Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

“The greatest purveyor of violence in the world : My own Government, I can not be Silent. - Rev. Martin Luther King Jr kwenye hotuba yake ya against Vietnam war.

Au: The United States is "The Greatest Purveyor of Violence in the World Today"

So jibu ni kweli Marekani ni adui halisi wa ubinadamu hivyo yatupaswa kupinga uovu wake na si kuufurahia eti sababu wanatoa ARV's, au wameanzisha sijui internet, misaada ya hisani nk.
Hata ma magenge ya kimafia nao hutoa sana misaada kwa jamii lakini...
 
So jibu ni kweli Marekani ni adui halisi wa ubinadamu hivyo yatupaswa kupinga uovu wake na si kuufurahia eti sababu wanatoa ARV's, misaada ya hisani nk.
Hata ma magenge ya kimafia nao hutoa sana misaada kwa jamii lakini...

Marekani ingekuwa ni adui wa ubinadamu basi huko Marekani kusingekuwa na wakimbizi waliokimbia mauaji nchini mwao na udhalimu wa kila aina.

Iweje nchi mnayodai ni adui wa ubinadamu ndo iwe kimbilio la watu pindi wapatapo masahibu huko kwenye nchi zao?

Kawaambieni hivyo wakimbizi kutoka Bosnia, Somalia, Syria, Iraq, Vietnam na kadhalika muone kama watawaelewa.
 
“The greatest purveyor of violence in the world : My own Government, I can not be Silent. - Rev. Martin Luther King Jr kwenye hotuba yake ya against Vietnam war.

Au: The United States is "The Greatest Purveyor of Violence in the World Today"

So jibu ni kweli Marekani ni adui halisi wa ubinadamu hivyo yatupaswa kupinga uovu wake na si kuufurahia eti sababu wanatoa ARV's, au wameanzisha sijui internet, misaada ya hisani nk.
Hata ma magenge ya kimafia nao hutoa sana misaada kwa jamii lakini...
Serikali yoyote ina monopoly ya violence kisheria.

Hilo kwanza tuwekane wazi.

Ukiweka cross multiplication maths kuangalia uchumi, raia wa nchi nyingi wanaweza kusema nchi zao ziko violent kuliko Marekani.

It can be argued that, pound for pound, serikali ya Tanzania iko more violent kuliko ya Marekani kwa jinsi inavyosababisha vifo, mauaji etc vinavyozuilika.

Tundu Lissu anaweza kumbishia MLK na kumwambia tukifanya cross multiplication ya adjustment ya power to violence, serikali ya Tanzania inaishinda serikali ya Marekani kwa ubaya huo.
 
Marekani ingekuwa ni adui wa ubinadamu basi huko Marekani kusingekuwa na wakimbizi waliokimbia mauaji nchini mwao na udhalimu wa kila aina.

Iweje nchi mnayodai ni adui wa ubinadamu ndo iwe kimbilio la watu pindi wapatapo masahibu huko kwenye nchi zao?

Kawaambieni hivyo wakimbizi kutoka Bosnia, Somalia, Syria, Iraq, Vietnam na kadhalika muone kama watawaelewa.
Hawa watu mini nawaona kama Kim Il Sung na Kim Jong Un.

Kila siku haishi kukandya Marekani.

Huku nyumbani familia yake ilikuwa mteja namba moja wa Henessy.

Alikuwa anatumia dola za Kimarekani milioni moja kununua Henessy tu.

Anakunywa analewa halafu anaitukana Marekani mbaya.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.

Ndiyo hawa wenzetu.

Mmarekani mbaya, internet yake dawa. Nike Air watavaa. Na wengine watakuomba uwapelekee ukienda likizo.

Na mizinga watakupiga. Magufuli kabana kaka.

Unawatumia dola za Mmarekani.

Magufuli mwenyewe anachukua misaada ya Wamarekani.

Halafu kelele nyingi Marekani adui wa ubinadamu.

Suseni basi internet ya Marekani tujue mko serious.

