Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

tumia akili huo ndo ushoga kweli kweli kwa kuwa amekuwa mwema sometimes basi mpenzi wako akikulamisha kufanya mapenzi kinyume na maumbile kwako ni sawa tu lazima tutumie akiki jamani wanatuharibu sisi
Ebu tuangalie nia yake sio matokeo yake
Amemlazimsha mtu kuwa shoga??kwani marekani kwenyew hakuna ushoga??
 
Tatizo unaangalia zaidi uzuri wa technologia kuliko mabaya na madhara ya technologia.
Sasa nyinyimnaoangalia mabaya ya teknolojia ya hawa watu wasiopenda ubinadamu mbona hamuiachi?

Unafahamu kwamba certificates zinazoendesha hizi websites zimesajiliwa Marekani?

Unafahamukwamba domain name imesajiliwa Marekani?

Unafahamu kwamba traffic inapitia Marekani?

Sasa kwa nini unaendelea kuwepo hapa wakati JFni sehemu ya mifumo ya hawa Wamarekani adui wa ubinadamu?

Wakikupa sumu je?
 
Point ya kwanza, tofautisha kusema jambo lisingekuwepo na kusema jambo lisingekuwepo kama lilivyo sasa.
Kivipi?
Likishaanzishwa na mtu ukija kutumia, hata kama angeanzisha mwingine, kuja kuwa kama ilivyokuwa is a statistical impossibility.

Sijui kama umeelewa nuance hiyo.

I find this place has a problem, the currency of nuance is in short circulation.

Halafu point kubwa zaidi hujaijibu.
Point ipi?
Kama vitu vimegunduliwa Marekani, vimesajiliwa Marekani, viko controlled na Mrekani, kwa nini hawa wanaosema Marekani inachukia ubinadamu bado wanavitumia?

Hawaogopi kutiliwa sumu na Marekani inayochukia ubinadamu?
Wanatumia na vina madhara....

Wanashindwa kuacha kutumia kwasababu hakuna namna nyingine ya kufanya kutokana na mazingira yalivyo sasa....-
 
Al-Watan,

Hivi kweli hawa ndio watu ambao hawapendi ubinadamu?

Ubinadamu ni nini?

Why does world peace need to be achieved for my statement to be valid?

Because America would not be the Champion of Nuclear Treaties if world peace is not achieved.

Have you ever heard of Nuclear Proliferation Treaty?

SALT 1 and 2? START?

Has the NPT, The SALT, The START, The Moon Treaty, The Pelindaba Treaty, The ABM Treaty or The Treaty of San-Fransisco achieved World Peace or meet their Objectives of putting an end to Nuclear Arms Race or Creating a Nuclear Free World?

Hao Wamarekani kama kweli hawapendi ubinadamu kwanini hawajalipua mibomu ya nuclear waue watu vizuri tangu 1945?

The Nash Equilibrium or Mutually Assured Destruction.
Wewe huzijui?

Al-Watan
 
Binafsi naona kama watu wanachanganya vitu yaweza ni kwa kutokusudia au kwa maksudi.Hata magaidi wana mambo mazuri wayafanyayo ila mabaya wayafanyayo yana athari kubwa kwa watu hivyo hatuwezi kuacha kuwaona magaidi ni maadui kwa kuanza kuorodhesha mazuri yao.

Na hivyo nadhani ndivyo mleta mada alivyokusudia,sasa kuja kutueleza habari za teknolojia na misaada sidhani kama ni sahihi kutumia utetezi huo.
 
Mazuri ya maghaidi ni yepi hayo?
 
Mkuu umeandika point, hakuna average mind zitakazokuelewa ulichokiandika, lakini kwa watu wanaofuatilia mambo kwa undani Marekani its allies hawa watu ni watu wa kupingwa kwa nguvu zote, kwasababu hawana nia njema hata kidogo na binadamu.
Wale watoto waliopata ajali Arusha wanatibiwa Muhimbili kwa ufadhili wa Magufuli?
Ushavimbiwa maharage sasa umeamuwa kujambajamba hovyo.
 
Ili vyote viwezekuwepo kama vilivyoposasa inabidi uhakikishe unaweza kurudi nyuma kwenye muda na kufanya majaribio ya kutengeneza upya kila kitu kirudi kama kilivyo.

Hujafanya hilo.

Point ipi?

Imefuatia hapo

Wanatumia na vina madhara....

