Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Unapenda sana ubishi,nilishajibu hilo swali kuwa hapa tunazungumzia marekani kama nchi.
Wewe kama hupendi ubishi mbona unanijibu?

Unapozungumzia Marekani kama nchi unazungumzia kitu gani?

Marekani inaundwa na watu waliobtofauti sana. Zaidi ya milioni 320. Wana misimamo tofauti sana.

Utaizungumziaje Marekani kama nchi kwa mtazamo mmoja tu?

Bila caveat, nuance wala equivocation?
 
Hapana.

Wewe ndiye hujui hesabu. Hujui mantiki. Hujui lugha. Hujui maana ya neno kuliko.

Mtu akisema "Tanzania ni adui wa ubinadamu kuliko Marekani" hilo halimaanishi Marekani inahitaji kuwa na uadui wa binadamu wa aina yoyote.

Nikisema "Mama Juma ana sukari jikoni kwake kuliko Mama Hamisi" haina maana Mama Hamisi ana sukari yoyote. Inawezekana mama Hamisi hana sukari kabisa na Mama Juma ana kilo moja ya sukari.

Nitaweza kusema Mama Juma ana sukari kuliko Mama Hamisi.

Hujui hesabu. Hujui lugha. Hujui mantiki.

Ndiyo maana unabwabwaja "Marekani hivi, Marekani vile".

Ukiulizwa Marekani ni nini? Hujui. Huwezi kujibu.
Hahaha ama kweli mie sijui lugha,naona lugha uliyotumia hapo ni ngeni kabisa.
 
Hahaha ama kweli mie sijui lugha,naona lugha uliyotumia hapo ni ngeni kabisa.
Kajifunze lugha kwanza kabla ya kuparamia "Marekani hivi na Marekani vile" wakati hata huwezi kuelezea unapoelezea Marekani, unachokielezea hasa ni kipi.
 
Wewe kama hupendi ubishi mbona unanijibu?

Unapozungumzia Marekani kama nchi unazungumzia kitu gani?

Marekani inaundwa na watu waliobtofauti sana. Zaidi ya milioni 320. Wana misimamo tofauti sana.

Utaizungumziaje Marekani kama nchi kwa mtazamo mmoja tu?

Bila caveat, nuance wala equivocation?
Hao waliyotoa msaada Arusha ni wote watu milioni 320?

Halafu unasena kabisa et utaizungumziaje marekani kama nchi kwa mtazamo mmoja tu! wakati we mwenyewe unafanya hivyo hivyo.
 
Kajifunze lugha kwanza kabla ya kuparamia "Marekani hivi na Marekani vile" wakati hata huwezi kuelezea unapoelezea Marekani, unachokielezea hasa ni kipi.
Lugha ukajifunze wewe,nenda ukajifunze neno kuliko lina maana gani?
 
Kwa kweli ninashindwa kuelezea kuhus taifa hili
upuuzi wangu uko wapi kwani nani asiyejua kuwa ukimwi waliutengeneza wenyewe mpaka sasa nani asiyejua kuwa wanafanya vita dunianiani na kuacha familia inalia?

acha ujinga wew tujadili nia ya taifa hili
Wewe unaona kama tukifanikiwa kuwafukuza wamerekani woote waondoke duniani wahamie labda sayari ya Pluto, je ukimwi na ushoga utaisha Afrika?!

Au wewe unashauri nini sasa kifanywe kuhusu hili janga la ukimwi na kuhusu kutokomeza ushoga Afrika?! Tuongelee Afrika tu, wala tusiongelee kwingine... maana Afrika ndio kuna hoja sana kama hizi, kwamba haya makitu mabaya yoooote ya duniani tumeletewa na wageni kutoka magharibi na mashariki ya mbali.
 
Lugha ukajifunze wewe,nenda ukajifunze neno kuliko lina maana gani?
Hahaha. Ungejua maana ya neno kuliko usingejivua nguo hadharani na kuanika dhakari yako ya kimawazo.

Katika akili zako, moja si namba kubwa kuliko zero.
 
Hahaha. Ungejua maana ya neno kuliko usingejivua nguo hadharani na kuanika dhakari yako ya kimawazo.

Katika akili zako, moja si namba kubwa kuliko zero.
Nguo unajivua wewe sio mimi,we endelea kujichekesha tu.
 
Bila Marekani si ajabu hata usingepata fursa ya kuandika ulichokiandika hapa!
North korea wana mtandao wao mkuu labda na sisi kamq siyo watu weupe wa magharibi kutulemaza akili zetu ili wa tutawale tungekuwa na mtandao wetu !!!
 
North korea wana mtandao wao mkuu labda na sisi kamq siyo watu weupe wa magharibi kutulemaza akili zetu ili wa tutawale tungekuwa na mtandao wetu !!!
Hamjachelewa. Mnaweza kuanza kujenga wa mabua sasa.

Hao North Korea wenyewe wamegezea.
 
We unaona utumwa ni mbaya sana kuliko kinachoendea sasa kutoka kwa huyo mtawala wako wa dunia?
Kwanza kabisa huyo unayemsema mtawala wa dunia si mtawala wadunia, ndiyo maana hata huyo North Korea anaweza kufurukuta.

Katafute kitabu cha Fareed Zakariakinaitwa "The Post American World"

Let's get that right first.

barackbook.jpg
 
Back
Top Bottom