Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Hizo ni ndoto mkuu north angetawala tungekuwa na akili kuliko wa marekani!!!
North mbona siasa zake kashatawala Tanzania enzi za Nyerere tumesoma sana siasa za Juche gazeti la Mfanyakazi?

Ndio waliomchuza Nyerere mpaka watu wakapata njaa na habari za kupanga foleni chakula malori ya Ugawaji.

Na lile lilikuwa trailer tu, movie lenyewe lingekuwa njaa mpaka watu wanakufa kwa mamilioni.

Ulikuwa ushazaliwa?
 
Kwanza kabisa huyo unayemsema mtawala wa dunia si mtawala wadunia, ndiyo maana hata huyo North Korea anaweza kufurukuta.

Katafute kitabu cha Fareed Zakariakinaitwa "The Post American World"

Let's get that right first.

barackbook.jpg
Na kama ni hivyo basi hata marekani pia ikiwa mtawala wa dunia pia anaweza kutufanya watumwa,huo ndiyo utabiri wangu kama wewe ulivyotabiri kwa NK
 
Na kama ni hivyo basi hata marekani pia ikiwa mtawala wa dunia pia anaweza kutufanya watumwa,huo ndiyo utabiri wangu kama wewe ulivyotabiri kwa NK
Marekani aliweza kufanya dunia iwe mtumwa wake tangu 1945 alivyopata nuclear weapons, hakutaka kufanya hivyo.

Ndiyo kwanza akaenda kusaidia reconstruction Europe.
 
Societies placing a high premium on religiosity, particularly sexual chastisty, as a general rule are less economically developed compared to societies that do not.

Look at Afghanistan and the USA.

Look at Africa and Northern Europe.

Look at India and The Netherlands.

It is as if the more energy you devote to police the sexual chastity of your population, the less you have to devote to economic development.
Mkuu hapa kidogo unaweza kutoa maelezo ya ziada. Kipindi US na whole of E.U wana innovate in 16 and 17th centuries si dhani kama walikuwa wana advocate hayo mambo ya Ushoga etc.
Nafkiri ni Africa au nchi yoyote kutoendelea ni mjadala mpana zaidi ya kuureduce ktk mambo ya ya haki za identity za jinsia na ndoa.
 
Mkuu hapa kidogo unaweza kutoa maelezo ya ziada. Kipindi US na whole of E.U wana innovate in 16 and 17th centuries si dhani kama walikuwa wana advocate hayo mambo ya Ushoga etc.
Nafkiri ni Africa au nchi yoyote kutoendelea ni mjadala mpana zaidi ya kuureduce ktk mambo ya ya haki za identity za jinsia na ndoa.
Nimeanzia kwenye religiosity.Mbona umeruka huko?

Unajua kwamba religiosity is inversely proportional to scientific advancement?

Umesoma historia ya sayansi Copernicus mpaka Galileo? Umesoma kitabu cha Galileo "Dialogue Concerning the Two Chief World Systems" na jinsi kilivyompa matatizo kwa kusema kwamba dunia inazunguka jua wakati dini ilisema kwamba jua linazunguka dunia?

Haki za identity na jinsia na ndoa zinaenda sambamba na secular humanism, secular humanism inaenda sambamba na kuondoka katika imani za dini na Mungu.

Secular humanism inaenda sambamba na scientific advancement. Scientific advancement inaenda sambamba na hiyo innovation uliyoitaja.

Umeona link sasa?

Kuna sababu iliyofanya nchi zilizoanza kuruhusu haki za wanawake ziwe za Scandinavia na Marekani, na nchi hizo hizo zikawa na maendeleo ya viwanda zaidi ya Africa na less religiosity zaidi ya Africa.

Kuna sababu pia nchi hizo zina tolerate gay rights zaidi ya Africa na zina amendeleo zaidi ya Africa.

Secular Humanism. Respect for the individual. Reduced religiosity. Scientific advancement. Innovation. Vyote hivi vinaenda pamoja.

Utafanyaje innovation katika nchi ambayokila mtu anamsikiliza Magufuli na wachimba madini wakifukiwa na kifusi watu wanasema "mapenzi ya Mungu yametimia, kazi yake haina makosa?"
 
Vitu vyote vinavyofadhiliwa na marekani mfano dawa za ARVs, ushoga na mengine machafu na ikiwepo ukimwi wenyewe unasemekana ni kwa ajili kuua humanity je taifa kama hili kuharibu watu wanataka aishi nani hapa duniani kama lengo lake ni kuua watu ninapata sana mashaka sana hawa wataka nani dunia iwe na nani kama sio sisi?

Wanajamvi hili jambo kubwa sana marekani je ni rafiki yetu kweli? Duniani inafanya fujo kubwa sana kuua watu na kudhulumu mataifa.

Kuna isue ya Alien hao wanafanya nao kazi na hao wadudu ni wana akili sana kuliko sisi ndio wameajiriwa na wanatengeneza silaha ya maangamizi makubwa sana.

Hao wadudu wanataka dunia iwe na watu bilioni moja tu wameamua kufuta watu duniani wakae wao tu.

Ebu tujadiliane wadau kuna mambo mengi chini ya kapeti mpaka kuna baadhi ya watu marekani wamejitokeza hadharani kuwa marejani inapanga njama kutufuta phil schinder ni moja kati ya watu waliojitokeza kusema hadharani kuwa marekani inapanga mauaji ya humanity for 90%

karibuni wadau
Pole mkuu kama ulitarajia ARVS zitakuepusha na kifo.
Usihamishe magoli, tunapoaanguka tujitazame wenyewe.
Tumepewa akili kama wao,tusiwe kama nyumbu kufuata lolote lile. Wapange yao,tupange yetu na kujilinda wenyewe. Magonjwa yetu tusiwasingizie wao.
Tutajie hizo nchi ambazo unaziona sio hatari kwa binadamu.
Mnauana kibiti,kisa ni Marekani? Mnatupana mto ruvu,ni wamarekani?
HII NI KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI.
 
Back
Top Bottom