Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
Tena anakusahau kbs.... Sasa tumekuja na mbinu mpya akiomba mgegedo nawewe unaomba hela.... Ngoma droohakuna kabisa .labda wanawake ila wanaume akishakugegeda kwisha habare
Tena anakusahau kbs.... Sasa tumekuja na mbinu mpya akiomba mgegedo nawewe unaomba hela.... Ngoma droohakuna kabisa .labda wanawake ila wanaume akishakugegeda kwisha habare
Mbn unanicheka km mtu kachapia siuna msahihishaa???[emoji57]Hahahahaaaaa
Haujachapia mkuu, sema umenifurahisha ulivyosema natural everywhere[emoji2] [emoji2]Mbn unanicheka km mtu kachapia siuna msahihishaa???[emoji57]
ni kweli inabidi uchukue chako mapema.ila mimi kumuomba mtu pesa naona aibu naishia tu kukopwa shostiTena anakusahau kbs.... Sasa tumekuja na mbinu mpya akiomba mgegedo nawewe unaomba hela.... Ngoma droo
wanaume hamridhiki kwa lolote uwe fake ,uwe natural hakuna tofautiMoney Peny binafsi yangu mimi mwanamke awe msafi tu inatosha, lakini nywele bandia, makalio bandia, kucha bandia, cream mwili kama maiti iliyoandaliwa tyr kwa kuitoa mortuary, midomo kama kinda la ndege lilitoka kwenye yai muda huohuo, hapana aiseeee. Tena ukute minywele imefungwa kama kichaa gani sijui, hapo hapana wala hata sihangaiki kwa lolote[emoji2] [emoji2]
Kwani umeshaanza kugegedwa miss? Nakumbukuka niliona post yako kwamba utakufa na genye zako lakini kugegedwa ni big NO.ni kweli inabidi uchukue chako mapema.ila mimi kumuomba mtu pesa naona aibu naishia tu kukopwa shosti
nilishakopwa sana nikaamua kustaafuKwani umeshaanza kugegedwa miss? Nakumbukuka niliona post yako kwamba utakufa na genye zako lakini kugegedwa ni big NO.
Hapana miss, sio wotewanaume hamridhiki kwa lolote uwe fake ,uwe natural hakuna tofauti
Loooh! Jaman.....! Poooleee missnilishakopwa sana nikaamua kustaafu
Vitu gani hivyo mkuuMoney Penny, mapenzi ya kweli yapo isipokuwa ninyi wenzetu mnakera somtime kuoelekea mwanaume kupunguza mapenzi.
Kuna vitu mbalimabali vinavyohamgia mwanaume kupunguza mapenzi hatimaye kujitoa
nishapoa mwenzangu ndo ukubwa huoLoooh! Jaman.....! Poooleee miss
Ni kweli, ingawa ni painfulnishapoa mwenzangu ndo ukubwa huo
haiumi inashangaza tuNi kweli, ingawa ni painful
kweli mkuu wanaume wapo kimaslahi zaidi .jinsia zote zmekua watafutaji..kibaya zaid tunatafutana wenyewe kila mtu anamlia timing mwenzie.."material love"...tupo kwenye mahusiano ya kimkataba sasa sema hatujarasimisha.
Weekend moja nilikuwa na mashoga zangu flani ivi wakawa wanalalamika sikuhizi hamna real love hamna real love du.
Wanaume wanapiga bubaaa na kusepa, wanatupiga mijeledi wanasepa, wanapiga tigo, wanakunywa tigo akishakupiga round 3, 4 mpaka 7 na amekuweka sawa anasepaaa unaachwa kwenye mataa
Mwanaume akianza na wewe anaanza kwa moto mkali anakufukuzia mpaka unanyegeka, mkishakuwa kwenye pick season yani honemoon stage, love on cloud 9, na akishajua tu unampenda anaanza kupunguza mapenzi mdogo mdogo mpaka anapotea. Hamna real love anymore ni drama all the way i wish i was born in the 60' or 70's kule ndo kidogo walikuwa wanaume wakweli
Naive Shoga: but true love ipo jamaa, ina exist hata sasa
Toxic shoga: True love only exist in the movies, me nakwambia hamnaga true love tena hata Yesu alisema siku za mwisho upendo wa wengi utapoaaa, sikuhizi ni compromise na kuhemeana wanaume wanaangalia wapi pa kuhemea pa kutulia wanahemea hapo hapo, wanaume skuhizi wanalenga wanatafuta mwanamke ambae kwao ana heeeeela anajibanza hapo hata kama anasura mbaya kama Marehemu Remy Ongala
Angry Shoga: Naive Shoga embu twambie, unamjua nani ambae relationship yake imebadilika over night?! Nani?! Hapo angry shoga kanuna, amejaaa kafura hasiraje sasa, uuuwi!
Naive Shoga: kweli true love exist imetokea kwa shogake shogangu kelly, wanaishi happy ever after kweli jaman kweli
Toxic Shoga: yah ni kweli and i bet walikutana kwenye mvua waka fall inlove waka-kiss, sikunyingine wakakutana for picnic wakala, wakanywa, jua lilipozama wakakimbia kuelekea jua linapozama.. hizo ni movie tu hamnaga kitu kama ichoo we tuambie nani rlshp yake imechange overnight?!
Naive shoga: money penny hapa
Money penny nikashtuka meee why meee
Naive shoga: angalieni maisha ya money penny na bwana wake handsome!
Wote wakanyamaza kimya,
Mimi nikawa nawaza, je ni kweli hamna true love?! Wabongo mnasemajeee?! Wana Jf true love na real love imekufa skuhizi?