Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Ona sasa !! mada inazungumzia mabaya ya marekani wewe hutaki unataka tuzungumzie mazuri tu ndiyo nini sasa?
Marekani ni nini?

Maana tunaongea sana Marekani hivi. Marekani vile.

Utafikiri Marekani ni dubwasha fulani hivi limekaa juu ya mlima.

Marekani ni nini?

Kwanza tuanze hapo.

Bila ya kuelewana Marekani ni nini, kusema Marekani ni adui wa ubinadamu au vike au hivi itakuwa kazi bure. Tunaweza kubushana wakati tunamaanisha kitu kimoja lakini tatizo hatujaweka wazi definitiin ya Marekani ni nini.
 
Hapa inazungumziwa nchi ya marekani mkuu,hivyo marekani inayotajwa hapa inakusudiwa nchi ya marekani.
 
Ingekuwa vyema sana uwapinge kwa vitendo. Si maneno tu.

Acha kutumia internet waliyoianzisha kwa sababu wana i control.

Anzisheni yenu.

Hii Jamiiforums yenyewe ni tovuti iliyosajiliwa Marekani.

Kama hutaki vya Wamarekani hata hapa Jamiiforums hutakiwi kuwepo.

Ukitembelea Jamiiforums habari zako zinakwenda kwa Wamarekani. Kama huwataki Wamarekani jiondoe hapa.

Acha kutumia Whatsapp nao ni mfumo wao. Facebook, Instagram nazo pia.

In fact hata email usitumie.

Usiangalie movies za Hollywood wala kusikiliza muziki wa Kimarekani.

Jiondoeni Umoja wa Mataifa unaochangiwa sana na Wamarekani na ambao Makao Makuu yake yako Marekani.

Nduguzenu wanaotaka kuja kuishi na kusoma Marekani wakatazeni.

Misaada ya Wamarekani kataeni.

Watalii wa kutoka Marekani msiwakubali.

Jiondoeni kwenye mfumo wa kibenki wa dunia unaotawaliwa na Marekani.

Kataeni kununua bidhaa zozote za Kimarekani.

Mkifanya hivyo na kusema Mmarekani mbaya, nitawaelewa.

Siyo mtu umevaa Nike na Polo, unaandika kwenye internet JF, unapost picha instagram, unawasiliana na ndugu zako Facebook, una chat groups za Whatsapp, serikali yako imepewa misaada na Marekani, halafu kelele nyiingi Wamarekani wabaya.

Kataeni Umarekani kwa vitendo.

Kabla hamjafanya hivyo mtakuwa mnacheza tu mchezo wa "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Unafiki.
Well said mkuu
 
We ndo empty set kabisa,Hata huna ufahamu wowote kuhusu hiki kinachoongelewa hapa,ndio sababu unakimbilia personal issues.Hizi ni dalili za mtu kichwa maji.
Unayosema inawezakana ikawa kweli mi ni kichwa maji kwa sababu tu niliishia la saba. Ila wewe umepata elimu ya kutosha kabisa, ila nasikitika elimu yako ulioipata haikusadii wewe mwenyewe au jamii kwa ujumla. Tatizo lenu nyie wasomi uchwala unaweza kuta mtu amesoma kiswahili cha ajabu sheria anjuwa yeye, uchumi anajiwa yeye, mazingira anajua yeye, uhandisi anajua yeye. Kwenda chuo si kujua kila kiti. Mbulula weee. Soma Malthas theory halafu ndio uje upinge hapa.
 
Hivyo viswali vya "gotcha" vya kupimana vitaishia kukupima mwenyewe.

Sasa unaonekana mzushi kwa kuleta viswali vya uzushi na uzabizabina katika issue inayohusu jina la nchi ya watu zaidi ya milioni mia tatu kuchafuliwa.

Sasa kama wanaolalamikiwa si Wamarekani wote mbona imelalamikiwa "Marekani" na sio hao watu au hizo taasisi?

Chochote kinachosimamiwa na Wamarekani, kuna Wamarekani wanakipinga. Mpaka kuwepo kwa Marekani yenyewe.

Sasa mtu atasemaje Marekani ni hivi au vile bila nuance?

Nuance please.
Ukisoma si kwamba utajua mambo yote ila kuna baadhi ya vitu ambavyo upo specilized navyo. Kama kuna mtu mwingine ambae anaulewa navyo basi msikilize ni sehemu ya kujifunza pia. Kwa bahati nzuri mtoa maada ametoa na source, ingekuwa vyema ungepitia kwanza halafu uje upinge. Kwenda chuo si kujua kila kitu, anaweza jifunza hata kwa asienda shule. Nilikuuliza unasoma chuo gani, kama usingekuwa na akili ungeporomosha matusi badala ya kujibu.
 
