SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Swali zuri..Mtu anayeamini mambo ya aliens, Freemasonry, uchawi na ulozi huwa simchukulii seriously.
Leo ukipewa visa ya US hutaenda?
Swali zuri..Mtu anayeamini mambo ya aliens, Freemasonry, uchawi na ulozi huwa simchukulii seriously.
Leo ukipewa visa ya US hutaenda?
Personal issues zitakusaidia nini we mswahili.Changia mada acha ubashite.Umesoma chuo gani?
Wakatae na pesa za MCC,wanapokea ma bilioni ya tzs kila mwaka kwa ajili ya umeme.Ni juzi tu Trump amepitisha msaada wa $447mil kwa ajili ya Afya.Halafu jitu linasema marekani ni adui wa binadamu,what a nonsense!!!.Suala la msingi hujalijibu.
Kama kweli Marekani ni adui wa ubinadamu, vitu vilivyogunduliwa na adui wa ubinadamu haviaminiki.
Na hivyo kama kweli unaamini Marekani ni adui wa ubinadamu, basi unatakiwa usitumie vitu hivi.
Sasa kama unasema unaamini Marekani ni adui wa ubinadamu, lakini bado unaendelea kutumia vitu vilivyogunduliwa na Marekani, basi inawezekana kuna machache haya yafuatayo.
Ama wewe ni mnafiki, unasema usichoamini kweli.
Ama ni zuzu, unajisemea semea mambo tu bila kuyaelewa vizuri.
Kwa nini mnasema Marekani ni adui wa ubinadamu halafu hapo hapo mnatumia vitu vilivyogunduliwa na Wamarekani?
Hamuoni kwamba mnahatarisha maisha yenu kwa kutumia vitu vilivyogunduliwa na adui wa ubinadamu?
Wewe ni mnafiki?
Au zuzu tu hujafikia ubaya wa kiwango cha unafiki?
Ok vizuri sana nilitaka nipime kiwango cha upumbavu wako. Ila kwa bahati nzuri umeeonesha upo makini. Hapa kuna mambo mawili ambayo inabidi uyajue, la kwanza wanaolalamikiwa si wamarekani wote kuna taasisi za siri zipo Marekani ndio zinapanga hayo mambo, si wamarekani wote wanaojua hayo mambo. La pili kuna mabaya na mazuri pia wanayafanya kwa hiyo hatuwezi kukataa mazuri kwa kuwa wanatufanyia mabaya, hata chakula pia huwa sumu inatuua, hatuwezi kukataa kula eti kwa kuwa baadhi ya vyakula vina sumuNinathamini faragha yangu.
What has the question got to do with the price of pork in China?
Swali la msingi sijajibiwa.
Sasa wewe ndio mpumbavu. Ni nilimuuliza ili nijue kama ni mpumbavu, ila yeye ameonesha kuwa si mpumbavu, ila wewe umedhihirisha kuwa ni mpumbavuPersonal issues zitakusaidia nini we mswahili.Changia mada acha ubashite.
Umejenga hoja nzuri maana ni sawa na wale wanaosema wazungu wameanzisha dini ili tuwapumbaza watu wawatawale lakini bado wanatumia na kukubali vitu vya mzungu,mtu ambaye ameweza kudanganya kiasi kikubwa cha watu duniani kwa kutumia dini ni wazi si mtu wa kumuamini tena na kutumia vitu vyake.Suala la msingi hujalijibu.
Kama kweli Marekani ni adui wa ubinadamu, vitu vilivyogunduliwa na adui wa ubinadamu haviaminiki.
Na hivyo kama kweli unaamini Marekani ni adui wa ubinadamu, basi unatakiwa usitumie vitu hivi.
Sasa kama unasema unaamini Marekani ni adui wa ubinadamu, lakini bado unaendelea kutumia vitu vilivyogunduliwa na Marekani, basi inawezekana kuna machache haya yafuatayo.
Ama wewe ni mnafiki, unasema usichoamini kweli.
Ama ni zuzu, unajisemea semea mambo tu bila kuyaelewa vizuri.
Kwa nini mnasema Marekani ni adui wa ubinadamu halafu hapo hapo mnatumia vitu vilivyogunduliwa na Wamarekani?
Hamuoni kwamba mnahatarisha maisha yenu kwa kutumia vitu vilivyogunduliwa na adui wa ubinadamu?
Wewe ni mnafiki?
Au zuzu tu hujafikia ubaya wa kiwango cha unafiki?
Kwa hoja hiyo mkuu basi hata huyo marekani asingesaidia kwa kuondolewa kwa Gadafi maana hakuna asiyejua neema walizokuwa wakipata wananchi wa Gadafi katika utawala wake.Wakatae na pesa za MCC,wanapokea ma bilioni ya tzs kila mwaka kwa ajili ya umeme.Ni juzi tu Trump amepitisha msaada wa $447mil kwa ajili ya Afya.Halafu jitu linasema marekani ni adui wa binadamu,what a nonsense!!!.
Yaani wanapenda utamu wa ma dolari yao kuliko utu wao kama wa TZ.
wanalazimisha indirectly.Lakini sijawahi kusikia marekani inamlazimisha mtu kutumia ARV.
Mkuu kwa hoja ulizoziweka zina ukweli lakini zote ni negative kwani hao marekani hawana positive?Vitu vyote vinavyofadhiliwa na marekani mfano dawa za ARVs, ushoga na mengine machafu na ikiwepo ukimwi wenyewe unasemekana ni kwa ajili kuua humanity je taifa kama hili kuharibu watu wanataka aishi nani hapa duniani kama lengo lake ni kuua watu ninapata sana mashaka sana hawa wataka nani dunia iwe na nani kama sio sisi?
