Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Inaonekana una tatizo la kusoma na kuelewa.

Ulichoandika na kilichoandikwa ni vitu viwili tofauti.

Watu waliandika kabla Marekani haijagunduliwa na watu wengine wa dunia.

Lakini Wamarekani ndio waliotupa internet. Nimeandika post ndefu hapo juu. Ina link mpaka ya Wikipedia.

Kwa hivyo, bila hao Wamarekani kufanya research na kutupa ARPANET, internet kama ilivyo leo isingekuwepo na wewe usingeweza kuandika hapa.

Ushaelewa?
Asipoelewa atakuwa na matatizo ssa
 
Ingekuwa vyema sana uwapinge kwa vitendo. Si maneno tu.

Acha kutumia internet waliyoianzisha kwa sababu wana i control.

Anzisheni yenu.

Hii Jamiiforums yenyewe ni tovuti iliyosajiliwa Marekani.

Kama hutaki vya Wamarekani hata hapa Jamiiforums hutakiwi kuwepo.

Ukitembelea Jamiiforums habari zako zinakwenda kwa Wamarekani. Kama huwataki Wamarekani jiondoe hapa.

Acha kutumia Whatsapp nao ni mfumo wao. Facebook, Instagram nazo pia.

In fact hata email usitumie.

Usiangalie movies za Hollywood wala kusikiliza muziki wa Kimarekani.

Jiondoeni Umoja wa Mataifa unaochangiwa sana na Wamarekani na ambao Makao Makuu yake yako Marekani.

Nduguzenu wanaotaka kuja kuishi na kusoma Marekani wakatazeni.

Misaada ya Wamarekani kataeni.

Watalii wa kutoka Marekani msiwakubali.

Jiondoeni kwenye mfumo wa kibenki wa dunia unaotawaliwa na Marekani.

Kataeni kununua bidhaa zozote za Kimarekani.

Mkifanya hivyo na kusema Mmarekani mbaya, nitawaelewa.

Siyo mtu umevaa Nike na Polo, unaandika kwenye internet JF, unapost picha instagram, unawasiliana na ndugu zako Facebook, una chat groups za Whatsapp, serikali yako imepewa misaada na Marekani, halafu kelele nyiingi Wamarekani wabaya.

Kataeni Umarekani kwa vitendo.

Kabla hamjafanya hivyo mtakuwa mnacheza tu mchezo wa "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Unafiki.
Mkuu umewakomesha kabisa hawa wanaosema marekani mbaya hawana humanity
 
Hata kadi za benki za VISA na MasterCard wazitupe, waache na kunywa Coca-Cola, Pepsi, na bidhaa zingine zote zitengenezwazo na hizo kampuni, waache kupanda Boeing, waache kutumia bidhaa za Microsoft, Apple, waache kusikiliza bongofleva ambayo iko heavily influenced na hiphop, waache kununua nyimbo za marapa wa Tanzania maana wanaiga utamaduni wa Kimarekani kwa kuuwekea vionjo vya Kiswahili.....

Hahahaaa.....hawa watu wanacheza hawa.
Wanacheza kweli mkuu
 
Ubinadamu ni nini?

Ubinadamu ni watu kuishi kwa empathy na kujali wengine kama wale Wamarekani wamisionari waliokuwa hawana haja ya kuokoa watoto waliopata ajali Arusha walivyofanya kushiriki kuwaokoa na kuwapeleka Marekani kupata matibabu.

Hao Wamarekani wa hivyo wako wengi sana dunia nzima, kiasi kwamba ajali imetokea random na wao wakasaidia.

Kama Marekani ingekuwa ni adui wa ubinadamu kindakindaki kama inavyosemwa, hawa wasingekuwa na moyo wa kusaidia watu ambao hawakuwajua. Tena wangejipa udhuru wa kusema sisi wageni hapa, nchi hatuijui, sheria hatuzijui,tamaduni hatuzijui, tunaweza kutaka kusaidia tukashitakiwa kwa kusababisha vifo, ngoja tuondoke eneohili la ajali kama hatujaona kitu.

Hawakufanya hivyo. Wamekuwa mabalozi wazuri wa kuwawakilisha Wamarekani kamawatu wanaopenda ubinadamu.

