Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?

Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?


Mbona umeguna mamaa wa mastory hahaha
It's true kabisa alichosema Smart911 hapo juu

mahondaw everyone falls in love sometime... i don't know about anyone, all i know i'm in love with you, and our love is true...
mahondaw thank you for letting me love you and loving me back... thank you for letting me kiss you and you kiss me back... mahondaw thank you for letting me have you...

Thanks so much for choosing mahondaw Smart911 . I real proud of you sweetheart.
Yea najivuniaaa
Yes Smart911 wamie. ulipo nipo
 
True love ipo ila wale wenye kuwapenda ninyi wanawake hamuwapendi kwa kulingana na viwango vyenu,,,na ninyi mnapenda msipopendwa mnaishia kutafunwa na kuachwa.Kama mngeliwaonyesha upendo wenu waliowapenda mkawadharau dunia isingekuwa sehemu ya hayo mapenzi yenu fake ya kujihami.Mtu anakupenda unamuona hana class,,hajui mitindo ya mavazi au hana hela wakati hivi vyote ni acquired characteristics!!!!
We bwans wanaume tunawapenda lakini hawapendeki wala nini
 
Wadada mkiacha kugeuza uchi kua kitega uchumi real love itakuwepo..usidanganyane,,wote tunapenda sex japo nyie mwajitia mnataka pesa zaid
 
Back
Top Bottom