Wanajamvi hili jambo kubwa sana marekani je ni rafiki yetu kweli? Duniani inafanya fujo kubwa sana kuua watu na kudhulumu mataifa.
Kuna isue ya Alien hao wanafanya nao kazi na hao wadudu ni wana akili sana kuliko sisi ndio wameajiriwa na wanatengeneza silaha ya maangamizi makubwa sana.
Hao wadudu wanataka dunia iwe na watu bilioni moja tu wameamua kufuta watu duniani wakae wao tu.
Ebu tujadiliane wadau kuna mambo mengi chini ya kapeti mpaka kuna baadhi ya watu marekani wamejitokeza hadharani kuwa marejani inapanga njama kutufuta phil schinder ni moja kati ya watu waliojitokeza kusema hadharani kuwa marekani inapanga mauaji ya humanity for 90%
karibuni wadau
Nitajie nchi yeyote kubwa dunia hii ambayo haijawahi ku support revolution/a coup kwa nchi nyingine changa?Kwa hoja hiyo mkuu basi hata huyo marekani asingesaidia kwa kuondolewa kwa Gadafi maana hakuna asiyejua neema walizokuwa wakipata wananchi wa Gadafi katika utawala wake.
We ndo empty set kabisa,Hata huna ufahamu wowote kuhusu hiki kinachoongelewa hapa,ndio sababu unakimbilia personal issues.Hizi ni dalili za mtu kichwa maji.Sasa wewe ndio mpumbavu. Ni nilimuuliza ili nijue kama ni mpumbavu, ila yeye ameonesha kuwa si mpumbavu, ila wewe umedhihirisha kuwa ni mpumbavu
Naona hakuna nchi hiyo mkuu.Nitajie nchi yeyote kubwa dunia hii ambayo haijawahi ku support revolution/a coup kwa nchi nyingine changa?
kuanzia na Russia,U.K n.k
Hivyo viswali vya "gotcha" vya kupimana vitaishia kukupima mwenyewe.Ok vizuri sana nilitaka nipime kiwango cha upumbavu wako. Ila kwa bahati nzuri umeeonesha upo makini. Hapa kuna mambo mawili ambayo inabidi uyajue, la kwanza wanaolalamikiwa si wamarekani wote kuna taasisi za siri zipo Marekani ndio zinapanga hayo mambo, si wamarekani wote wanaojua hayo mambo. La pili kuna mabaya na mazuri pia wanayafanya kwa hiyo hatuwezi kukataa mazuri kwa kuwa wanatufanyia mabaya, hata chakula pia huwa sumu inatuua, hatuwezi kukataa kula eti kwa kuwa baadhi ya vyakula vina sumu
Kwa nini Bible unaona ni kitabu cha kuaminika sana mpaka unaanza habari zako kwa kutuambia tusome Bible?Kiimani marekani ni adui mkubwa wa dunia.
Soma bible kitabu cha ufunuo kuanzia 13-18 .badirisha wale wanyama kua nchi.
Kuna joka jekundu lilikua linamsubili mama mjamzito ajifungue ili ammeze kwa bahati mbaya yule mama akapewa uwezo akakimbilia polini.kwa hasira baada ya kumkosa likaenda kukaa pembeni mwa ufukwe.baadae akaibuka mnyama mwenye pembe kumi kutoka baharini ,mnyama Huyo amepewa uwezo wote wa yule nyoka,mnyama huyo atakua nakibli ,atafanya atakavyo hapa duniani ,atapigana na WATAKATIFU na atawashinda .hakuna atakaeweza kupambana na mnyama huyo.
Atawapiga chapa watu wa ulimwengu wote .itafikia mtu hata nunua wa kuuza bila ya kua na chapa yake .atakua na maneno ya makufuru,matukano ndio atafanya hadi mungu ashushe gadhabu yake.
Watu wameonywa pia juu ya wote wanaosujudia mnyama huyu.siku moshi utakapo fuka juu take wa watabakia pembeni na watalia na kusaga meno.
Hebu tuone kwa haraka kua.
Kwanini marekani ndio huyo mnyama ! Kwasababu hakuna vita kubwa iliopiganwa kidunia bila yeye kua muhusika mkuu.
Maneno ya makufulu na matukano,
Kamavile kutangaza ushoga hazarani.
Tukiujiuliza joka jekundu ni tunatakiwa kujua alieitawara marekani ndiko zinakotoka order zote hizi za mambo anayoyafsnya mnyama huyo.
Tumeonywa kutomsujudia mnyama huyo ,kwamba kunasiku moshi utafuka kwake.
Unaposujudia kitu unamaanisha kutaka kupata kitu kutoka kwa unaemsujudia.sana umeambiwa kuna hali ya hatari itatokea na hutapata tens unachokita.hapa hasa zinalengwa zile nchi zinazotegemea misaada .maana kunawakati hali itakua mbaya na watasitisha misaada.
Acheni ukosoaji mwingi,Ongeleeni na mazuri yao sabau tumeshagundua anachokifanya marekani kila nchi kubwa inafanya/ilishafanya,hakuna jipya.Naona hakuna nchi hiyo mkuu.
Kwahiyo unataka kusemaje?
Ona sasa !! mada inazungumzia mabaya ya marekani wewe hutaki unataka tuzungumzie mazuri tu ndiyo nini sasa?Acheni ukosoaji mwingi,Ongeleeni na mazuri yao sabau tumeshagundua anachokifanya marekani kila nchi kubwa inafanya/ilishafanya,hakuna jipya.