Because America would not be the Champion of Nuclear Treaties if world peace is not achieved.

This is a logical non sequitur.One does not need nuclear weapons to even exist to be a champion of world peace.

Moreover, one does not even need to succeeed in achieving world peace to be a champion of world peace.

Dr. Martin Luther King is considered a champion of harmonious race relations, a nobellaureate for world peace, even though he died before the successful resolution of race issues in the US and the achievement of anything close to total world peace short of the heat death of the universe.

Has the NPT, The SALT, The START, The Moon Treaty, The Pelindaba Treaty, The ABM Treaty or The Treaty of San-Fransisco achieved World Peace or meet their Objectives of putting an end to Nuclear Arms Race or Creating a Nuclear Free World?
The Nash Equilibrium or Mutually Assured Destruction.
Wewe huzijui?

You are again succumbing to the same logical non-sequitur mentioned above. If you have come to see the errors of your ways and the flaw in your faulty logic,you will see that this argument is moot already, from above.
 
Ni vizuri nikajiridhisha kwamba Marekani ninayoielezeamimi ni ile ile unayoielezea wewe.

Mimi nikiamini kwamba bluu ni bluu na nyekundu ni nyekundu, na wewe ukaamini kwamba nyekundu ni bluu na bluu ni nyekundu, tukifanya litmus test mbili ku test alkali na tindikali, tutaona kitu kimojalakini tutabishana.

Kwa sababu tutaona kitu kimoja, mimi nitakiita nyekundu, wewe utakiita bluu, na mimi nikiona bluu, wewe utaita nyekundu.

Kitu kimojakile kile, macho yetu yanakubaliana tunachoona, akili zetu zinakuba;li rangi ile ile.

Ila tumekosana kui define tu.

Hatutaelewana hata kama tunasema kitu sawa sawa wote.

Ndiyo maana kuanza kwa definition ya vitu ni muhimu sana.
Binafsi humu sijasema habari ya uadui wala ubinadamu wa marekani,ila wewe naona ukieleza mambo ambayo unaona ni mazuri yanayofanywa na marekani hivyo unakataa kuwa marekani si adui. Ingekuwa vizuri kama ungeeleza ni marekani gani unayoona haiwezi kuwa adui kwa hayo mazuri unayoyaeleza.

Maana kama wewe pia huelezi ni marekani gani unayoizungumzia basi pia utakuwa ni sehemu ya tatizo.
 
Naongezea tu,nchi nyingi za kiarabu ndo waanzilishi wa tigo network nawao wanasemaga suna na huwapigia wake 0653

Yaani baada ya kuona hiyo documentary kuhusu use.nge katika nchi za kiarab nilishangaa sana na nikaomba ndugu zangu waliopo Bongo waonyeshwe ili wapate kujua ukweli wa mambo. Wanakaa na kujidanganya tu kuwa waarab wameelimika kumbe wao ndio waesherati wakubwa. Yaani unaambiwa mwanamme unaruhusiwa kutembelewa na rafiki yake wa kiume na wanafungiwa ndani (chumbani) waongee, wakitoka hakuna anayewauliza, familia inawaKikwete (kuwachekea tu) na kuwapa hongera ya kujifungia chumbani. Ila aje mwanamke kumtembelea jamaa, ni ruhusa kumpiga mawe mpaka anakufa kwa kuwa ni Malaya.
 
Sasa nyinyimnaoangalia mabaya ya teknolojia ya hawa watu wasiopenda ubinadamu mbona hamuiachi?

Unafahamu kwamba certificates zinazoendesha hizi websites zimesajiliwa Marekani?

Unafahamukwamba domain name imesajiliwa Marekani?

Unafahamu kwamba traffic inapitia Marekani?

Sasa kwa nini unaendelea kuwepo hapa wakati JFni sehemu ya mifumo ya hawa Wamarekani adui wa ubinadamu?

Wakikupa sumu je?
Soma point Yangu ya mwisho niliyo mqot nyani ngab,
Kweli kabisa,
Hata hiyo phase tuliopewa ambayo tunaiita satellite ,tumejengewa tangu mwaka 1973.hii ni kabla ya serkali kyunganishwa kwenye tunaouita Kongo wa taifa.

