Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,556
Akyanani leo nimecheka hakuna mfano wake!
Natoka zangu home naenda job, kufika kituoni namwona shogangu anasubiri daladala. Nikamsogezea gari mguuni akasonya, maana hakujua huyu nani?! si unajua mambo ya tainted, nikaanza kumwita kiume psiiii psiiii bebi mchumbaa, njoo nikupe lift,
Akaangalia akasonya, mmmhuuu shenzy type we mtoto bora nimekuona, akaingia kwenye gari safari ikaanza..
Shogangu: we mngese unajua we mngese sana, akiyanani, naonaga unavyopost JamiiForums hivi utundu utaacha lini lakini tangu tupo wadogo we ni mtundu una vituko sana afu mwogaaaa, kaoneee katundu kwenye simu tu live kama embe dodo! Ahahahaha, yani kwako mwendokasi utasubiri sana
Money Penny: hahahahaha, nambie wangu, shemeji hajambo?
Shogangu: wahi hamna cha shemeji wala nini,
Money Penny: Ah wewe! mrembo kama wewe hauna bwana?!
Shogangu: acha tu! Wanaume wamenuna, type zangu hakunagaaa! Si unanijua nilivyo?! So nimeamua kuwa single tu pasua kichwa siwezi, Ila ofa na chenji za pembeni sizikosi
Mhhhuuu tena umenikumbusha wangu, juzi kati hapa nikapata kiberiti kimoja, ni sheedah! Alikuja kaka m1 akajibwagaaaa nikamkataa, maana demu wake namfahamu vizuri sana, akaniganda weee nikamwambia poa let's take it slow, tukapiga round 2 za game na kufahamiana... but this guy bwana ananiboa kitu kimoja tu, anavyoomba mechi unaweza ukalia,
Aroo nipe basi nyepo hiooo, nataka niingize hata kidole au kichwa basi, yani anaharaka kama kuna vita inakuja mbele au anaoga nje! ni udicteta kwenda mbele,Wakati mwengine sina hamu ya ku do simtafuti nazima simu nalala, sasa yeye akiwa na ham weeee ntaisoma namba, utamhurumia, nimeshafekisha period mpaka basi, mng'ang'anizi vbaya mno mpaka najuta kufungua kabati langu kwake, sasa kwenye mechi dah! Bora angekuwa mkareee! Ni vurugu utadhania bikraaaa, kuchuuu kuchuuu kuchuuu kuchuuu, vuuum vuuuum vuuuum vuuum, paaaaaa paaaaa paaaa paaa, kha!
Money Penny: ahahahahaha leo nimecheka kidogo nigonge gari, uuuuwi
Shogangu: round ya 3 ilipoisha, nikamblock kote hana pa kunipata sa hivi, hizi nyege bwana zitatuua bora tubakiage single sio kwa udicteta huu wa mechini, afu waambie vijana wako waache udicteta kwenye kuomba mechi, lete lete, nipe nipe kha! Nenda kwa dada poa basi!
Money penny: nikacheka njia nzima sio kwasababu anaombwa kidikteta bali ile toner voice ni sheedah!
Shogangu: By the way kabla sijashuka, i read your shit religiously like everyday, nzuri sana, your shit is great, you should write a book au scripts wauzie wenye movies, moron! hurry up kabla wabongo hawajakuibia, nasomaga zote za msaada tutani na story, so funny, hillarious, classic, unique and everything in between... your stuff ni kitu ambacho we need it, like now now, in times like this... Ruge kakusahau kwa bahati mbaya am sure mwakani atakukumbuka malkia wa nguvu wewe! kwaheri!
Money Penny: geee thanks! I love you too hun! Nikaondoka
Lakini ni kweli bado wanaume wanafosi katika kupewa mechi?!
Yesuuu na Maria na Yosefu!
Ahahahaha u dicteta