Wanashindwa kuacha kutumia kwasababu hakuna namna nyingine ya kufanya kutokana na mazingira yalivyo sasa....-

Basi havina madhara ki hivyo. Kama nilivyosema mwanzo, wengi wana tabia ya ku exaggerate.

Look, I was in Kampala in the year 2000. On a Ugandan FM Radio. Dissing the US for not ratifying the Kyoto Agreement. Nilikuwa mgeni wa watu lakini sikujali kama serikali ya Museveni itanifanya mbaya na wageni wangu wataadhirika.

Sisemi kwamba Wamarekani hawana mabaya.

Mabaya ya sehemu ya jamii ya Marekani nina vitabu na vitabu vya kuyaongelea, kuanzia utumwa mpaka Japanese internment mpaka the exploitation of minorities katika sub prime loans.

Lakini kusema "Marekani ni adui wa ubinadamu" ni hyperbole sawa na kusema "Marekani ni malaika anayependa sana binadamu".

Ukweliupo katikati hapo.

Wamarekani wanajifunza sana mabaya yao na kutakakuweka sheria kuyarekebisha, kwa sababu wana utawalawa sheria, watu wanapaka serikali, mambo yanayoweza kurekebishwa yanarekebishwa.

Wwhich is more than what we can say for most countries.

Kwa hiyo n reject hii hyperbole kwamba Marekani ni adui wa ubinadamu, hususan kwa sababu "Marekani" si kitu kimoja, ni mkusanyiko wa watu wengi kutokapande zote za dunia wenye mawazo mengi yanayopingana na kugombea kukubaliwa.

Na sababu hiyo hiyo itanifanya ni reject habari yoyote itakayosema jumla jumla bila caveat wala nuance kwamba "Wamarekani ni watu wazuri sana".

Tatizo tunapenda sana ku oversimplify,kukiwa na ukweli wowote unaokataa oversimplification, tunaukosa.
 
Wanawaharibu vipi?

Mtu mzima mmoja anawezaje kuharibiwa na mwingine?

Wewe zuzu?

Mbona nyie Waafrika mnakubali kuoa wake wengi na Wamarekani wamekataa habari hizo?

Mbona wao tu waweze kuwaharibu nyie, nyie msiweze kuwabadiki wao?

Hamna akili au vipi?
Mkuu umesema ya maana sana mkuu
 
Adui wa binadamu ni shetani na mawakala wake.

Vitu vyote vinavyofadhiliwa na marekani mfano dawa za ARVs, ushoga na mengine machafu na ikiwepo ukimwi wenyewe unasemekana ni kwa ajili kuua humanity je taifa kama hili kuharibu watu wanataka aishi nani hapa duniani kama lengo lake ni kuua watu ninapata sana mashaka sana hawa wataka nani dunia iwe na nani kama sio sisi?

Wanajamvi hili jambo kubwa sana marekani je ni rafiki yetu kweli? Duniani inafanya fujo kubwa sana kuua watu na kudhulumu mataifa.

Kuna isue ya Alien hao wanafanya nao kazi na hao wadudu ni wana akili sana kuliko sisi ndio wameajiriwa na wanatengeneza silaha ya maangamizi makubwa sana.

Hao wadudu wanataka dunia iwe na watu bilioni moja tu wameamua kufuta watu duniani wakae wao tu.

Ebu tujadiliane wadau kuna mambo mengi chini ya kapeti mpaka kuna baadhi ya watu marekani wamejitokeza hadharani kuwa marejani inapanga njama kutufuta phil schinder ni moja kati ya watu waliojitokeza kusema hadharani kuwa marekani inapanga mauaji ya humanity for 90%

karibuni wadau
 
Unapenda ubishi sana,unauliza sasa marekani ni nini wakati ulianza kucomment kabla hata kuuliza marekani ni nini. Halafu et hilo swali halijajibiwa na hivyo mjadala hauna maana wakati umeshatoa maoni kwenye huo huo mjadala bila hata kujulikana marekani ni nini?

Yani idea hiyo ya ubishi uliyokujanayo sasa haina maana kwa sababu ulishatoa maoni yako kwenye huu mjadala,unapenda ubishi ila kibaya huwezi kusimamia unachokitetea nakufananisha na Kiranga maana yupo kama wewe.