ILI UJUA KAMA HAWA JAMA SIO WATU WEMA NA DUNIA HASA KWETU SISI WEUSI.ANGALIA. wameanzisha mladi unaoitwa SKA ,yaani square kilometer aria.wameenda southafrica wametegesha madishi 3000 yenye upana was Mira 15 kila moja.eneo hilo hats miti Haioti kwasababu ya mionzi.chaajabu mitambo ya kuongozea wamefunga kwao huko.kwa kutudanganya ndio wametuunganushia hiyo phase 4.tunayotambia Leo kwa kuuita mkongo wa taifa.

KWAHIYO NI KWELI KILAKITU WANACHO WAO LAKINI TUSIWE NA MAHABA ZAIDI NA HAWA WATU .HAWANA NIANZURI NA SS .
 
Wale watoto waliopata ajali Arusha wanatibiwa Muhimbili kwa ufadhili wa Magufuli?
Ushavimbiwa maharage sasa umeamuwa kujambajamba hovyo.
sikushangai ulichokiandika na kilicho kwenye mada, sijui una miaka mingapi lakini what is behind the topic it may consume the rest of your to understand it, so take a time to read and digest the topic inner and outer, then come up with reasonable answers or even ideas, HAVE YOU UNDERSTOOD THE TOPIC?
 
Soma point Yangu ya mwisho niliyo mqot nyani ngab,
Kweli kabisa,
Hata hiyo phase tuliopewa ambayo tunaiita satellite ,tumejengewa tangu mwaka 1973.hii ni kabla ya serkali kyunganishwa kwenye tunaouita Kongo wa taifa.

ILI UJUA KAMA HAWA JAMA SIO WATU WEMA NA DUNIA HASA KWETU SISI WEUSI.ANGALIA. wameanzisha mladi unaoitwa SKA ,yaani square kilometer aria.wameenda southafrica wametegesha madishi 3000 yenye upana was Mira 15 kila moja.eneo hilo hats miti Haioti kwasababu ya mionzi.chaajabu mitambo ya kuongozea wamefunga kwao huko.kwa kutudanganya ndio wametuunganushia hiyo phase 4.tunayotambia Leo kwa kuuita mkongo wa taifa.

KWAHIYO NI KWELI KILAKITU WANACHO WAO LAKINI TUSIWE NA MAHABA ZAIDI NA HAWA WATU .HAWANA NIANZURI NA SS .
Basi huna budi kujiondoa hata hapa kwa sababu hii yote mitandao yao, wananyonya data zakona kusoma email zako, na karibu wanaweza kukutumia barua yenye anthrax kwa kupitia posta yako.

Ukizidi kuzubaa zubaa hapa ndivyo unavyozidi kuwapa data zako.
 
Binafsi naona kama watu wanachanganya vitu yaweza ni kwa kutokusudia au kwa maksudi.Hata magaidi wana mambo mazuri wayafanyayo ila mabaya wayafanyayo yana athari kubwa kwa watu hivyo hatuwezi kuacha kuwaona magaidi ni maadui kwa kuanza kuorodhesha mazuri yao.

Na hivyo nadhani ndivyo mleta mada alivyokusudia,sasa kuja kutueleza habari za teknolojia na misaada sidhani kama ni sahihi kutumia utetezi huo.
Gaidi hawezi kua na mazuri,
Isipokua Hawa wamarekan wana msemo wao wanase ukitaka kumuua mbwa wako mpe jina baya.
Mfano,una mfugo wa aina hiyo halafu siku unaamua kusema nataka kuumua mbwa huyu kwasababu amekua mwizi.anakula kuku Wangu kilasiku.kwahiyo hats jirani akisikia anasema.a cha amuue.kumbe kamsingizia tu kwasabu kamchoka.
 
Basi huna budi kujiondoa hata hapa kwa sababu hii yote mitandao yao, wananyonya data zakona kusoma email zako, na karibu wanaweza kukutumia barua yenye anthrax kwa kupitia posta yako.

Ukizidi kuzubaa zubaa hapa ndivyo unavyozidi kuwapa data zako.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duh!!
 