Otherwise mimi nawacheka tu kama wanafiki wasio na mbele wala nyuma.

Muone Kim Il Jong hapo anajinafasi na pombe zake. Akitoka hapo anaponda Marekani.

Kim Jong-il Spent More on Hennessy in a Year Than Most People Make on Wall Street
 
Wakimbizi wote au waomba hifadhi duniani kote wana haki zao na wanalindwa na The 1951 Refugee Convention ndiyo maana pamoja na udhalimu wote unaofanywa na serikali nyingi za kiafrika utaona wakimbizi wanapewa hifadhi na wanakuwa salama.
Hata kama wakimbizi au watu wengi wasio na hatia wanaoepuka udhalimu Afrika nk. wanakimbilia Marekani na kupata hifadhi nzuri haitoshi kuiondoa Marekani kuwa adui wa ubinadamu.
 
Internet imeanzishwa kama research project ya wizara ya ulinzi ya Marekani. Enzi hizo mtandao ukiitwa ARPANET.

Anayetaka kujua zaidi Wiki iko hapa ARPANET - Wikipedia

Kwa msingi huu, ni kweli kwamba bila Marekani mfumo mzima wa internet kama ulivyo leo usingekuwepo.

Na hao wanaoisema Marekani labda wangeisema kwa alama za moshi.

Maana hata mfumo wa umeme tunaoutumia umegunduliwa Marekani.

Waswahili walisema "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Marekani si nchi tu. Ni wazo.

Ni wazo kwamba kuna sehemu wajanja wote waliokataa ujinga ujinga wa sehemu nyingine huko duniani wanaweza kukutana.

Hawa Watanzania wanaoikandia Marekani leo hawajui kwamba bila Marekani Hitler angetawala dunia na aghalabu angerudisha utumwa kwa watu weusi wote.

Sisemi kwamba Marekani haina mabaya, lakini kusema Marekani ni adui wa ubinadamu ni kuionea. Kwa sababu ni kitu complex sana kinachokataa simple definition.

Angalia tu Wamisionari waliojituma kusaidia watoto waliopata ajali ya gari utaona kuna watu wana moyo wa upendo na kujitoa sana. Hapo kuna wabongo kibao wakiona ajali kitu cha kwanza wanachofanya ni kuzisachi maiti kama zina hela.

Sasa watu waseme kwamba Watanzania ni wanyama wanaombea wengine wafe ili wawasachi?

Magufuli kachukua fedha za rambirambi kapeleka serikalini.

Tuseme Watanzania wanaibia mpaka wafiwa?

Mtu anakwambia Marekani hivi au vile, wakati hiyo hivi au vile anayoihusisha na Marekani unakuta nusu ya Wamarekani wenyewe wanaipinga.
waambie hao
 
Hawa watu mini nawaona kama Kim Il Sung na Kim Jong Un.

Kila siku haishi kukandya Marekani.

Huku nyumbani familia yake ilikuwa mteja namba moja wa Henessy.

Alikuwa anatumia dola za Kimarekani milioni moja kununua Henessy tu.

Anakunywa analewa halafu anaitukana Marekani mbaya.

Baniani mbaya, kiatu chake dawa.

Ndiyo hawa wenzetu.

Mmarekani mbaya, internet yake dawa. Nike Air watavaa. Na wengine watakuomba uwapelekee ukienda likizo.

Na mizinga watakupiga. Magufuli kabana kaka.

Unawatumia dola za Mmarekani.

Magufuli mwenyewe anachukua misaada ya Wamarekani.

Halafu kelele nyingi Marekani adui wa ubinadamu.

Suseni basi internet ya Marekani tujue mko serious.

Otherwise mimi nawacheka tu kama wanafiki wasio na mbele wala nyuma.

Muone Kim Il Jong hapo anajinafasi na pombe zake. Akitoka hapo anaponda Marekani.

Kim Jong-il Spent More on Hennessy in a Year Than Most People Make on Wall Street
Hapo bongo penyewe dollar ya Kimarekani ndo king.