Unayosema inawezakana ikawa kweli mi ni kichwa maji kwa sababu tu niliishia la saba. Ila wewe umepata elimu ya kutosha kabisa, ila nasikitika elimu yako ulioipata haikusadii wewe mwenyewe au jamii kwa ujumla. Tatizo lenu nyie wasomi uchwala unaweza kuta mtu amesoma kiswahili cha ajabu sheria anjuwa yeye, uchumi anajiwa yeye, mazingira anajua yeye, uhandisi anajua yeye. Kwenda chuo si kujua kila kiti. Mbulula weee. Soma Malthas theory halafu ndio uje upinge hapa.
Unaona ulivyo chenga,yaani hapa unasema elimu ya chuo inaweza isiwe na maana,hapo hapo unamuuliza mleta mata status ya elimua yake ususan ya chuo.Sasa nashindwa hata nikusaidieje mtu kama wewe.Any way njoja nikuache tu.
 
Hapa inazungumziwa nchi ya marekani mkuu,hivyo marekani inayotajwa hapa inakusudiwa nchi ya marekani.
Ndipo swali langu lilipo.

Naelewa inazungumziwa nchi ya Marekani.

Lakini hilo halijibu swali.

Unapoongelea Marekaninunaongelea nini?

Nchi ni nini?

Ile ardhi ambayo ipo ndaninya mipaka ya Marekani ndiyo inayoongelewa hapa? Ardhi ndiyo inchukia watu?

Sifikiri hivyo.

Sasa nchi ni nini? Serikali? Uongizi wa kisiasa?

Mbina uongizi wa kisiasa wa Marekani umegawanyika sana. Marekani inaoata marais tofauti kabisa kama Obama na Trump?

Nchi ni nini? Watu?

Mbona watu nao wamegawanyika sana?

Sasa mbona tunaifanya hii "Marekani" kama kitu kimoja rahisi kukielezea wakati ni nchi complex sana?

Marekani inachulia binadamu? Kama Marekani ingechukia binadamu basi dunia ingepigwa mabonu ya nyuklia sana.

Mmarekani ndiye alikuwa wa kwanza kugundua nyuklia. Akalitumia mara mbuki tu nje ya majaribuo, kumaliza vita vya piki vya dunia.

Akamzuia Hitler asituuilie mbali weusu wote na wengine kururudisha kwenye utumwa.

Hii Marekani ndiyo inayochukia ubinadamu?
 
Ukisoma si kwamba utajua mambo yote ila kuna baadhi ya vitu ambavyo upo specilized navyo. Kama kuna mtu mwingine ambae anaulewa navyo basi msikilize ni sehemu ya kujifunza pia. Kwa bahati nzuri mtoa maada ametoa na source, ingekuwa vyema ungepitia kwanza halafu uje upinge. Kwenda chuo si kujua kila kitu, anaweza jifunza hata kwa asienda shule. Nilikuuliza unasoma chuo gani, kama usingekuwa na akili ungeporomosha matusi badala ya kujibu.
Kabla ya kuangalia source tuanze na definition kwanza.

Marekani ni nini?

Bila kujibubswali hiki hata kuangalia source ni upuuzi tu.

Maana tunaweza kusema kitu kimoja halafu tukapingana kwa sababu hatujakubaliana definition ya Marekani ni nini.
 
Ona sasa !! mada inazungumzia mabaya ya marekani wewe hutaki unataka tuzungumzie mazuri tu ndiyo nini sasa?
Uzungumzie mabaya ya marekani ili iweje labda?,Au unataka kunambia kuna nchi ipo safi kama malaika ulimwengu huu?..Kama tumekubaliana hakuna nchi iliyokuwa safi,ni kwa nini ukomae na mabaya ya marekani peke yake?
 
Unaona ulivyo chenga,yaani hapa unasema elimu ya chuo inaweza isiwe na maana,hapo hapo unamuuliza mleta mata status ya elimua yake ususan ya chuo.Sasa nashindwa hata nikusaidieje mtu kama wewe.Any way njoja nikuache tu.
huwezi kunielewa kwa sababu kichwa chako kipo limeted kufikiri, mi nilimuuliza lile swali ili nimpime uwezo wake wa kufikiri. Ningekuliza wewe nadhani ungekuja na matusi tu si zaidi. Kwamtu anaefikiri kwa makini swali lile ni rahisi na mjibuyake ni rahisi kama alivyonijibu. Elimu ya chuo inaweza isiwe na maana kama utashindwa kujua kwenda chuo si kujua kila kitu
 
Hahahah,Aisee!!!.Any way.
changia mada sasa.
 
