maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Vitu vyote vinavyofadhiliwa na marekani mfano dawa za ARVs, ushoga na mengine machafu na ikiwepo ukimwi wenyewe unasemekana ni kwa ajili kuua humanity je taifa kama hili kuharibu watu wanataka aishi nani hapa duniani kama lengo lake ni kuua watu ninapata sana mashaka sana hawa wataka nani dunia iwe na nani kama sio sisi?
Wanajamvi hili jambo kubwa sana marekani je ni rafiki yetu kweli? Duniani inafanya fujo kubwa sana kuua watu na kudhulumu mataifa.
Kuna isue ya Alien hao wanafanya nao kazi na hao wadudu ni wana akili sana kuliko sisi ndio wameajiriwa na wanatengeneza silaha ya maangamizi makubwa sana.
Hao wadudu wanataka dunia iwe na watu bilioni moja tu wameamua kufuta watu duniani wakae wao tu.
Ebu tujadiliane wadau kuna mambo mengi chini ya kapeti mpaka kuna baadhi ya watu marekani wamejitokeza hadharani kuwa marejani inapanga njama kutufuta phil schinder ni moja kati ya watu waliojitokeza kusema hadharani kuwa marekani inapanga mauaji ya humanity for 90%
karibuni wadau