kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,156
- 11,608
Mange komavi Anastasia heshima gani yule mwanamke aliekosa mafunzo ya wazazi wake.?.Kuwa na heshima hata kidogo na Mange mdau.
Huyo mshenzi kesho Tanzania ikitulia ataanza kutafuta siri za vyumbani mwa watu. Na ikiwa story ya chumbani kwako ina maslahi na yeye hatokuacha wala kujali wewe utaathirika vipi .
Huyu si alipiga picha na Samia ? Si huyu huyu alipokea pesa kutoka CCM?
Leo wamemkaushia ati analilia watoto wetu waliouawa
Huyu anapata pesa za matumizi kwa kazi ya unafiki.
Imagine hio sifa uwe nayo wewe kweli utastahiki kupewa heshima ya aina yyt?