Watu wanapangisha properties zao kwa dollar.

Hoteli za kitalii zinaweka rates katika dollar!

Ukiangalia channel lineups za satellite na cable providers zimejaa vipindi vya Kimarekani. Hadi Real Housewives of Atlanta inaonyeshwa.

Hoja ya kwamba Marekani ni adui wa ubinadamu haina mashiko kabisa.

Kwenye nchi zingine watu hupigwa hadi kuuwawa kısa tu eti lifestyles zao zipo tofauti...mfano gays....

Lakini Marekani ina sheria kabisa zinazolinda minority groups wakiwemo mashoga.

Hivi wanaoua ma albino sio maadui wa ubinadamu?
 
Ingekuwa vyema sana uwapinge kwa vitendo. Si maneno tu.

Acha kutumia internet waliyoianzisha kwa sababu wana i control.

Anzisheni yenu.

Hii Jamiiforums yenyewe ni tovuti iliyosajiliwa Marekani.

Kama hutaki vya Wamarekani hata hapa Jamiiforums hutakiwi kuwepo.

Ukitembelea Jamiiforums habari zako zinakwenda kwa Wamarekani. Kama huwataki Wamarekani jiondoe hapa.

Acha kutumia Whatsapp nao ni mfumo wao. Facebook, Instagram nazo pia.

In fact hata email usitumie.

Usiangalie movies za Hollywood wala kusikiliza muziki wa Kimarekani.

Jiondoeni Umoja wa Mataifa unaochangiwa sana na Wamarekani na ambao Makao Makuu yake yako Marekani.

Nduguzenu wanaotaka kuja kuishi na kusoma Marekani wakatazeni.

Misaada ya Wamarekani kataeni.

Watalii wa kutoka Marekani msiwakubali.

Jiondoeni kwenye mfumo wa kibenki wa dunia unaotawaliwa na Marekani.

Kataeni kununua bidhaa zozote za Kimarekani.

Mkifanya hivyo na kusema Mmarekani mbaya, nitawaelewa.

Siyo mtu umevaa Nike na Polo, unaandika kwenye internet JF, unapost picha instagram, unawasiliana na ndugu zako Facebook, una chat groups za Whatsapp, serikali yako imepewa misaada na Marekani, halafu kelele nyiingi Wamarekani wabaya.

Kataeni Umarekani kwa vitendo.

Kabla hamjafanya hivyo mtakuwa mnacheza tu mchezo wa "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Unafiki.
tatzo watz weng n close minded
 
Wakimbizi wote au waomba hifadhi duniani kote wana haki zao na wanalindwa na The 1951 Refugee Convention ndiyo maana pamoja na udhalimu wote unaofanywa na serikali nyingi za kiafrika utaona wakimbizi wanapewa hifadhi na wanakuwa salama.
Hata kama wakimbizi au watu wengi wasio na hatia wanaoepuka udhalimu Afrika nk. wanakimbilia Marekani na kupata hifadhi nzuri haitoshi kuiondoa Marekani kuwa adui wa ubinadamu.
Kwa hiyo hao wakimbizi wanakimbilia kwenye nchi ambayo ni adui wa ubinadamu?

Y'all aren't even making sense now!
 
Vitu vyote vinavyofadhiliwa na marekani mfano dawa za ARVs, ushoga na mengine machafu na ikiwepo ukimwi wenyewe unasemekana ni kwa ajili kuua humanity je taifa kama hili kuharibu watu wanataka aishi nani hapa duniani kama lengo lake ni kuua watu ninapata sana mashaka sana hawa wataka nani dunia iwe na nani kama sio sisi?

Wanajamvi hili jambo kubwa sana marekani je ni rafiki yetu kweli? Duniani inafanya fujo kubwa sana kuua watu na kudhulumu mataifa.

Kuna isue ya Alien hao wanafanya nao kazi na hao wadudu ni wana akili sana kuliko sisi ndio wameajiriwa na wanatengeneza silaha ya maangamizi makubwa sana.

