa Russia inapingana na US,.

NAKUPA LIST YA WAYAHUDI WALIOWAHI KUWA VIONGOZI WA NCHI MBALIMBALI. Pia Kumbuka Retired MOSSADs wengi huwa sehemu mbalimbali duniani wakiongoza Mapinduzi, Vikosi vya waasi, Washauri wa kivita wa serikali mbalimbali, High profile strartegists katika Intelligence Units za mataifa mbalimbali na vikosi vya waasi. Hata Mapinduzi ya zanzibar ukisoma historia yake wikipedia https://en.wikipedia.org/wiki/Zanzibar_Revolutionanatajwa kuwepo asubuhi hiyo Israel spymaster DAvid Kimche nae alionekana hapo unguja Haijulikani alikuwa anamission gani lakin.

Wayahudi Huwezi kuwakwepa
List of Jews in politics - Wikipedia, the free encyclopedia pitia hii link uone walivyotapakaa kwenye siasa za dunia Hasa ulaya na Marekani
 
Siyo marekani tu dunia imeshikwa na wayahudi. Nilipotoshwa na keyboard

The countries with the lowest rates of anti-Semitism (Top 10 in the world)


A temple in Luang Prabang, Laos. (photo credit: CC BY-SA Jean-Marrie Hullot, Flickr)

1. Laos: Boasting the lowest rates of anti-Jewish sentiment on the planet, Laos received an index score of 0.2%. The survey claim most supported at 4% was “Jews are more loyal to Israel than to [this country/to the countries they live in]”


IsraAID members in the Philippines. (Photo credit: IsraAID/Nufar Tagar)

2. Philippines: At 3%, like Laos, the question of Jewish nationalistic loyalty was most agreed with, with 10% of respondents voicing support for this assertion. Following closely behind, the statement that Jews have too much power in the business world garnered support among 9% of the population interviewed.


Danish Jews arrive in Malmo, Sweden, to show their solidarity with the city’s Jewish community. (Photo credit: Cnaan Liphshiz/JTA)

3. Sweden: At 4%, Sweden is the least anti-Semitic country in Europe. However, Jewish loyalty to the State of Israel over its home country garnered the support of over a quarter of participants in the survey (27%).


View of the house in Amsterdam where Anne Frank and her family hid during the Holocaust. (photo credit: Nati Shohat/Flash90)

4. Netherlands: With a 5% index score, the Netherlands is nonetheless concerned, like those before it, with Jewish loyalty. One third of those asked agreed Jews are more loyal to Israel than the Netherlands. Furthermore, 20% believed the Jews talk too much about the Holocaust.


A woman selling goods from her bike in Hanoi. photo credit: CC BY Nathan Onions, Flickr)

5. Vietnam: 6% of the country’s citizens were deemed anti-Semitic in the survey. Overall, men were twice as likely to agree with the anti-Jewish claims than women (8% vs. 4%)


English policemen guard Big Ben and the Houses of Parliament in London. (Photo credit: Yossi Zamir/Flash90)

6. United Kingdom: At 8 percent, the UK beat the US ever-so-slightly. Like the European countries before it on this list, over a quarter of the UK respondents believed Jews to be more patriotic toward Israel than the UK (27%). Nearly a fifth of those surveyed said “Jews have too much control over the United States government” (19%).


A police vehicle near the location of a shooting at the Jewish Community Center in Overland Park, Kansas, Sunday, April 13, 2014 (Photo credit: Jamie Squire/Getty Images via JTA Photos)

7. United States: At 9 percent, nearly 1/4 of those surveyed in the US said the Jews talk too much about the Holocaust (22%). While in the US, 31% said Jewish were more loyal to Israel than the US, only 11% thought the Jews have undue influence on the American government.


Skyline of Copenhagen, Denmark (photo credit: Paul Burani/Wikimedia Commons)

7. Denmark: Neck and neck with the US at 9 percent, some 39% of Danes believe the Jewish commitment to Israel precedes that of its patriotism to its own state.


An Israeli water pumping system in Tanzania. (photo credit: Courtesy)

9. Tanzania: The only African country to reach the top ten, Tanzania scored a total of 12 percent. Thirty-two percent of those asked agreed that Jews have too much control in the international media, “don’t care what happens to anyone but their own kind,” and are more loyal to Israel, respectively.

10. Thailand: Israeli tourists can rest easy, as one of their most frequented tourist attractions lands the title of one of the least Jew-unfriendly countries.

Source: The 10 most anti-Semitic countries
 
hicho kisa kimezungumziwa sana kwenye hichi kitabu. waisrael wanasema meli ya marekani ilikuwa imesogea sana kwenye eneo la bahari la sinai hivyo walihisi wamisri wanataka kuicapture Sinai. hawakujua kuwa inawasaidia upelelezi ila ni top secret. Marekani asingeweza peleka Nuclear Cairo sababu USSR ilikuwa standby na cold war ilikuwa moto kurisk jambo kubwa hivyo. wakati wa hiyo vita Marekani na USSR waliogopana sana na hakuna aliyetaka itokee.
6days.jpeg
 
Back
Top Bottom