kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,156
- 11,608
We muefeso Usilete udini wa kijinga hapa. Moto ukiwaka Vatican iko mbali sana.Kama Tanzania hatuongei lugha moja!?🙄🙄🙄🙄 niambie mbona samia na ccm awakupigiwa kura hata na mikoa yenye waislamu wengi. Vituo vyote vilibaki vyeupe hata hapa dar es salaam nionyeshe video hata moja ya foleni watu wakipiga kura ...tumia akili sisi tupo pamoja kuliko hizo nchi ulizo taja sema kitu kinacho tatiza ni STATE CAPTURE YA RAIA FEKI KINA ROSTAM AZIZI NA UZANZIBAR NA UARABU ..wazanzibari wanafanya juu chini wambakishe samia kwa maslai yao
Samia mtukane unavyotaka ila usiwajadili waislamu na huu upuuzi wenu.
Unataka kusema waliogomea uchaguzi walikuwa wagalatia peke yao? Umesikia hotuba ya sheikh ponda na kile alichofanyiwa kwenye uchaguzi jimbo la temeke?
Ulaji wa viti moto na viroba mnavyoita divai vinavuruga vichwa mkapagawa.
Bloody cucumber