GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,426
- 10,669
Mange ameibua mambo mengi sana mazito na amerisk maisha yake amepoteza maokoto ya biashara yake ya umbea....na alishasema walitaka wampe kibunda ila kagoma leo mjinga mmoja anakuja kubeza kizembe.Kabisa. Hata mimi nimemwambia awe na heshima na Mange. Mange ndio jemedari wa hii vita
Ukute hakuandamana leo wa October 29 kazi porojo tu humu ndani.