Hao wadudu wanataka dunia iwe na watu bilioni moja tu wameamua kufuta watu duniani wakae wao tu.

Ebu tujadiliane wadau kuna mambo mengi chini ya kapeti mpaka kuna baadhi ya watu marekani wamejitokeza hadharani kuwa marejani inapanga njama kutufuta phil schinder ni moja kati ya watu waliojitokeza kusema hadharani kuwa marekani inapanga mauaji ya humanity for 90%

karibuni wadau
M.A.V.I. matupu uliyoandika
 
Wakimbizi wote au waomba hifadhi duniani kote wana haki zao na wanalindwa na The 1951 Refugee Convention ndiyo maana pamoja na udhalimu wote unaofanywa na serikali nyingi za kiafrika utaona wakimbizi wanapewa hifadhi na wanakuwa salama.
Hata kama wakimbizi au watu wengi wasio na hatia wanaoepuka udhalimu Afrika nk. wanakimbilia Marekani na kupata hifadhi nzuri haitoshi kuiondoa Marekani kuwa adui wa ubinadamu.
Marekani ni nini?

Unajua kwamba hiyo Convention Wamarekani walishiriki sana kuifanikisha na in fact moaka League of Nations iliyokuja kuzaa United Nations waliisimamia sana ?

Unajua kuna mstari wa moja kwa moja kutoka 14 points za Woodrow Wilson na League of Nations mpaka UN na huo mkataba?

Sasa Marekani iliyo adui wa ubinadamu imezalishaje kina Woodrow Wilson?

Imezalishaje kina Jimmy Carter?
 
tatzo watz weng n close minded
Wengine wana vijiba tu vya roho wameshindwa safari au wamesafiri lakini wameshindwa kuitoa basi kilichobaki kupaka.

Mtu anasema Marekani ni adui wa ubinadamu. Ukimuuliza Marekani ni nini hawezi kukujibu.

Unaona hapa watu washalishwa ujinga sana tu.
 
Serikali yoyote ina monopoly ya violence kisheria.

Hilo kwanza tuwekane wazi.

Ukiweka cross multiplication maths kuangalia uchumi, raia wa nchi nyingi wanaweza kusema nchi zao ziko violent kuliko Marekani.

It can be argued that, pound for pound, serikali ya Tanzania iko more violent kuliko ya Marekani kwa jinsi inavyosababisha vifo, mauaji etc vinavyozuilika.

Tundu Lissu anaweza kumbishia MLK na kumwambia tukifanya cross multiplication ya adjustment ya power to violence, serikali ya Tanzania inaishinda serikali ya Marekani kwa ubaya huo.
Yani Marekani yeye ni kama kwa maadui lugha rahisi tunasemaga ni adui kuu au kubwa la maadui sasa hivi vingine ni vidogo vidogo, umeelewa?

Kwa ubaya/uhalifu dhidi ya utu wa binadamu Marekani imekubuhu ndiyo maana King akasema vile na hakuishia tu kusema alipinga sana na hadi tuzo ya Nobel akapewa kwa sababu hiyo ya kupigania amani na utu duniani.
So Tundu Lissu kweli angeweza kumbishia MLK lakini asingeweza kumshinda kwa hoja, sababu siyo kila anayebisha kitu fulani ana hoja za msingi wengine ni wabishi tu na wanajiskia heri sana kubisha bisha tu vitu hata kama wanajua hawako sahihi na hawana hoja za msingi wao watabisha tu kwani kubisha kwao ni kama ufahari.
 
Kwa hiyo hao wakimbizi wanakimbilia kwenye nchi ambayo ni adui wa ubinadamu?

Y'all aren't even making sense now!
Kama Marekani kweli ni adui wa ubinadamu basi nchi zote wanachama wa UN ama nazo ni adui wa ubinadamu ama ni za majuha.

Kwa nini kila September viongozi wa dunia nzima wanapangana kuja New York USA kwenye General Assembly ya UN?