Internet imeanzishwa kama research project ya wizara ya ulinzi ya Marekani. Enzi hizo mtandao ukiitwa ARPANET.

Anayetaka kujua zaidi Wiki iko hapa ARPANET - Wikipedia

Kwa msingi huu, ni kweli kwamba bila Marekani mfumo mzima wa internet kama ulivyo leo usingekuwepo.

Na hao wanaoisema Marekani labda wangeisema kwa alama za moshi.

Maana hata mfumo wa umeme tunaoutumia umegunduliwa Marekani.

Waswahili walisema "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".

Marekani si nchi tu. Ni wazo.

Ni wazo kwamba kuna sehemu wajanja wote waliokataa ujinga ujinga wa sehemu nyingine huko duniani wanaweza kukutana.

Hawa Watanzania wanaoikandia Marekani leo hawajui kwamba bila Marekani Hitler angetawala dunia na aghalabu angerudisha utumwa kwa watu weusi wote.

Sisemi kwamba Marekani haina mabaya, lakini kusema Marekani ni adui wa ubinadamu ni kuionea. Kwa sababu ni kitu complex sana kinachokataa simple definition.

Angalia tu Wamisionari waliojituma kusaidia watoto waliopata ajali ya gari utaona kuna watu wana moyo wa upendo na kujitoa sana. Hapo kuna wabongo kibao wakiona ajali kitu cha kwanza wanachofanya ni kuzisachi maiti kama zina hela.

Sasa watu waseme kwamba Watanzania ni wanyama wanaombea wengine wafe ili wawasachi?

Magufuli kachukua fedha za rambirambi kapeleka serikalini.

Tuseme Watanzania wanaibia mpaka wafiwa?

Mtu anakwambia Marekani hivi au vile, wakati hiyo hivi au vile anayoihusisha na Marekani unakuta nusu ya Wamarekani wenyewe wanaipinga.
Hii ndiyo comment yako ya kwanza katika huu Uzi ukieleza kuhusu marekani,je ulikuwa unaeleza marekani kama nini?
 
Uzungumzie mabaya ya marekani ili iweje labda?,Au unataka kunambia kuna nchi ipo safi kama malaika ulimwengu huu?..Kama tumekubaliana hakuna nchi iliyokuwa safi,ni kwa nini ukomae na mabaya ya marekani peke yake?
Wapi nimeeleza mabaya ya marekani unaweza kunionesha?
 
Hahahah,Aisee!!!.Any way.
changia mada sasa.
Kwa uelewa wangu mdogo naweza kukubaliana na mtoa mada kwa sababu kipindi cha nyuma mataifa tajiri walihitaji sana idadi ya watu iwe kubwa ili wawe watumishi katika viwanda na wakuze uchumi wao. ila kwa sasa kutokana na mapinduzi ya sayansi vibarua si muhimu tena kazi nyingi zinafanywa na mashine. Hivyo uwepo wa watu wengi unachangia kumaliza rasilimamali za dunia. Mchumi wa kiingereza Thomas Mathus katka karne ya 19, alisema baadaa ya miaka 1700 dunia itakuwa imejaa hivyo hakutakuwa na sehemu hata ya kuweka mguu pande. Hivo ili kuinusuru dunia itabidi idadi ya watu ipunguzwe. Alipendekeza njia mbili za kupunguza idadi ya watu
i) Kupunguza uwezo wa kuzaliana; kwa kutumia uzazi wa mpango, kuchelewa kuoa, kutopenda kugegedana na kufanya dunia iwe na wanawake wengi kuliko wanaume
ii) Kuongeza idadi ya vifo; kwa kupitia vita vya mara kwa mara, ukame, njaa na majanga mengine yanayosababisha vifo
Pia alisema idadi ya watu ikipungua sana itabidi wahamasishe iongezeke. Sasa tukija kwa ishu ya Marekani yeye ndio mratibu wa vita mara zote, yeye ndio anahamisha tusizaliane, tusiaone mapema, na sasa wanawake ni wengi kuliko wanume na marais wao ndio karibu wengi wana watoto wa kike tu. Kwa hiyo utoaji wao misaada hauepushi ajenda za nyuma ya pazia. Mwenye nyongeza au ulewa zaidi aendelee
 
Mkuu watu hawataki kuzungumzia mambo hayo wao wanataka uzungumzie teknolojia za wamarekani na misaada ya wamarekani kwa afrika.
 