Binafsi humu sijasema habari ya uadui wala ubinadamu wa marekani,ila wewe naona ukieleza mambo ambayo unaona ni mazuri yanayofanywa na marekani hivyo unakataa kuwa marekani si adui. Ingekuwa vizuri kama ungeeleza ni marekani gani unayoona haiwezi kuwa adui kwa hayo mazuri unayoyaeleza.

Maana kama wewe pia huelezi ni marekani gani unayoizungumzia basi pia utakuwa ni sehemu ya tatizo.
Nimeeleza kwamba Marekanini dhana,si nchi tu.

Ama kwa hakika, nchi zote ni dhana, ila Marekanini dhana zaidi.

Ukija kwa watu, kuna watu wa Marekani wa kila aina.

Kuna kina Theodore Kaczynski "UNABOMBER" na Timothy McVeigh aliyelipua jengo laserikali Oklahoma.

Kuna Wamisionari wanaokuja kusaidia watu huko Afrika kama hawa waliookoa watoto waliopata ajali Arusha.

Aghalabu mazuri yoyote unatayoweza kuyasemaya duniahii unawezakuyapata Marekani. Na mabaya hivyo hivyo pia.

Nijamaii iliyo complex na inayokataa kuwekwa katika fungu moja kirahisi.

Utasemaje Marekani ni adui wa ubinadamu wakati wa Irish walipokufa kwa njaa huko kwao, walikimbilia Marekani. Wa Ethiopia walivyokumbwa na njaa, Wamarekani ndio walijipanga kuimba wimbo "We are The World" kuchangia maafa ya njaa. Sikusikia Wanamuzikiwa Afrika wakijipanga kufanya hivyo muda ule njaa ilipoanza.

Na mpaka leo kuna watu kem kem wanafanya mazuri Marekani.

Na kuna watu kemkem wanafanya mabaya.

Sasa kinachomfanya mtu ajiibukie na kusema tu "Marekani ni adui wa ubinadamu" kama Marekani ni kinyama kimoja unachoweza kukifungia katika boksi dogo ni kipi?
 
"Al-Watan, post: 21247652, member: 15144"Ubinadamu ni watu kuishi kwa empathy na kujali wengine kama wale Wamarekani wamisionari waliokuwa hawana haja ya kuokoa watoto waliopata ajali Arusha walivyofanya kushiriki kuwaokoa na kuwapeleka Marekani kupata matibabu.

Uelewa wako unanitia mashaka sana, sijui kama hata swali langu umelielewa hata kabla hujakurupuka kulijibu.
Umenijubu tabia ambazo binadamu anaweza kuzionesha hadharani, lakini bado haswa hujanijibu Swali langu la muhimu.
Nini haswa maana ya Ubinadamu!

Kwanza Ungekuwa unaelewa hata maana ya Ubinadamu,
Sidhani hata kama ungeuelezea Ubinadamu kwa kutumia hisia isiyoweza kuonekana wala kuthibitishwa.
Tena unadiriki hata kujidanganya kwamba nikifanya kitu Ummah unione basi hiyo ni Empathy na huo ndiyo ubinadamu.

Usomi wako ni wa kujidanganya sana na hii ndiyo Non Sequitur yenyewe.

Kama Marekani ingekuwa ni adui wa ubinadamu kindakindaki kama inavyosemwa, hawa wasingekuwa na moyo wa kusaidia watu ambao hawakuwajua. Tena wangejipa udhuru wa kusema sisi wageni hapa, nchi hatuijui, sheria hatuzijui,tamaduni hatuzijui, tunaweza kutaka kusaidia tukashitakiwa kwa kusababisha vifo, ngoja tuondoke eneohili la ajali kama hatujaona kitu.

Labda nikukumbushe historia ndogo.
Miaka ya themanini Tanzania iliwekewa vikwazo vikali sana na Mataifa ya Magharibi, nchi iliishiwa mafuta ya mitambo.
Saddam Hussein alileta mapipa ya mafuta kwa Watanzania ambao siyo hata ndugu zake.

This is a logical non sequitur.One does not need nuclear weapons to even exist to be a champion of world peace.

Moreover, one does not even need to succeeed in achieving world peace to be a champion of world peace.

Then if one does not need to succeed in achieving World Peace to be a Champion,then the Term Champion of World Peace is a farce and meaningless. We need to see Substantial and Long term Achievements to name you a Champion.
Not otherwise.