Kwa nini wasiiondoe hapo jwa adui wa ubinadamu?
 
mtoa mada sema tu ulitaka kusema marekani ni adui wa waislam ukaona sooo
 
Yani Marekani yeye ni kama kwa maadui lugha rahisi tunasemaga ni adui kuu au kubwa la maadui sasa hivi vingine ni vidogo vidogo, umeelewa?

Kwa ubaya/uhalifu dhidi ya utu wa binadamu Marekani imekubuhu ndiyo maana King akasema vile na hakuishia tu kusema alipinga sana na hadi tuzo ya Nobel akapewa kwa sababu hiyo ya kupigania amani na utu duniani.
So Tundu Lissu kweli angeweza kumbishia MLK lakini asingeweza kumshinda kwa hoja, sababu siyo kila anayebisha kitu fulani ana hoja za msingi wengine ni wabishi tu na wanajiskia heri sana kubisha bisha tu vitu hata kama wanajua hawako sahihi na hawana hoja za msingi wao watabisha tu kwani kubisha kwao ni kama ufahari.
Tanzania ina uchumi gani na inaua watu wangapi kila siku?
 
Wapi nimesema "Marekani haiwezi kuwa adui" ?

Nipe nukuu yangu yenye maneno hayo. Unajua mimi napima kila neno na limekaaje katika sentensi,na linawezaje kubadilisha maana ya sentensi,kwa hiyounaposema nimesema kitu, naomba uninukuu.

Kwa sababu naweza kuandikakitu tofauti na unavyotafsiri wewe, kama hujatumianukuu verbatim.

Kwa sababu hatuna uelewa sawa.

Unaweza kunionyesha sehemu hiyo? Context yake?

Sijakwambia kwamba bila ku define Marekanini nini hatuwezi kuelewana hapa?

Ume define wewe sasa kuniambia Marekani yako ni nini?

Na nikikwambia hatuwezi kuelewana kwa sababu wewe huja define Marekanini nini, utakataa?

Unajua kwamba kuna kitambaa cha nguo kinaitwa "Marekani" ?

Unajuakuna bara linaitwa "Marekani" ? Moja ya Kusini na nyingine ya Kaskazini?
Maelezo meengi ila hujaeleza ni marekani gani ambayo wewe unaizungumzia humu?
 
Yeaah that is a point on getting new world order....stay tune..by
-controlling population
-controlling economy
-I think and technology
Note for controling the world people have to be minimized...
 
Ndipo swali langu lilipo.

Naelewa inazungumziwa nchi ya Marekani.

Lakini hilo halijibu swali.

Unapoongelea Marekaninunaongelea nini?

Nchi ni nini?

Ile ardhi ambayo ipo ndaninya mipaka ya Marekani ndiyo inayoongelewa hapa? Ardhi ndiyo inchukia watu?

Sifikiri hivyo.

Sasa nchi ni nini? Serikali? Uongizi wa kisiasa?

Mbina uongizi wa kisiasa wa Marekani umegawanyika sana. Marekani inaoata marais tofauti kabisa kama Obama na Trump?

Nchi ni nini? Watu?

Mbona watu nao wamegawanyika sana?

Sasa mbona tunaifanya hii "Marekani" kama kitu kimoja rahisi kukielezea wakati ni nchi complex sana?

Marekani inachulia binadamu? Kama Marekani ingechukia binadamu basi dunia ingepigwa mabonu ya nyuklia sana.

Mmarekani ndiye alikuwa wa kwanza kugundua nyuklia. Akalitumia mara mbuki tu nje ya majaribuo, kumaliza vita vya piki vya dunia.

Akamzuia Hitler asituuilie mbali weusu wote na wengine kururudisha kwenye utumwa.

Hii Marekani ndiyo inayochukia ubinadamu?
Haya maswali mie sikuyajibu na sijaona aliyejibu haya maswali yako,je unapoendelea kuzungumzia marekani nawe ungeeleza unazungumzia nini?
 
Back
Top Bottom