Hapa mimi na wewe tupo pande mbili tofauti, wewe unapinga uadui wa marekani mi naunga mkono. Kwa hiyo kama muungaji mkono nimetoa hoja zangu kuongeza ushaidi wa tunachokisamamia mimi na mtoa mada. Sasa ukisema hutaki hayo inamaana hutaki ukweli. Wewe umeeleza vizuri misaada tunayopata kutoka Marekani nasi tumekubali, ila nasi tunakuonesha ubaya wa Marekani.
 
Kwa uelewa wangu mdogo naweza kukubaliana na mtoa mada kwa sababu kipindi cha nyuma mataifa tajiri walihitaji sana idadi ya watu iwe kubwa ili wawe watumishi katika viwanda na wakuze uchumi wao. ila kwa sasa kutokana na mapinduzi ya sayansi vibarua si muhimu tena kazi nyingi zinafanywa na mashine. Hivyo uwepo wa watu wengi unachangia kumaliza rasilimamali za dunia. Mchumi wa kiingereza Thomas Mathus katka karne ya 19, alisema baadaa ya miaka 1700 dunia itakuwa imejaa hivyo hakutakuwa na sehemu hata ya kuweka mguu pande. Hivo ili kuinusuru dunia itabidi idadi ya watu ipunguzwe. Alipendekeza njia mbili za kupunguza idadi ya watu
i) Kupunguza uwezo wa kuzaliana; kwa kutumia uzazi wa mpango, kuchelewa kuoa, kutopenda kugegedana na kufanya dunia iwe na wanawake wengi kuliko wanaume
ii) Kuongeza idadi ya vifo; kwa kupitia vita vya mara kwa mara, ukame, njaa na majanga mengine yanayosababisha vifo
Pia alisema idadi ya watu ikipungua sana itabidi wahamasishe iongezeke. Sasa tukija kwa ishu ya Marekani yeye ndio mratibu wa vita mara zote, yeye ndio anahamisha tusizaliane, tusiaone mapema, na sasa wanawake ni wengi kuliko wanume na marais wao ndio karibu wengi wana watoto wa kike tu. Kwa hiyo utoaji wao misaada hauepushi ajenda za nyuma ya pazia. Mwenye nyongeza au ulewa zaidi aendelee
Mtu yeyote anayeongelea habari za Thomas Malthus na nadharia yake ya idadi ya watunamchukulia kama mtu aliyefungua fungua vitabu angalau kidogo.

Kwa hiyo nitakuchukukia hivyo.

Sasa, kwa nini tuhusishe habari hizi na "Marekani" wakati Marekani katika ngazi zote kuna watu wanaunga mkono habari hizi na wengine wanazipinga?

Ukiangalia kuanzia serikali mpaka popular culture, academia mpaka watu wa kawaida mtaani tu, Marekani ina watubwa kila aina. Kuanzia kina Theodore Kaczinski waliopiga bomubjengo la serikali yao wenyewe Oklahima mpaka wale wamisiinari wa kutoka Iowa walioshiriki kuokoa majeruhi katika ajali ya majuzi Arusha.

Kuanzia Barack Obama anayeunga mkono haki za mashoga na kusitiri mazingira mpaka Donald Trump anayepinga haki za mashoga na kusitiri mazingira.

Hapo ninekuonyesha complexity ya Marekani kutoka watu raia wa kawaida mpaka mtu anayechaguliwa na watu wengi sana kuwa rais.

Sasa kwa nini tuipake nchi nzima rangi moja wakati nchi ina watu tofauti sana?
 
Ndipo swali langu lilipo.

Akamzuia Hitler asituuilie mbali weusu wote na wengine kururudisha kwenye utumwa.

Hii Marekani ndiyo inayochukia ubinadamu?

I have left the obvious, essential fact to this point, namely, that it is the Russian Armies who have done the main work in tearing the guts out of the German army. In the air and on the oceans we could maintain our place, but there was no force in the world which could have been called into being, except after several more years, that would have been able to maul and break the German army unless it had been subjected to the terrible slaughter and manhandling that has fallen to it through the strength of the Russian Soviet Armies.

--------------Sir.Winston Churchill, Speech in the House of Commons, 2 August 1944, “War Situation”

I have always believed and I still believe that it is the Red Army that has torn the guts out of the filthy Nazis.
--------------Sir.Winston Churchill, Speech in the House of Commons, October 1944
 
Back
Top Bottom