Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Ndiyo sasa nisiseme.....hujui biashara matangazooo???!!!Haujachapia mkuu, sema umenifurahisha ulivyosema natural everywhere[emoji2] [emoji2]
Ndiyo sasa nisiseme.....hujui biashara matangazooo???!!!Haujachapia mkuu, sema umenifurahisha ulivyosema natural everywhere[emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiiii umenifanya nicheke kwa nguvuuu .......aaah saivi hatuombagi hivyo...... Siku akikupigia ndiyo anaomba muonane unamwambia sawa.... Hapo unamwambia unajua bby kodi imepelea sijui mini nanini nitumie 50000 nijaziee...akikupiga kalenda nawewe mda mliopanga kuonana mpige kalenda hivyo hivyo siku akikupa nawewe kampe...... Mjini hamna vya bureee.ni kweli inabidi uchukue chako mapema.ila mimi kumuomba mtu pesa naona aibu naishia tu kukopwa shosti
Ahahahha una maana wameweka afro kinky au afro hair ndio kichaaMoney Peny binafsi yangu mimi mwanamke awe msafi tu inatosha, lakini nywele bandia, makalio bandia, kucha bandia, cream mwili kama maiti iliyoandaliwa tyr kwa kuitoa mortuary, midomo kama kinda la ndege lilitoka kwenye yai muda huohuo, hapana aiseeee. Tena ukute minywele imefungwa kama kichaa gani sijui, hapo hapana wala hata sihangaiki kwa lolote[emoji2] [emoji2]
Kama vipi labda?!Money Penny, mapenzi ya kweli yapo isipokuwa ninyi wenzetu mnakera somtime kuoelekea mwanaume kupunguza mapenzi.
Kuna vitu mbalimabali vinavyohamgia mwanaume kupunguza mapenzi hatimaye kujitoa
Kiru! Mungu anakuoooonaaanikupe really love ili nigundue nini..!!!!
mapenzi ya kikorea mwisho kwenye season tu.. ukija kitaa ni kupiga na kuchapa lapa..!!!!
Hehehe wewe kama Toxic shoga tu!Binafsii mimi siamini km mapenzi ya dhati bado ypo
Meona ee tena skuhizi wanakupiga na hela nikope nikope stupeeed afu wana chapa lapa very stuuupeeedhakuna kabisa .labda wanawake ila wanaume akishakugegeda kwisha habare
Mwenzetu unakula bata kipundi cha uncle Magu?! Hongera sanasasa ya nini tujipe tabu wakati maisha ya sasa bata tu...!!!!
Mwenzangu ukiomba hela unapewa?!Tena anakusahau kbs.... Sasa tumekuja na mbinu mpya akiomba mgegedo nawewe unaomba hela.... Ngoma droo
Yan amekukubaliMbn unanicheka km mtu kachapia siuna msahihishaa???[emoji57]
Pole yaooo mm mwanaume km sijampendaaa weeee lzm achunike vya kutoshaMwenzangu ukiomba hela unapewa?!
Wenzio wanapigwa hela kabla hawajaomba hela wanakopwaaa jaman naandika huu waya very stupeed
Kwaiyo kujamba ndio real love ama? Hahahaha hii kaliSasa we unajibana bana hata kujamba tu, unadhani kama unaficha kitu kdg kama hcho utakua na real love??
Ahahahaha me mwenyewe siombagi mwanaume hela kwanza sijui kama mwanaume anajisoma atanipaaa kwani kazi ya mwanaume ni nini kama sio ku provide?ni kweli inabidi uchukue chako mapema.ila mimi kumuomba mtu pesa naona aibu naishia tu kukopwa shosti
Akyanani kuna dada mmoja alikopwa gari na mwanaume hata hakurudishaaaa akaamua kumwachia kiru wanaume hawa buana basi tunilishakopwa sana nikaamua kustaafu
Akyanani mtaani kuna meeeengiiiKwani umeshaanza kugegedwa miss? Nakumbukuka niliona post yako kwamba utakufa na genye zako lakini kugegedwa ni big NO.
Where ? show us tunautafuta huo mana ulishapoteaUpendo wa kweli upo trust me
Ni sheedah!jinsia zote zmekua watafutaji..kibaya zaid tunatafutana wenyewe kila mtu anamlia timing mwenzie.."material love"...tupo kwenye mahusiano ya kimkataba sasa sema hatujarasimisha.
Uko wapi labda?!Upendo wa kweli upo trust me
Eh! MakubwaaaHasa Chuoni huku ndo baraaa... Yaan unakuta demu kama Rihanna ville kwA makeup ila akitoa kilakitu Wakawaid sana... Jaman jipendeni mlivyo nasi tutawapenda.
Ila wewe ukimzimikia mwanaume unatoa hela zako sio?! Akyanani makubwaa!Pole yaooo mm mwanaume km sijampendaaa weeee lzm achunike vya kutosha
Ipo nyingine hata yako pia ipo ndani ya true love bro!Tatizo lenu wadada mkisia true love unakumbuka tamthilia ila true love zipo na kwenye mapenzi kuna milima na mabonde..kwan mtu akidumu na mkeo had uzee na mmoja akafa,sio true love hiyo? Au kuna maana nyingine ya true love...
Ilo nalo neno nduguUkikutana na mwanaume wa hvyo weka question tag, tru love saiv linaenda kwa historia unakuta me alkuw na girl friend ambay alkuw anampenda kinoma ikatokea girl friend wake akamsarit hapo ndipo machungu yanapo anziaga na inaweza mfanya me awe fantastic without tru love.
NOTE! TRUE LOVE BADO INA EXIST TILL NOW BUT RARELY.
Uko wap tena?Upendo wa kweli upo trust me
Umetisha mkuu, sina cha kuongezea tenaNywele fake, sura fake, ngozi fake, kalio fake, tabia fake, life style fake....kila kitu fake REAL LOVE itatoka wapi?
Ndio mkuuHapo uliposema wanaume wanapiga tigo, ulimaanisha wanaume wanaf*r*? Money Penny
Ukikutana na minjemba iliokutana na marafkizangu we utakuwa unalia kila siku dear, hii mbinu ya kale sana labda kwa vijana unaoishi nao hawa wa kwetu hapa polisi wamewashindwaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiiii umenifanya nicheke kwa nguvuuu .......aaah saivi hatuombagi hivyo...... Siku akikupigia ndiyo anaomba muonane unamwambia sawa.... Hapo unamwambia unajua bby kodi imepelea sijui mini nanini nitumie 50000 nijaziee...akikupiga kalenda nawewe mda mliopanga kuonana mpige kalenda hivyo hivyo siku akikupa nawewe kampe...... Mjini hamna vya bureee.
Sikuizi tunawachuna kijanja na asipokupa unatemana nae unaangalia kwingine usiishiwe sababuu......mwambie naumwa matubabu 30 40 au unadaiwaa ulikopa vitu vya ndani...... Mjini HP mama ukilala umelaliw
Pole sana shogaangu kwa kukopwaa kumbe ndiyo maana Jana povu lilikutoka hatareeee[emoji4] [emoji4] [emoji125] [emoji125]