Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?

Je, mapenzi ya kweli hamnaga siku hizi?

True love ipo... Wapo both wenye true na fake love... Kuwajua ni kazi sana... Hii ni kwa wote wanawake na wanaume... People a fake, lairs and big pretenders... Almost all but not everyone is under something nor one thing...


Thank God mahondaw wangu ana true love.. She is real.. Not fake.. She speaks what she means, she loves for real..

Smart911 na mahondaw true love exist...



Cc: mahondaw
 
True love ipo... Wapo both wenye true na fake love... Kuwajua ni kazi sana... Hii ni kwa wote wanawake na wanaume... People a fake, lairs and big pretenders... Almost all but not everyone is under something nor one thing...


Thank God @mahondwa wangu ana true love.. She is real.. Not fake.. She speaks what she means, she loves for real..

Smart911 na mahondaw true love exist...



Cc: mahondaw
Mmmh!
 
True love ni ipi kwani? Tatizo nyie mkishaangalia series zenu za Kikorea mnataka Analyse wa Tandale akuhandle kama anavyofanyaga Jumong.

Wake up my dear sisters,hamuwezi kutreatiwa as Queens wakati u don't behave like one.
 
maslah
kweli mkuu wanaume wapo kimaslahi zaidi .
yetu wanaume ni machache sana...nyie mmekua ni shida sana..wiki tu majukumu ya babaako ushanihamishia..somtym msiwe/tusiwe wepesi wa kulilia na kusema shida zetu mapema mtu anakuchulia cheap sana ndo hapo napiga nasepa naona mzigo huuu..be true but hide some details.."maisha yamebadilika hasa awamu hii"..una stress na stress pia,tufarijiane tu sio mapenzi biashara na drama..sote tunazijua ni timing tu.."true love ipo but unaweza ukafa hujaiona"
 
Ndio mkuu


Ukikutana na minjemba iliokutana na marafkizangu we utakuwa unalia kila siku dear, hii mbinu ya kale sana labda kwa vijana unaoishi nao hawa wa kwetu hapa polisi wamewashindwaaaa
Nani kasema hanipi pesa asepe
 
True love ipo ila wale wenye kuwapenda ninyi wanawake hamuwapendi kwa kulingana na viwango vyenu,,,na ninyi mnapenda msipopendwa mnaishia kutafunwa na kuachwa.Kama mngeliwaonyesha upendo wenu waliowapenda mkawadharau dunia isingekuwa sehemu ya hayo mapenzi yenu fake ya kujihami.Mtu anakupenda unamuona hana class,,hajui mitindo ya mavazi au hana hela wakati hivi vyote ni acquired characteristics!!!!
 
Thanks so much Smart911 swirly
I love you more

mahondaw everyone falls in love sometime... i don't know about anyone, all i know i'm in love with you, and our love is true...
mahondaw thank you for letting me love you and loving me back... thank you for letting me kiss you and you kiss me back... mahondaw thank you for letting me have you...
 
Nywele fake, sura fake, ngozi fake, kalio fake, tabia fake, life style fake....kila kitu fake REAL LOVE itatoka wapi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo sasa. Lazima tulaumiwe maana hamna namna.
 
Back
Top Bottom