Dr. Martin Luther King is considered a champion of harmonious race relations, a nobellaureate for world peace, even though he died before the successful resolution of race issues in the US and the achievement of anything close to total world peace short of the heat death of the universe.

Then he's No Champion.
Calling him a Champion would be an Insult to the likes of Mandela, Tutu or De Clarke. (The real Champions of Harmonious race relations and Nobel Laurete)

You are not making any sense Al-Watan
 
Gaidi hawezi kua na mazuri,
Isipokua Hawa wamarekan wana msemo wao wanase ukitaka kumuua mbwa wako mpe jina baya.
Mfano,una mfugo wa aina hiyo halafu siku unaamua kusema nataka kuumua mbwa huyu kwasababu amekua mwizi.anakula kuku Wangu kilasiku.kwahiyo hats jirani akisikia anasema.a cha amuue.kumbe kamsingizia tu kwasabu kamchoka.
Kwanini gaidi hawezi kuwa na mazuri? ubaya wa jambo la ugaidi ndiyo unafanya ionekane kuwa gaidi hana mazuri ila ajabu kwenye suala la marekani watu wanataka kufunika uadui wa marekani kwa mazuri yao bila kujari ubaya wa marekani una athari kiasi gani.
 
Nimeeleza kwamba Marekanini dhana,si nchi tu.

Ama kwa hakika, nchi zote ni dhana, ila Marekanini dhana zaidi.

Ukija kwa watu, kuna watu wa Marekani wa kila aina.

Kuna kina Theodore Kaczynski "UNABOMBER" na Timothy McVeigh aliyelipua jengo laserikali Oklahoma.

Kuna Wamisionari wanaokuja kusaidia watu huko Afrika kama hawa waliookoa watoto waliopata ajali Arusha.

Aghalabu mazuri yoyote unatayoweza kuyasemaya duniahii unawezakuyapata Marekani. Na mabaya hivyo hivyo pia.

Nijamaii iliyo complex na inayokataa kuwekwa katika fungu moja kirahisi.

Utasemaje Marekani ni adui wa ubinadamu wakati wa Irish walipokufa kwa njaa huko kwao, walikimbilia Marekani. Wa Ethiopia walivyokumbwa na njaa, Wamarekani ndio walijipanga kuimba wimbo "We are The World" kuchangia maafa ya njaa. Sikusikia Wanamuzikiwa Afrika wakijipanga kufanya hivyo muda ule njaa ilipoanza.

Na mpaka leo kuna watu kem kem wanafanya mazuri Marekani.

Na kuna watu kemkem wanafanya mabaya.

Sasa kinachomfanya mtu ajiibukie na kusema tu "Marekani ni adui wa ubinadamu" kama Marekani ni kinyama kimoja unachoweza kukifungia katika boksi dogo ni kipi?
Sijakuuliza marekani ni nini hadi uniambie ni dhana,nimeuliza ni marekani gani unayokusudia unaposema marekani haiwezi kuwa adui? maana inaonesha wewe unapozungumzia marekani unaiweka kama ni kitu kimoja ila wenzako wakisema marekani ni adui unataka wafafanue marekani gani.
 
Wapi nimesema "Marekani haiwezi kuwa adui" ?

Nipe nukuu yangu yenye maneno hayo. Unajua mimi napima kila neno na limekaaje katika sentensi,na linawezaje kubadilisha maana ya sentensi,kwa hiyounaposema nimesema kitu, naomba uninukuu.

Kwa sababu naweza kuandikakitu tofauti na unavyotafsiri wewe, kama hujatumianukuu verbatim.

Kwa sababu hatuna uelewa sawa.

Unaweza kunionyesha sehemu hiyo? Context yake?

Sijakwambia kwamba bila ku define Marekanini nini hatuwezi kuelewana hapa?

Ume define wewe sasa kuniambia Marekani yako ni nini?

Na nikikwambia hatuwezi kuelewana kwa sababu wewe huja define Marekanini nini, utakataa?

Unajua kwamba kuna kitambaa cha nguo kinaitwa "Marekani" ?

Unajuakuna bara linaitwa "Marekani" ? Moja ya Kusini na nyingine ya Kaskazini?
 
Back
Top Bottom