Hata mimi namtambua hivyo Mzee Mwanakijiji. Sasa kwa nini Majid hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji?
hahaaa mawazo ya "Mtanzania wa kawaida"unamuheshimu wewe na wanao kwa sababu mna umwa DEGEDEGE
still unaendelea na mawazo ya "Mtanzania wa kawaida"Hapo kwenye RED ningejisikia raha zaidi kama ungeandika Mtanzania wa kawaida sanaaaa!
PsychiatiristKama wewe KIMA huwafahamu basi hawana umuhimu? Mijitu mingine bwana hovyo sana
Katika mjadala unaoendelea sasa hivi katika idhaa ya Kiswahili ya BBC, Charles Hillary amemtambulisha Magid Mjengwa kama Mwanakijiji. Magid anashiriki mjadala kuhusu mauaji yaliyotokea Norway (akiwa Sweden) na hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji. Ina maana kwamba yeye kweli ni Mwanakijiji??
Labda atakuja kutupatia ufafanuzi kwanii mimi nijuavyo, Majid siyo Mwanakijiji wa JF a.k.s Mzee Mwanakijiji!
acha kutudanganya bwana! Maggid anatetea vitu vingine sivyo kwa ujumla maggid anamkubali sana mkwerè!Maggid ni mtu makini na mwenye muono mpana na si kabisa Mzee Mwanakijiji ambae kazi yake ni majungu na ufataani usio na mfano. Anajaribu kujifanya ni mwanafalsafa lakini hana zaidi ya "plagiarism" na fitna za hapa na pale kila kukicha, besides, mmkjj ni Mkatoliki ambae anaamini kabisa kuwa Nyerere ni mtakatifu, on the other hand, Maggid na usosholisti wake, anaelewa madhila aliyotutunukia nyerere.
Kama wewe KIMA huwafahamu basi hawana umuhimu? Mijitu mingine bwana hovyo sana
Katika mjadala unaoendelea sasa hivi katika idhaa ya Kiswahili ya BBC, Charles Hillary amemtambulisha Magid Mjengwa kama Mwanakijiji. Magid anashiriki mjadala kuhusu mauaji yaliyotokea Norway (akiwa Sweden) na hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji. Ina maana kwamba yeye kweli ni Mwanakijiji??
Labda atakuja kutupatia ufafanuzi kwanii mimi nijuavyo, Majid siyo Mwanakijiji wa JF a.k.s Mzee Mwanakijiji!
Ndio hao uliowataja sasaa! Ushawafahamu sasa?Mzee Mwanakijiji na Maggid Mjengwa, mpaka mnawagombania hivyo wamelifanyia nini Taifa letu mpaka wakumbukwe? Kwanza mimi siwafahamu