Halafu ni nani ambaye anapaswa kujibu hilo swali kwanini wewe usilijibu?
Ni vizuri nikajiridhisha kwamba Marekani ninayoielezeamimi ni ile ile unayoielezea wewe.

Mimi nikiamini kwamba bluu ni bluu na nyekundu ni nyekundu, na wewe ukaamini kwamba nyekundu ni bluu na bluu ni nyekundu, tukifanya litmus test mbili ku test alkali na tindikali, tutaona kitu kimojalakini tutabishana.

Kwa sababu tutaona kitu kimoja, mimi nitakiita nyekundu, wewe utakiita bluu, na mimi nikiona bluu, wewe utaita nyekundu.

Kitu kimojakile kile, macho yetu yanakubaliana tunachoona, akili zetu zinakuba;li rangi ile ile.

Ila tumekosana kui define tu.

Hatutaelewana hata kama tunasema kitu sawa sawa wote.

Ndiyo maana kuanza kwa definition ya vitu ni muhimu sana.
 
Ili vyote viwezekuwepo kama vilivyoposasa inabidi uhakikishe unaweza kurudi nyuma kwenye muda na kufanya majaribio ya kutengeneza upya kila kitu kirudi kama kilivyo.

Hujafanya hilo.
Nani kasema "ili vyote viweze kuwepo kama vilivyopasa"?
Msingi wa hoja hii ni nini?
Nilichosema mimi ni kuhusu uhitaji wa kilichopo kuwa sababu ya kitu hicho kuwepo na siyo kundi fulani kusababisha uwepo wa kilichokuwepo,sasa nashindwa kukuelewa na haya maelezo yako mengine....

Fafanua tafadhali...
Imefuatia hapo
"Hapo" ni nini/wapi?
Chini ya eneo unalolalia kila utakapo au "wapi"?

Basi havina madhara ki hivyo. Kama nilivyosema mwanzo, wengi wana tabia ya ku exaggerate.

Look, I was in Kampala in the year 2000. On a Ugandan FM Radio. Dissing the US for not ratifying the Kyoto Agreement. Nilikuwa mgeni wa watu lakini sikujali kama serikali ya Museveni itanifanya mbaya na wageni wangu wataadhirika.

Sisemi kwamba Wamarekani hawana mabaya.

Mabaya ya sehemu ya jamii ya Marekani nina vitabu na vitabu vya kuyaongelea, kuanzia utumwa mpaka Japanese internment mpaka the exploitation of minorities katika sub prime loans.

Lakini kusema "Marekani ni adui wa ubinadamu" ni hyperbole sawa na kusema "Marekani ni malaika anayependa sana binadamu".

Ukweliupo katikati hapo.

Wamarekani wanajifunza sana mabaya yao na kutakakuweka sheria kuyarekebisha, kwa sababu wana utawalawa sheria, watu wanapaka serikali, mambo yanayoweza kurekebishwa yanarekebishwa.

Wwhich is more than what we can say for most countries.

Kwa hiyo n reject hii hyperbole kwamba Marekani ni adui wa ubinadamu, hususan kwa sababu "Marekani" si kitu kimoja, ni mkusanyiko wa watu wengi kutokapande zote za dunia wenye mawazo mengi yanayopingana na kugombea kukubaliwa.

Na sababu hiyo hiyo itanifanya ni reject habari yoyote itakayosema jumla jumla bila caveat wala nuance kwamba "Wamarekani ni watu wazuri sana".

Tatizo tunapenda sana ku oversimplify,kukiwa na ukweli wowote unaokataa oversimplification, tunaukosa.
Ni kweli Wamarekani ni mkusanyiko wa watu kutoka maeneo mengi ya dunia ambao wana namna tofauti ya kufanya mambo na kufikiri,hapa watu hawajadili kuhusu Wamarekani bali Marekani,sijui kama unaelewa tofauti hii...

Wale Wamarekani walioko kule mashambani wanalima walihusika namna ipi na sera ya Obama ya USHOGA?
Hujui hata kuna watu hawakumpa kura Obama?

Hujui kuna watu walimpinga Obama wazi wazi kwa kutokukubaliana na sera zake?

Hao ni "Wamarekani",mtu akisema "Marekani imeruhusu ushoga" atakuwa sawa na atakayesema "Wamarekani wameruhusu ushoga"?

Mtu akisema "Marekani ilimuua Ghadafi" ni sawa na aliyesema "Wamarekani walimuua Ghadafi"...
 
Back
Top Bottom